Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profileg
Azam TV

@azamtvtz

Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000

ID:1629945110

linkhttp://azamtv.co.tz/tan calendar_today29-07-2013 09:22:06

93,7K Tweets

1,3M Followers

207 Following

Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Kesho Jumanne ni JKT Tanzania vs Yanga........

Kuelekea mchezo huo, hawa hapa makocha wa pande zote mbili ambapo JKT wanasema wamekwishaisoma Yanga kiasi cha kutosha hivyo wanajua cha kufanya ili kupata ushindi kwenye mchezo huo.....

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MUUNGANO CUP: Azam FC haoooooooo Zenji kwa ajili ya michuano ya Kombe la Muungano.

Mara baada ya kuwasili Zanzibar, afisa habari wa timu hiyo, Hasheem Ibwe anatoa kuhusu malengo na maandalizi yao kuelekea michuno hiyo.

2024

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MUUNGANO CUP: Michuano ya Kombe la Muungano inaanza rasmi kutimua vumbi Jumatano Aprili 24, 2024 visiwani Zanzibar…. Waamuzi watajwa akiwemo Arajiga na Komba.

Hii hapa taarifa kamili ikiwekwa wazi na Katibu Mkuu wa ZFF, Hussein Ahmada.

2024

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilo 767.2 za dawa za kulevya katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga katika kipindi cha wiki mbili kati ya Aprili 4 na 18, 2024.

Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, ameeleza hayo leo tarehe 22

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilo 767.2 za dawa za kulevya katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga katika kipindi cha wiki mbili kati ya Aprili 4 na 18, 2024. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, ameeleza hayo leo tarehe 22
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour anazisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour anazisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

JKT TANZANIA vs YANGA: Baada ya hekaheka za , kikosi cha Yanga kesho kitashuka tena dimbani kuzisaka alama tatu za NBC Premier League dhidi ya wenyeji wao JKT Tanzania kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni Dar es Salaam.

Wananchi wataondoka na alama

JKT TANZANIA vs YANGA: Baada ya hekaheka za #DerbyYaKariakoo, kikosi cha Yanga kesho kitashuka tena dimbani kuzisaka alama tatu za NBC Premier League dhidi ya wenyeji wao JKT Tanzania kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni Dar es Salaam. Wananchi wataondoka na alama
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

LEO USIKU NDANI YA BUNJI SERIES

Kimewaka kijijini kunachafuka na mpaka sasa haieleweki waliokuja kuvamia kijiji ni wakina nani na wanataka nini kwa Bunji? Nani ataiokoa Kawetele? Usikose kufuatilia tamthilia hii kuanzia saa 1:30 usiku kupitia pekee.

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo asubuhi amefika katika ofisi za makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa na kamati ya maadili.

Makonda ameitikia wito wa kamati hiyo kwa mujibu wa barua aliyoandikiwa Aprili 16, 2024 huku sababu za

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema kuwa kuna upungufu wa walimu 39, 610 wa masomo ya hisabati na sayansi katika shule za sekondari nchini.


Wahariri : Tuya Ibrahim, John Mbalamwezi

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo


Watu 13 wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo la abiria aina ya Coaster iliyokuwa ikitokea Somanga kuelekea Kilwa Kivinje kugongana uso kwa uso na roli la mafuta.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori amethibitisha

#BreakingNews Watu 13 wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo la abiria aina ya Coaster iliyokuwa ikitokea Somanga kuelekea Kilwa Kivinje kugongana uso kwa uso na roli la mafuta. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori amethibitisha
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amezuru kaburi la mmoja wa waasisi wa chama cha TANU (Ambacho kiliungana na chama cha ASP mwaka 1977 na kuanzishwa CCM) Costantine Osward Millinga (LIKAPU) aliyefariki Machi 5, 2018 wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.

Mbali ya kuzuru kaburi

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amezuru kaburi la mmoja wa waasisi wa chama cha TANU (Ambacho kiliungana na chama cha ASP mwaka 1977 na kuanzishwa CCM) Costantine Osward Millinga (LIKAPU) aliyefariki Machi 5, 2018 wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. Mbali ya kuzuru kaburi
account_circle