Mapigo(@MapgoTz) 's Twitter Profileg
Mapigo

@MapgoTz

Hip Hop artist.
Song Writer.
Entrepreneur.
view $ subscribe my YouTube channel link hpo chin.

ID:1445090957213458432

linkhttps://youtube.com/channel/UCVd1kp39CmLE1c2K2NbXpxA calendar_today04-10-2021 18:18:46

3,0K Tweets

2,1K Followers

2,2K Following

SAKA NYOKA๐Ÿฅพ๐ŸŒณ๐Ÿ(@ElishaSabuni) 's Twitter Profile Photo

*Wakolosai 3:1-2*

Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu. Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi.

account_circle
Mapigo(@MapgoTz) 's Twitter Profile Photo

Shemeji yenu kaniuliza ni lini utaacha pombe? Nikamjibu kati ya pombe na wewe nani kamkuta mwenzie? Akajibu ni mimi. Nikamwambie alie mkuta mwenzie ndio ataondoka.
Eti kanuna sasa hapo nimekosea nini? ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

account_circle
Mfalme ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Kwanini mwanaume hutakiwi kusamehe ukisalitiwa?

Mwanaume lazima uelewe sex kwa mwanamke sio jambo la kimwili tu ila ni roho na hisia.

Mwanamke analala na mtu anayempenda na sio vinginevyo, pia wanawake hawawezi kupenda watu wawili kwa wakati mmoja hivyo kama atampenda mwanaumeโ€ฆ

account_circle
lady_Vee๐Ÿ’œ(@ladyVee_Ve) 's Twitter Profile Photo

Good morning my love
Amka ukaoge baba angu chai iko mezani tayari ๐Ÿ˜Š alafu uniambie leo mchana unatamani kula nini mpenz wangu??

Unatamani uamshwe hivyo nakwambia na hilo komwe lako utaamshwa na ofa za voda mpaka ukome๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Bangladesh mkubwa

account_circle
Ngadu(@Ngadu01) 's Twitter Profile Photo

'Moshi ndio sehemu yenye single mother wengi kuliko sehem nyingine yoyote dunia nzima.'

Je, kuna ukweli wowote kwenye hii comment ya mdau?

account_circle
Zature(@iamZature) 's Twitter Profile Photo

Ikitokea Umeoa lakini ikagundulika huna uwezo wa kumpa mkeo Mimba, utafanyaje?

1. Utamruhusu abebe mimba ya mwanaume mwingine?

2. Utamtaliki ili awe huru kuolewa na mwanaume mwingine?

account_circle
Marscele Qynegar(@MarsceleQynegar) 's Twitter Profile Photo

Dau limefika 236k,Kaambiwa cash out hiyo 200k ubakishe 36k uzungushe,ohh nina upepo,nimetoka, kurudi mwamba kapunwa kabaki na 16k,una upepo sio, aviator (kindege) imemsukutua kijana

account_circle
Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Awam ya pili ya Joe Biden endapo atachaguliwa kuwa Rais wa ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ana kibarua kigumu kwenye mambo haya;
1.Kusambaza umeme Vijijini
2.Kuchimba Visima maeneo ya Vijijini
3.Kujenga Zahanati Vijijini
4.Uboreshaji wa barabara za vijijini
5.Kuongeza idadi ya Madarasa na Vyoo shuleni

account_circle
Dominick samba(@SambaDominick) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Ndio anafunza wenzie (Saving) wakti wa baadae

Pia anawakomaza wenzake (kuwanyima )wawe wavumilivu

Istoshe anaonesha Ego yake kwa kumudu nyakati

Nzuri zaidi anakuwa Bepari akiwa bado mdogo Ujamaa ameukataa

Ili kuwakomesha afanye kama anasukutua hivi kuwatia wenge wenzie

account_circle
Nathan Paul S.(@Fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Ukweli ni mzuri lakini unatakiwa uwe tangu mwanzo
Kama utaanza kudanganya kisha ndo ukaamua kuwa mkweli Basi ukweli wako utakuadhibu!

Ukiwa na uziwi wa kusikiliza Changamoto za watu, usiwalaumu wakiwa mabubu wa kukualika kwenye hafla ya mafanikio yao

account_circle
Fridolini Theophili(@ftheophili_) 's Twitter Profile Photo

Unaweza pita sehemu na manzi saa 7 usiku mpo wa wawili tu. Kesho yake mtu anakuambia nilikuona upo na fulani mnapita.

Unajiuliza huyu alikua wapi ? usiku watu hawalali kabisa.

account_circle
m.s.a.k.i โ€ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Huko kazini kwako nako usijifanye una ujuzi sana kuliko maboss zako wala kujifanya una maoni na ideas kila sehemu. Usiseme hukuambiwa.

account_circle
narrowbeefly(@narrowbeefly) 's Twitter Profile Photo

Dawa ya kutuliza maumivu ya kichwa inaenda kafanyaje tumboni?? Kwanini kusingekuwa na dawa ya kupaka tu kichwani?? ๐Ÿค”๐Ÿคฃ

account_circle
Mchungaji mteule, Noedson.(@Noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

Mama Samia Suluhu naomba utusapoti kwenye kanisa letu tuliloanzisha jipya waumini wapate hata Viti vya kukalia.

Tunaomba.

Viti 70
Speaker kubwa 02
Microphone 03
Ngoma 03
Na kitita cha milion 02

Tunaamini utatusaidia mama tuiombee nchi na viongozi wake.

Ubarikiwe, Karibu.๐Ÿ™

account_circle