Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profileg
Lubasha Jr

@MarekaMalili

|Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|

ID:372227239

linkhttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.bando.dev calendar_today12-09-2011 11:35:03

660,5K Tweets

619,9K Followers

1,7K Following

Action for Democratic Governance (A4DG).(@Action4DG) 's Twitter Profile Photo

Elimu ya mpiga kura inahitajika kuwa katika lugha inayooeleweka na kutegemea na mazingira, jamii zinatofautiana utashi wake hivyo elimu lazima izingatie mazingira husika ili isionekane hainatija. ~ Hilder Gasper



Elimu ya mpiga kura inahitajika kuwa katika lugha inayooeleweka na kutegemea na mazingira, jamii zinatofautiana utashi wake hivyo elimu lazima izingatie mazingira husika ili isionekane hainatija. ~ Hilder Gasper #KanuniZaSADC #CharterProjectAfrica #Action4DGTz
account_circle
Action for Democratic Governance (A4DG).(@Action4DG) 's Twitter Profile Photo

Takwimu zinaonyesha 2020 nusu ya waliojiandikisha kwenye daftari la wapiga kura hawakupiga kura, ila walijiandikisha ili wapate ile kadi yakupiga kwa matumizi mengine. ~ Caliph Makwita


Takwimu zinaonyesha 2020 nusu ya waliojiandikisha kwenye daftari la wapiga kura hawakupiga kura, ila walijiandikisha ili wapate ile kadi yakupiga kwa matumizi mengine. ~ @caliph_makwita #KanuniZaSADC #CharterProjectAfrica
account_circle
Mjege Kinyota, PhD🇹🇿(@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Unaishia kuwa na watu wanaopenda motivational talks. Nimesema jana kwamba mtoa story anachagua nini cha kuweka na nini cha kutokuweka kutoka kwenye story kamili ya mafanikio yake. Hatuwezi kujua nini kimekuwa omitted na kwa nini

account_circle
AshaDii(@AD_Abinallah) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Very well said Malili.

Lakini na yeye pia kama Mtaalam wa “Effective Study Habits” inatakiwa ajisogeze na awaelewa wananchi wa Mitandaoni. Leo hii, wewe walau umetoa chanzo na sababu, ambayo I can bet yeye haijui.

account_circle
BantuKwanza(@bantukwanza) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Ni kama kimetaverse..

Huwezi ingia kwenye metaverse halafu uchague vitu vya kuchosha akili..

Hapo unachose character Drug Cartel umezungukwa na babes kila kona.
Una dollar kila kona.

account_circle
Twaweza - ni sisi(@Twaweza_NiSisi) 's Twitter Profile Photo

'Kila nchi inabuni muundo wake ili ipate kustawi na kuendelea. Kwetu sisi muungano huu ni wa kibunifu. Lakini tunahitaji kuendelea kuhoji namna muungano utakavyofanya kazi kwa vizazi vijavyo,' Aidan Eyakuze via The Chanzo.


x.com/i/spaces/1Mnxn…

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Ni vile tuu tuna underestimate tuu Raia wangapi wanaingia kwenye socials kukwepa uhalisia wa maisha yao.
Wanaitumia kama escape route ndio maana hata aina ya maudhui wanapenda na yale yana Fantasize imaginations zaidi kuliko some real life experiences.

account_circle
Twaweza - ni sisi(@Twaweza_NiSisi) 's Twitter Profile Photo

Wananchi 4 kati ya 10 Tanzania Bara (42%) wanaona kuwa muundo uliopo wa serikali mbili ndio muundo sahihi zaidi kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa , kuliko mifumo mingine iliyopendekezwa.

Mwananchi mmoja kati ya nane (12%) wanasema muundo mzuri ni ule unaofanana na…

Wananchi 4 kati ya 10 Tanzania Bara (42%) wanaona kuwa muundo uliopo wa serikali mbili ndio muundo sahihi zaidi kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa #Tanzania, kuliko mifumo mingine iliyopendekezwa. Mwananchi mmoja kati ya nane (12%) wanasema muundo mzuri ni ule unaofanana na…
account_circle