Rachel Kimambo
@RachelKimambo
National Secretary for Finance and Resources| Secretary of The Board of Trustees @ACTWazalendo
ID:1400015021271404547
02-06-2021 09:03:40
1,5K Tweet
703 Takipçi
166 Takip Edilen
Ndugu Mtanzania tunaomba mchango Wako kuwezesha Mkutano Mkuu wa ACTWazalendo Taifa utakaofanyika Machi 5-6, 2024.
Unaweza kuwasilisha mchango wako kwa njia zifuatazo;
Tigopesa: 0713957977
Mpesa: 0744959112
JINA: ACT Wazalendo Finance
NMB A/C: 22610004083
JINA: ACT WAZALENDO
Ndugu Mtanzania tunaomba mchango Wako kuwezesha Mkutano Mkuu wa ACTWazalendo Taifa utakaofanyika Machi 5-6, 2024.
Unaweza kuwasilisha mchango wako kwa njia zifuatazo;
Tigopesa: 0713957977
Mpesa: 0744959112
JINA: ACT Wazalendo Finance
NMB A/C: 22610004083
JINA: ACT WAZALENDO
ACT YAANZA MCHAKATO KUMRITHI ZITTO
Chama cha ACTWazalendo kimeanza mchakato wa Uchaguzi wa viongozi wa kitaifa ikiwemo nafasi ya Kiongozi wa Chama inayoshikiliwa na Zitto MwamiRuyagwa Kabwe. Zitto anamaliza muda wake Machi, 2024 kwa mujibu wa Katiba ya ACT WAZALENDO.
Gazeti ni ©Mwananchi
Nini siri ya mafanikio haya?
Ukiacha jitihada kubwa na mshikamano walionao viongozi wetu, siri ya mafanikio haya ni moja. ACTWazalendo kinaendeshwa KISAYANSI. Tunaongoza chama chetu strictly kwa kuzingatia misingi ya kisayansi. Maamuzi yanafanywa kisayansi.
#TheFutureIsPurple
Tunakushukuru Kc Zitto MwamiRuyagwa Kabwe kwa utumishi wako na sasa unakwenda kuwa KC mstaafu jambo ambalo Africa limekuwa gumu viongozi wa vyama kuheshimu Katiba. Wewe ni mfano bora wa tafsiri ya demokrasia.
Majimbo 10 ya Mkoa wa Dar Es Salaam leo 21 Januari,2024 yamekutana na kukamilisha Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo Mkoa. Tulianzia Dar Es Salaam uzinduzi wa Mikutano ya hadhara na leo tumemalizia Dar Es Salaam uchaguzi wa Mikoa. Mgeni rasmi ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar,Othman Masoud Othman
Hatimaye uchaguzi ngazi za mikoa umehitimishwa leo ambapo mkoa wa Dar es salaam umechagua viongozi wake. Mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Zanzibar, Mh. Othman Masoud Othman.
Sasa mikoa yote 39(mingine ya kichama) ina viongozi wake kwa miaka 5 ijayo.
#TaifaLaWote …
📍Dar es Salaam
Hatimaye #DarEsSalaam imefunga kazi leo kwa kuwa Mkoa wa 39 kichama kukamilisha Mkutano Mkuu wa Mkoa huo na kuchagua Viongozi wake kwa miaka 5 ijayo. Mgeni Rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo (Zanzibar), Mhe. Othman Masoud Othman.
#TheFutureIsPurple
'Haturidhishwi kabisa na mwenendo wa mambo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK)'
Katibu Mkuu wa ACTWazalendo
Ado Shaibu
#ZanzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili
Ahsante sana Viongozi wa Mkoa wa Pwani kwa mchango wenu wa kufanikisha Mkutano Mkuu wa ACTWazalendo. Mwanachama na mdau wa demokrasia unaombwa uchangie Mkutano Mkuu wa Uchaguzi kadiri ya uwezo wako.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili