Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Kumekucha Msikilizaji! Wikendi ilikuaje? Tuanze wiki Kwa baraka kwenye mpango mzima na Emmanuel Matano Radio Ashe . Wakaribishe wawili tukisonga
Call 07 12 00 00 14. Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10

Kumekucha Msikilizaji! Wikendi ilikuaje? Tuanze wiki Kwa baraka kwenye mpango mzima #AsheBreakfast na @EmmanuelMatano4 @radio_ashe  . Wakaribishe wawili tukisonga
Call 07 12 00 00 14.     Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10
account_circle
jaguar 😺(@Jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri

Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?

🔥🔥