Eagle's Eye(@Eagleseye02) 's Twitter Profileg
Eagle's Eye

@Eagleseye02

Singer, Entrepreneur and Life Coach
❤❤#letloverule#❤❤

ID:1148538145555865600

calendar_today09-07-2019 10:23:27

134,7K Tweets

25,4K Followers

5,4K Following

Lazaro Zakaria(@LazarroZakaria) 's Twitter Profile Photo

Ndoa imara hujengwa kwa kila mwanandoa kusimama imara katika nafasi yake na kutimiza majukumu yake kwa usahihi.

account_circle
The ChandO(@SadickTusia) 's Twitter Profile Photo

Uzi: MAISHA NA TAFAKARI ZAKE NGUMU🙌Bado sijaelewa nini Maisha…

Yupo Baa, anamwambia muhudumu 'Leta kama tulivyo', kila mtu anamsifia na jina jipya, ajabu kijijini kwao mama yake ana doti ileile moja ya kanga.. CCM mbele kwa mbele..

Ashatuma text zaidi ya kumi za msamaha.👇

Uzi: MAISHA NA TAFAKARI ZAKE NGUMU🙌Bado sijaelewa nini Maisha… Yupo Baa, anamwambia muhudumu 'Leta kama tulivyo', kila mtu anamsifia na jina jipya, ajabu kijijini kwao mama yake ana doti ileile moja ya kanga.. CCM mbele kwa mbele.. Ashatuma text zaidi ya kumi za msamaha.👇
account_circle
Denzo(@DenzoMaesTro) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 9:1-2

Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu; Nitafurahi na kukushangilia Wewe; Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.

Zaburi 9:1-2 Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu; Nitafurahi na kukushangilia Wewe; Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.
account_circle
𝐒𝐩𝐥𝐞𝐧𝐝𝐨𝐫 𝐊𝐲𝐫𝐢𝐨𝐬💦(@Skyfly_gains) 's Twitter Profile Photo

'Kinachotukosesha rizki zetu mpya ni kutokukubali matokeo ya kukataliwa kwa rizki tulizokuwa tunazitamani awali.'

GOOD MORNING X FAMILY ❤️

account_circle
BAD KID CHILL CITY🌟(@HastaRuego) 's Twitter Profile Photo

Matatizo tunayokabiliana nayo leo yanahitaji kiwango cha juu cha fikra kutatuliwa, kwani fikra zilezile zilizounda hazitotosha.GOOD MORNING

account_circle
HIMEZI(@DeadBodiie) 's Twitter Profile Photo

Tumuombe Mungu sio tu kila siku kwa kutaka kitu ILA hata kwa shukurani kwa vitu vingi alivyotutendea🙏

account_circle
Bonnie❤🇹🇿(@GuzmnChapo1) 's Twitter Profile Photo

Hakuna maana ya kuendelea kua na washikaji huna msaada na cheo, au nafasi, zao walizopo maisha ya duniani ni kusaidiana leo tu! akhera itatenganisha watu wema na wabaya hivyo kama wanao hawata kufaa leo ukiwa hai duniani kwa nafasi zao that means haifai kuendelea nao you eat alon

account_circle