Tanzania Media Women(@TAMWA_) 's Twitter Profileg
Tanzania Media Women

@TAMWA_

A peaceful Tanzanian society which respects human rights from a gender perspective. #ZuiaUkatili #WanawakeWanaweza

ID:1274843022

linkhttp://www.tamwa.org calendar_today17-03-2013 12:30:10

10,6K Tweets

14,1K Followers

600 Following

Follow People
Tanzania Media Women(@TAMWA_) 's Twitter Profile Photo

Mshindi wa wiki ya pili wa tuzo za KathubutuKatimiza Marry Kalambwa, amepokea tuzo yake iliyomfikia akiwa katika shughuli zake za udereva wa bodaboda,mkoani Singida.

account_circle
Tanzania Media Women(@TAMWA_) 's Twitter Profile Photo

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Ana Makakala: Wanawake tunamuangalia Rais Samia Finya link kutazama zaidi 👉🏽 youtube.com/@tamwaonlinetv…

account_circle
Tanzania Media Women(@TAMWA_) 's Twitter Profile Photo

Wanachama wa TAMWA walipata fursa adhimu ya kutembelea mradi wa SGR kutoka Dar-Moro kwa treni ya umeme na walitumia saa mbili tu kufika Morogoro!

Leo Sekretarieti na wanachama wa TAMWA wamepata fursa ya kusafiri na treni ya mpya ya mwendokasi (SGR)kutoka Dodoma Hadi Dar es Salaam. Tutaendelea kuwajuza zaidi.

TAMWA imetambua mchango na juhudi za Semeni Kalori, dereva wa bodaboda anayekusanya mkaa ili kuwatunza watoto wake sita,huko mkoani Geita. Hongera Semeni,

TAMWA imetambua mchango na juhudi za Semeni Kalori, dereva wa bodaboda anayekusanya mkaa ili kuwatunza watoto wake sita,huko mkoani Geita. Hongera Semeni, #KathubutuKatimiza #IWD2024
account_circle
Mbundi John(@JohnMbundi) 's Twitter Profile Photo

Wamiliki wa vyombo vya Habari wana wajibu wa kuunga mkono ajenda ya jinsia na kuitekeleza kwa vitendo ikiwemo kutoa nafasi sawa za kuongoza ndani ya vyumba vya Habari.

Tanzania Media Women

Wamiliki wa vyombo vya Habari wana wajibu wa kuunga mkono ajenda ya jinsia na kuitekeleza kwa vitendo ikiwemo kutoa nafasi sawa za kuongoza ndani ya vyumba vya Habari. @TAMWA_ #WomenInMediaTz
account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Uwepo wa wanawake katika nafasi za uongozi za Utendaji wa juu unaweza kusaidia kukuza mazingira yanayokaribisha ubunifu na uvumbuzi, ambayo ni muhimu kwa mafanikio ya Vyumba Vya Habari katika ulimwengu wa leo. Tanzania Media Women

Uwepo wa wanawake katika nafasi za uongozi za Utendaji wa juu unaweza kusaidia kukuza mazingira yanayokaribisha ubunifu na uvumbuzi, ambayo ni muhimu kwa mafanikio ya Vyumba Vya Habari katika ulimwengu wa leo. #WomenInMediaTz @TAMWA_ #ZuiaUkatili
account_circle
Mbundi John(@JohnMbundi) 's Twitter Profile Photo

Tuwafundishe watoto wetu angali wakiwa wadogo juu ya umuhimu wa usawa wa Kijinsia, hii itasaidia kuja kupata Taifa linalothamini Haki ya kila mmoja wetu katika jamii.

Tanzania Media Women

Tuwafundishe watoto wetu angali wakiwa wadogo juu ya umuhimu wa usawa wa Kijinsia, hii itasaidia kuja kupata Taifa linalothamini Haki ya kila mmoja wetu katika jamii. @TAMWA_ #WomenInMediaTz
account_circle