Big 007❄️(@Big0047) 's Twitter Profileg
Big 007❄️

@Big0047

FromVille

ID:1249687012698980353

calendar_today13-04-2020 13:13:31

121,3K Tweets

269,1K Followers

5,6K Following

Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

ASALI YA NYUKI WADOGO

Faida ya Asali nyuki wadogo.
Ni Asali bora iliyotengenezwa na nyuki wadogo kwa sababu ni asali iliyo na virutubisho vingi na muhim kwa matumizi, pia hutumika kama dawa ya magonjwa mbali mbali.

Pia asali ya nyuki wadogo ni nzuri zaidi kwa sababu nyuki…

ASALI YA NYUKI WADOGO Faida ya Asali nyuki wadogo. Ni Asali bora iliyotengenezwa na nyuki wadogo kwa sababu ni asali iliyo na virutubisho vingi na muhim kwa matumizi, pia hutumika kama dawa ya magonjwa mbali mbali. Pia asali ya nyuki wadogo ni nzuri zaidi kwa sababu nyuki…
account_circle
Big 007❄️(@Big0047) 's Twitter Profile Photo

Miaka ilivyoenda TANZANIA
👉 2019
👉 VPN & Uchafuzi
👉 Awamu ya sita
👉 Tozo
👉 Chimbuko la Chawa
👉 Mange Kimambi

N.B Mabadiliko yatawepo ngoja tuone upepo 😁

account_circle
Big 007❄️(@Big0047) 's Twitter Profile Photo

Juzi: Nasimama na Mange kwenye hii vita ⚔️🤺

Leo: Mange hana akili anatumwa na Mabeberu, tunaomba Mashekhe na Waganga wafanye namna

Juzi: Nasimama na Mange kwenye hii vita ⚔️🤺 Leo: Mange hana akili anatumwa na Mabeberu, tunaomba Mashekhe na Waganga wafanye namna
account_circle
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™(@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Je Wajua

Congo kuna aina 1100 za Madini inakadiriwa utajiri wa Madini Nchini congo una thamani ya Trillion 24 sawa na Uchumi wa Marekani na ulaya nzima kwa ujumla.

Je Wajua Congo kuna aina 1100 za Madini inakadiriwa utajiri wa Madini Nchini congo una thamani ya Trillion 24 sawa na Uchumi wa Marekani na ulaya nzima kwa ujumla. #ElimikaWikiendi
account_circle
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™(@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Je Wajua.?

Franchise ni aina ya Biashara ambayo Muanzilishi wa Hiyo Biashara hutoa idhini ya kisheria kwa mtu binafsi,kikundi au Kampuni itakayokua tayari kufanya shughuli maalum za kibiashara zinazo endana na Kampuni Mama

Mfano:KFC,Cocacola,Pepsi,McDonald

Je Wajua.? Franchise ni aina ya Biashara ambayo Muanzilishi wa Hiyo Biashara hutoa idhini ya kisheria kwa mtu binafsi,kikundi au Kampuni itakayokua tayari kufanya shughuli maalum za kibiashara zinazo endana na Kampuni Mama Mfano:KFC,Cocacola,Pepsi,McDonald #ElimikaWikiendi
account_circle
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™(@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Je Wajua

Kabla ya Kuingiza Kinywaji Cha“Red Bull”Mtaani Mwaka 1987 Nchini Austria Walianza Kutupa Makopo Matupu ya Kinywaji hicho katika Mapipa Ya taka na
Madampo nchi nzima ili kuwafanya watu
waanze kukiulizia kinywaji hicho wakiamini kinatumiwa Na wengi..

Je Wajua Kabla ya Kuingiza Kinywaji Cha“Red Bull”Mtaani Mwaka 1987 Nchini Austria Walianza Kutupa Makopo Matupu ya Kinywaji hicho katika Mapipa Ya taka na Madampo nchi nzima ili kuwafanya watu waanze kukiulizia kinywaji hicho wakiamini kinatumiwa Na wengi.. #ElimikaWikiendi
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Fanikisha ndoto yako na akaunti ya Malkia inayokupa uwezo wa kuweka akiba kidogo kidogo kwa ajili ya kutimiza malengo yako.

Faida ya malkia akaunti
1. Kiwango cha chini cha kufungulia akaunti TSh.5,000✅
2. Unapata riba ✅
3. Mkopo hadi 90% ya akiba yako muda wowote✅

Tembelea…

Fanikisha ndoto yako na akaunti ya Malkia inayokupa uwezo wa kuweka akiba kidogo kidogo kwa ajili ya kutimiza malengo yako. Faida ya malkia akaunti 1. Kiwango cha chini cha kufungulia akaunti TSh.5,000✅ 2. Unapata riba ✅ 3. Mkopo hadi 90% ya akiba yako muda wowote✅ Tembelea…
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Wewe ni mtu wa kupenda bata la kama mimi? Skia sasa kuna bata la kibabe ambalo litakuwa na ndani yake litapigwa viwanja vya Posta Kijitonyama tarehe 26&27 mwezi huu. Steji inashambuliwa na Chibu, Casper Nyovest na wasanii A list kibao.

Nunua tiketi yako…

Wewe ni mtu wa kupenda bata la #HadhiYaJuu kama mimi? Skia sasa kuna bata la kibabe ambalo litakuwa na #BiteVibes ndani yake litapigwa viwanja vya Posta Kijitonyama tarehe 26&27 mwezi huu. Steji inashambuliwa na Chibu, Casper Nyovest na wasanii A list kibao. Nunua tiketi yako…
account_circle
SATIVA17(@Sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jana pale telegram channel tulikuwa na siku poa sana🔥🔥

ODDS: 3+ ✅✅
ODDS: 5+ ✅✅
INPLAY: 5/5 ✅✅

Inplay zote zilikuwa na odds 2+🕺

Leo tena kazi inaenda kufanyika mule ndani.🥁

Kujiunga na mm telegram ni bure kabisa.

Link ta channel: t.me/+qfzcUiBU61xiM…

Repost.🦅🦅

Jana pale telegram channel tulikuwa na siku poa sana🔥🔥 ODDS: 3+ ✅✅ ODDS: 5+ ✅✅ INPLAY: 5/5 ✅✅ Inplay zote zilikuwa na odds 2+🕺 Leo tena kazi inaenda kufanyika mule ndani.🥁 Kujiunga na mm telegram ni bure kabisa. Link ta channel: t.me/+qfzcUiBU61xiM… Repost.🦅🦅
account_circle