Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Hongereni Simba kwa ushindi wenu dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi uwanjani ni burudani inayowaleta pamoja mamilioni ya Watanzania katika kila kona ya nchi yetu, kwa namna ya kipekee.

Hongereni Simba kwa ushindi wenu dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi uwanjani ni burudani inayowaleta pamoja mamilioni ya Watanzania katika kila kona ya nchi yetu, kwa namna ya kipekee. #KariakooDerby
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi wa zaidi ya miaka 85 sasa ni sehemu muhimu ya burudani yetu. Mnawaleta pamoja na kwa namna kipekee, mamilioni ya Watanzania ndani na nje ya nchi yetu.

Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi wa zaidi ya miaka 85 sasa ni sehemu muhimu ya burudani yetu. Mnawaleta pamoja na kwa namna kipekee, mamilioni ya Watanzania ndani na nje ya nchi yetu. #KariakooDerby
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara. #KariakooDerby
account_circle
Jessie J๐ŸŒบ(@Mrs_Pappi) 's Twitter Profile Photo

haijaanza tupate udhamini kidogo๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Vifuniko Vya Asali Konki
6000 Tu
Jumla kuanzia 6 (za aina 1)-5000
Delivery Ipo na Mikoani Tunatuma kwa Uaminifu Mkubwa
0745124138
mnisaidie kuretweet na kushare
Karibuni Sana

#Kabla #KariakooDerby haijaanza tupate udhamini kidogo๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Vifuniko Vya Asali Konki
6000 Tu 
Jumla kuanzia 6 (za aina 1)-5000
Delivery Ipo na Mikoani Tunatuma kwa Uaminifu Mkubwa
0745124138
#Naombeni mnisaidie kuretweet na kushare
Karibuni Sana
account_circle
Clatous Chota Chama(@ClatousCC) 's Twitter Profile Photo

๐—ง๐—ผ๐—ฑ๐—ฎ๐˜† ๐˜„๐—ฒโ€™๐—น๐—น ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ถ๐—ป ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐ŸŒง๏ธ

Water and colors have never been enemies so our continous quest to paint the city RED remains. God lead our way ๐Ÿ™
.

account_circle
#UNPLAYABLE(@UnplayableZA) 's Twitter Profile Photo

๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—ž ๐—”๐—•๐—ข๐—จ๐—ง ๐—ฅ๐—œ๐—ฉ๐—”๐—Ÿ๐—ฅ๐—ฌ ๐Ÿคญ

Yanga's billboard displaying the scoreline against rivals Simba in the recent ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—ž ๐—”๐—•๐—ข๐—จ๐—ง ๐—ฅ๐—œ๐—ฉ๐—”๐—Ÿ๐—ฅ๐—ฌ ๐Ÿคญ

Yanga's billboard displaying the scoreline against rivals Simba in the recent #KariakooDerby ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

#UNPLAYABLE
account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa Imesalia Saa Kadhaa Tu kuelekea Kule Avic town vijana Wana -100% Pressure, wanarelax wanafanya mambo Yao as Usually, wakati wale wengine ni Week ya 4 sasa wamenyang'anywa simu zao ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Inshort Hawako Huru. Pressure ni Kubwa Sana.

account_circle
Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

๐™๐€๐–๐€๐ƒ๐ˆ ๐Š๐–๐€ ๐–๐€๐๐€๐๐‚๐‡๐ˆ๐Ÿ”ฐ

๐”๐™๐ˆ wa Wananchi sasa ni ๐Ÿ๐Ÿ“,๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ ๐“๐”! Kamata Uzi wako Original twende tukakiwashee Jumamosi kwa Mkapa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ


๐™๐€๐–๐€๐ƒ๐ˆ ๐Š๐–๐€ ๐–๐€๐๐€๐๐‚๐‡๐ˆ๐Ÿ”ฐ 

๐”๐™๐ˆ wa Wananchi sasa ni ๐Ÿ๐Ÿ“,๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ ๐“๐”! Kamata Uzi wako Original twende tukakiwashee Jumamosi kwa Mkapa #KariakooDerby๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
account_circle
Bernard Morrison(@Bm3gh) 's Twitter Profile Photo

You will think heโ€™s talking sense๐Ÿคฆ๐Ÿพ
Game dayโšฝ๏ธ
May God bless us all๐Ÿ™๐Ÿพ

@yangasc1935

You will think heโ€™s talking sense๐Ÿคฆ๐Ÿพ
Game dayโšฝ๏ธ
May God bless us all๐Ÿ™๐Ÿพ
#kariakooderby 
@yangasc1935
account_circle