๐๐ข๐œ๐ก๐š ๐๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข๎จ€(@PichaNzuri) 's Twitter Profileg
๐๐ข๐œ๐ก๐š ๐๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข๎จ€

@PichaNzuri

๐“๐š๐ฌ๐ง๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐ฉ๐ข๐œ๐ก๐š ๐ง๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข,
๐ญ๐š๐  and ๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐ž photos.
๐Ÿ“ธ

ID:1161000981196414976

calendar_today12-08-2019 19:46:19

16,3K Tweets

3,6K Followers

2,4K Following

Rocky Isaac.(@RockyIsaac01) 's Twitter Profile Photo

Watu wa Mungu
๐Ÿ“ Location ni Songea manispaa, mkoa wa RUVUMA
Mtaa wa seedfarm CCM

Wenyeji na wageni nawakaribisha sana tupoe hapa unyama kama unavyo uona ninazo mpaka pombe za kihindi mazee.

Kesho Derby SIMBA v/s YANGA utaangalia wapi? Mimi nitakua hapa, KARIBUNI SANA.๐Ÿค—

Watu wa Mungu ๐Ÿ“ Location ni Songea manispaa, mkoa wa RUVUMA Mtaa wa seedfarm CCM Wenyeji na wageni nawakaribisha sana tupoe hapa unyama kama unavyo uona ninazo mpaka pombe za kihindi mazee. Kesho Derby SIMBA v/s YANGA utaangalia wapi? Mimi nitakua hapa, KARIBUNI SANA.๐Ÿค—
account_circle
mjukuu๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช(@thedoni3) 's Twitter Profile Photo

Mgahawa unaitwa KUCHE KUCHE Upo apa Blantyre MALAWI , Bei poa kabsa ila kila kimoja kina price yake kwa kijiko ata ukitaka mboga au wali mkavu peke yake unapata- sio mboga 7 tena ni 10+๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ sijawai kuona haya TANZANIA

Karbu MALAWI

Mgahawa unaitwa KUCHE KUCHE Upo apa Blantyre MALAWI , Bei poa kabsa ila kila kimoja kina price yake kwa kijiko ata ukitaka mboga au wali mkavu peke yake unapata- sio mboga 7 tena ni 10+๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ sijawai kuona haya TANZANIA Karbu MALAWI
account_circle