Mwanahamisi Singano(@MSalimu) 's Twitter Profileg
Mwanahamisi Singano

@MSalimu

Global Citizen PanAfrican Feminist. Informed and Concerned Citizen. Gender, Governance and Climate Justice Expert. Opinionated woman & mother of 3

ID:428844272

calendar_today05-12-2011 07:37:18

45,3K Tweets

69,8K Followers

3,7K Following

WEDO(@WEDO_worldwide) 's Twitter Profile Photo

This , WEDO is honoring women environmental defenders, working to protect people and planet 🌍A thread of key reading:

This #EarthDay2024, WEDO is honoring women environmental defenders, working to protect people and planet 🌍A thread of key reading:
account_circle
Mwanahamisi Singano(@MSalimu) 's Twitter Profile Photo

Kama life lingekuwa fair na kila ulichotaka umepata, je

1. Ungekuwa umeoa/kuolewa na nani?

2. Ungekuwa unafanya kazi gani/ au unamiliki biashara ipi?

3. Rais wako 2026 baada ya uchaguzi wa 2025 angekuwa nani?

4. Ungekuwa unaishi nchi gani?

5. Humu ndani ungejulikanaje?

account_circle
Mwanahamisi Singano(@MSalimu) 's Twitter Profile Photo

Nimealikwa shughuli and I was so excited about it! Shughuli ni leo usiku, hapa najishawishi kama niende au nisiende, na kama uwepo wangu una athari yoyote? I do this all the time na mara zote upande wa usiende unashinda. Sijui ndio utu uzima au social anxiety imekuwa sugu?

account_circle
Mwanahamisi Singano(@MSalimu) 's Twitter Profile Photo

Innalilah, Allah ampe kauli thabit.

Pole sana nyingi kwa Prof Assad kwa kuondekewa na mkewe.

Kwa mlio karibu, mkatuwakilishe kwenye maziko.

account_circle
Mwanahamisi Singano(@MSalimu) 's Twitter Profile Photo

Nina makovu ya kutosha kwa kutojipenda, kujistukia na kutojiamini, ni ajabu hata kufika hapa baada ya kupita kwenye giza nene.

Mpenzi wangu 2024, niko tayari kuwa na mafanikio, najua mwaka huu nitahama pale pa hovyohovyo na kwenda ushuani, kuna meza nitaikaa na wewe utaiandaa

account_circle