Daily Talk(@DailyTalkz) 's Twitter Profileg
Daily Talk

@DailyTalkz

Youtube || https://t.co/wQqHi093ky

ID:1442389486357213189

calendar_today27-09-2021 07:24:39

63,3K Tweets

21,1K Followers

11,0K Following

One sister(@rahmaa_simba) 's Twitter Profile Photo

Utata mwingine ni kuwa JATU iliundwa na Menejimenti ya wanasheria ambao hakuna sehemu yeyote walionesha kuwa na uzoefu kwenye maswala ya kilimo,Viwanda na Saccos.
Aina hii ya Menejimenti hii ingefaa kama JATU ingekuwa ni Law Firm

Utata mwingine ni kuwa JATU iliundwa na Menejimenti ya wanasheria ambao hakuna sehemu yeyote walionesha kuwa na uzoefu kwenye maswala ya kilimo,Viwanda na Saccos. Aina hii ya Menejimenti hii ingefaa kama JATU ingekuwa ni Law Firm
account_circle
RASTA+254๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช(@RastaziziTz) 's Twitter Profile Photo

Demu wako kama ni fundi kitandani huyo ni Malaya achana nae maana ili mchezaji awe fundi uwanjani ni lazima awe amecheza mechi nyingi na anaupenda uwo mchezo

account_circle
M.a.n.a.n.a ๐Ÿ—ฝ(@mananajr_) 's Twitter Profile Photo

Kwa wanandoa watoto huwa ni kitu muhimu sana, upendo ukiisha mnatumia upendo wa watoto ili kuendelea kuishi pamoja kama familia.

account_circle
GivaTips๐Ÿ’ฅ(@GivaTips) 's Twitter Profile Photo

Hapa zilipigwa kura zikaamua Group la Livebet lianzishwe

๐—ก๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ต๐˜ƒ๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ

Jiunge sasaivi kesho tukimbize pamoja

๐—ก๐—ถ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—Ÿ๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—น๐—ฎ ๐—•๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ

Link๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

chat.whatsapp.com/G6LDMvrX0i27NHโ€ฆ

Hapa zilipigwa kura zikaamua Group la Livebet lianzishwe ๐—ก๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ต๐˜ƒ๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ Jiunge sasaivi kesho tukimbize pamoja ๐—ก๐—ถ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—Ÿ๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—น๐—ฎ ๐—•๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ Link๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ chat.whatsapp.com/G6LDMvrX0i27NHโ€ฆ
account_circle
Eddo(@Eddo142) 's Twitter Profile Photo

RT๐Ÿ™

Kifaa ni bure, ntakuletea popote ulipo mteja bure,
utalipia bando 110,000 unlimited Kwa mwezi
Kifaa kina power bank itakayokusaidia kutumia hata umeme ukikatika na Kifaa kinaunganisha watumiaji 64 na kinafika umbali wa Mita 50

0625639205 WhatsApp/Call/ text au 0686674182

RT๐Ÿ™ Kifaa ni bure, ntakuletea popote ulipo mteja bure, utalipia bando 110,000 unlimited Kwa mwezi Kifaa kina power bank itakayokusaidia kutumia hata umeme ukikatika na Kifaa kinaunganisha watumiaji 64 na kinafika umbali wa Mita 50 0625639205 WhatsApp/Call/ text au 0686674182
account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wa miaka 8 anadaiwa kubakwa na jirani yao.

Tazama komenti ya kwanza ya mwanaume huyu alivyo mpumbavu. Sijui tumerogwa na nani๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Mtoto wa miaka 8 anadaiwa kubakwa na jirani yao. Tazama komenti ya kwanza ya mwanaume huyu alivyo mpumbavu. Sijui tumerogwa na nani๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
account_circle
Jizzle(@Jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Kindly Repost

Brand; Motor Gredar 140H
Used From USA
Loc; Dar-es-Salam
Price ; 165M Tsh
๐Ÿ“ž ; 0768832035
Umri wa machine tutaelezwa na mmiliki ila mashine ipo kazini ni kuchukua na kwenda kufanya kazi

account_circle
One sister(@rahmaa_simba) 's Twitter Profile Photo

(MCB)Mwalimu Commercial Bank na (PAL) Precision Air ni makampuni mawili ya kitapeli yaliyosajiliwa kwenye soko la hisa la Dar es salaam-DSE. Inashangaza sana jinsi DSE inavyoyabeba haya makampuni ikiwemo

(MCB)Mwalimu Commercial Bank na (PAL) Precision Air ni makampuni mawili ya kitapeli yaliyosajiliwa kwenye soko la hisa la Dar es salaam-DSE. Inashangaza sana jinsi DSE inavyoyabeba haya makampuni ikiwemo
account_circle
One sister(@rahmaa_simba) 's Twitter Profile Photo

DSE ni kiashiri muhimu sana cha uchumi kumuachia Bi. Mniwasa kuamua na kuiongoza ni kuinajisi biashara sababu akiwa Mwanasheria aliruhusu na kusajili kampuni ya kitapeli ya JATU ambao walikuwa wana
Shares ambazo ni 'ordinary shares'. share za aina hizi muhusika huesabiwa

DSE ni kiashiri muhimu sana cha uchumi kumuachia Bi. Mniwasa kuamua na kuiongoza ni kuinajisi biashara sababu akiwa Mwanasheria aliruhusu na kusajili kampuni ya kitapeli ya JATU ambao walikuwa wana Shares ambazo ni 'ordinary shares'. share za aina hizi muhusika huesabiwa
account_circle
One sister(@rahmaa_simba) 's Twitter Profile Photo

Kulikuwa na red flags nyingi sana namna ya hii kampuni ilivoendeshwa hadi kusajiliwa katika soko la hisa. Pia kampuni hii ilianzishwa toka mwaka 2016 lakini, haikuwa kuonyesha mahesabu yao ya mwaka tangu waanze kufanya biashara. Bila shaka haikuwa safe investment

Kulikuwa na red flags nyingi sana namna ya hii kampuni ilivoendeshwa hadi kusajiliwa katika soko la hisa. Pia kampuni hii ilianzishwa toka mwaka 2016 lakini, haikuwa kuonyesha mahesabu yao ya mwaka tangu waanze kufanya biashara. Bila shaka haikuwa safe investment
account_circle