Eudias Kigai(@EudiasKigai) 's Twitter Profileg
Eudias Kigai

@EudiasKigai

A media personality

ID:497908802

calendar_today20-02-2012 13:54:41

707 Tweets

1,4K Followers

121 Following

Dr. Ezekiel Mutua, MBS(@EzekielMutua) 's Twitter Profile Photo

God has assigned angels to watch over you and to protect you. Nothing will go wrong no matter how fierce the attacks. We are hidden in God and the devil can do us no harm. Have a blessed day!

account_circle
Dr. Ezekiel Mutua, MBS(@EzekielMutua) 's Twitter Profile Photo

'No weapon formed against you shall prosper, and you will refute every tongue that accuses you. This is the heritage of the LORD's servants. . .' - Isaiah 54:17

account_circle
Eudias Kigai(@EudiasKigai) 's Twitter Profile Photo

ndani ya Radio Jambo Kenya

A new day has started. No matter what you are facing right now this day can be a good day for you. May God remember you and grant you the desires of your heart. Remember too to work hard. Nakutakia siku jema

account_circle
Eudias Kigai(@EudiasKigai) 's Twitter Profile Photo

. karibu katika baraka za asubuhi, tuanze siku yetu kwa kutafakari matendo ya Mungu ambayo ni makuu sana, p[amoja na kumwomba neema zake ziwe nasi siku zote.

Je unanipokea ukiwa wapi? Radio Jambo

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Tunaanza Bustani la Massawe salama Jumatatu ingawa kuna kibaridi Nairobi sijui sehemu zingine, karibu sana ndani twende sawa hadi saa nane mchana. Unajiunga nasi ukiwa upande gani?

Massawe Japanni
Ednah Ombaso
Nambari ya simu, 0204445975
Nambari ya arafa, 22494

Tunaanza Bustani la Massawe salama Jumatatu ingawa kuna kibaridi Nairobi sijui sehemu zingine, karibu sana ndani twende sawa hadi saa nane mchana. Unajiunga nasi ukiwa upande gani? #JamboMassawe @MassaweJapanni @ednahombaso Nambari ya simu, 0204445975 Nambari ya arafa, 22494
account_circle
Fatma Jacobs(@FJacobs4) 's Twitter Profile Photo

Eudias Kigai Radio Jambo I doubt Eudias.. huyo jamaa ana hila ndio asiwjibike. Ikiwa ni kweli dada anamtishia akapige ripoti lakini isiwe kigezo kutomsaidia yule malaika .

account_circle
Mwangi_Specter(@kymanimwangi) 's Twitter Profile Photo

Radio Jambo Eudias Kigai Mapenzi ya mtandao ni poa na pia ni mbaya nlipata mtu kwa app ya tantan alniibia simu na pesa na tulipatana tu sku moja the rest tulkua tunachat...though pia online dating ni poa ukipata mtu mtapatana na muelewane

account_circle
Fatma Jacobs(@FJacobs4) 's Twitter Profile Photo

Eudias Kigai huyo kaka asitilie maanani ati atalaaniwa, kuna mambo mengine ya dhulma kama laana hata mungu hatokubali. Follow your heart brother ! Radio Jambo

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Moja kwa akina dada: 'Urembo wa mwanamke wajumuisha nini haswa?' Maoni yako ni yapi kuhusu hali ambapo mume wako anajitenga na familia nzima, Yuko ndio ila unahisi kwamba hayuko.

Eudias Kigai
Kwenye simu, 0204445975
Kwenye arafa, 22494

Moja kwa akina dada: 'Urembo wa mwanamke wajumuisha nini haswa?' Maoni yako ni yapi kuhusu hali ambapo mume wako anajitenga na familia nzima, Yuko ndio ila unahisi kwamba hayuko. #SemaNaEudias @EudiasKigai Kwenye simu, 0204445975 Kwenye arafa, 22494
account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Jeshi likiondoka studioni bila kitengo cha ushauri, basi litakuwa limefeli. kwa hivyo, tunaingia kwenye Ushauri katika awamu ya hadi saa nane.

Eudias Kigai
Nambari ya simu, 0204445975
Nambari ya arafa, 22494.

Jeshi likiondoka studioni bila kitengo cha ushauri, basi litakuwa limefeli. kwa hivyo, tunaingia kwenye Ushauri katika awamu ya #ILIKUAJE hadi saa nane. #SemaNaEudias @EudiasKigai Nambari ya simu, 0204445975 Nambari ya arafa, 22494.
account_circle