🦁PeterLeah🇹🇿(@PeterLeah18) 's Twitter Profileg
🦁PeterLeah🇹🇿

@PeterLeah18

@chugaBOY2022 | Shabiki wa @Arsenal | Simba 🦔|Natamgaza biashara kwa bei poa|0767911056/0626992648

ID:988314666676965376

calendar_today23-04-2018 07:12:33

208,8K Tweets

68,2K Followers

41,3K Following

Radio Maria Tanzania(@radiomariatz) 's Twitter Profile Photo

NIFUNGE NINI KWARESIMA.?
• Hili ni swali tunalojiuliza wengi, ila majibu yake ni kama ifuatavyo:
1. Funga dhambi upate utakatifu.
2. Funga huzuni upate furaha.
3. Funga majivuno upate utukufu.
4. Funga wivu upate baraka.
5. Funga kinyongo upate faraja.

NIFUNGE NINI KWARESIMA.? • Hili ni swali tunalojiuliza wengi, ila majibu yake ni kama ifuatavyo: 1. Funga dhambi upate utakatifu. 2. Funga huzuni upate furaha. 3. Funga majivuno upate utukufu. 4. Funga wivu upate baraka. 5. Funga kinyongo upate faraja.
account_circle
Chezalive(@Chezalive) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Wachezaji Walioteuliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Januari Ligi Kuu Uingereza.

Nani Anastahili ?🤷‍♂️

BREAKING: Wachezaji Walioteuliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Januari Ligi Kuu Uingereza. Nani Anastahili ?🤷‍♂️
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.


#PICHA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa. #MaafaManyara #EastAfricaTV
account_circle
SikilizaTogolani(@SikilizaTogolan) 's Twitter Profile Photo

'Kipimo cha wema wako si kuwarudishia wema waliokufanyia wema bali kuwafanyia wema usiowajua wala wasiokudai wema'. ~Togolani Mavura.

'Kipimo cha wema wako si kuwarudishia wema waliokufanyia wema bali kuwafanyia wema usiowajua wala wasiokudai wema'. ~Togolani Mavura.
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kwa mtu aliyejielimisha kuhusu mabadiliko ya nne ya viwanda duniani, ataelewa kuwa Tanzania mabadiliko haya yanaanza na biashara ndogo zinazoanza mitandaoni na hukomaa na kuingia kwenye mifumo rasmi baadae. Inahusisha pia wasio kwenye mtandao. Muuza mitumba anayetafuta elfu mbili

Kwa mtu aliyejielimisha kuhusu mabadiliko ya nne ya viwanda duniani, ataelewa kuwa Tanzania mabadiliko haya yanaanza na biashara ndogo zinazoanza mitandaoni na hukomaa na kuingia kwenye mifumo rasmi baadae. Inahusisha pia wasio kwenye mtandao. Muuza mitumba anayetafuta elfu mbili
account_circle
OMONTO(@StephanoPaulo3) 's Twitter Profile Photo

Mkomonisti Wa Twita Zee la Vyeti (PhD) Big 007❄️ Baharia😎 WHYMYCATISSAD Spana & V.A.R Movement Mimi naona ukweli Sasa unabainishwa. Ila historia ni vizuri ihifadhiwe. Kuna mwamba alinipa ushahidi kuwa Kiebrania ni kibantu nilibaki mdomo wazi. Na kile wanachodai Kiebrania ni Urdu

account_circle
Mkomonisti Wa Twita(@mkomonisti) 's Twitter Profile Photo

👉Kama aliteswa na wayahudi hao hao inamana yeye alikua muarab au ndio wale wakristo waliokua % chache za watu waliokua hapo Israel?

(Msininukuu vibaya hapa nipo kwa ajili ya kuwajuza kua Israel ni Afrika nini maoni yako kwenye hili)



🚶🚶🚶

👉Kama aliteswa na wayahudi hao hao inamana yeye alikua muarab au ndio wale wakristo waliokua % chache za watu waliokua hapo Israel? (Msininukuu vibaya hapa nipo kwa ajili ya kuwajuza kua Israel ni Afrika nini maoni yako kwenye hili) #MzeeWaVituAdimu2023 🚶🚶🚶
account_circle
ZILLAX GOLDEN 🇨🇩(@Brice_phbrx) 's Twitter Profile Photo

Mkomonisti Wa Twita Zee la Vyeti (PhD) Big 007❄️ Baharia😎 WHYMYCATISSAD Spana & V.A.R Movement Siwezi sema israel ni africa ila najua waisrael waliopo pale sio wa asili ya hapo na ni refurbished national kwajili ya udhalimu tu, hawafanani na waafrika wala warabu wao walitoka wapi? 💔💔

account_circle