winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Dodomaa

Ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari umefanyika leo kwa mbio zilizohusisha waandishi wa habari katika adhma ya kuhamasisha uhuru wa habari

Dodomaa

Ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari umefanyika leo kwa mbio zilizohusisha waandishi wa habari katika adhma ya kuhamasisha uhuru wa habari #WPFD2024 #WomenInMediaTz
account_circle
Cheza Foundation(@ChezaFoundation) 's Twitter Profile Photo

Hata mwanamke mwenye ulemavu akipewa nafasi na kujengewa mazingira mazuri ya yeye kujiamini na kumuondolea vikwazo anaweza kuwa kiongozi mzuri na akaitumikia nafasi aliyopewa vizuri sana.

Tanzania Media Women

Hata mwanamke mwenye ulemavu akipewa nafasi na kujengewa mazingira mazuri ya yeye kujiamini na kumuondolea vikwazo anaweza kuwa kiongozi mzuri na akaitumikia nafasi aliyopewa vizuri sana.
#WomenInMediaTz
@TAMWA_
account_circle
Tanzania Media Women(@TAMWA_) 's Twitter Profile Photo

TAMWA imeshiriki kikamilifu katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Duniani 2024 uliohusisha mbio za kilomita 10 zilizofunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri.

TAMWA imeshiriki kikamilifu katika ufunguzi wa Maadhimisho ya #SikuYaUhuruWaVyomboVyaHabari Duniani 2024 uliohusisha mbio za kilomita 10 zilizofunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri. #WPFD2024 #TAMWA #ZuiaUkatili #WomenInMediaTz
account_circle
Baba momo(@godfreyabely2) 's Twitter Profile Photo

Wapo wanawake wengi sana katika jamii zetu wanaoweza kuongoza taasisi mbalimbali ni muhimu sasa taasisi ziwape nafasi ili waonyeshe uwezo wao.

Wapo wanawake wengi sana katika jamii zetu wanaoweza kuongoza taasisi mbalimbali ni muhimu sasa taasisi ziwape nafasi ili waonyeshe uwezo wao.
#WomenInMediaTz
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Vyuo vya habari vijikite kwenye vitendo kupata wanahabari mahiri ikiwa ni pamoja na kusimamia sera za kupambana na rushwa ya ngono

Vyuo vya habari vijikite kwenye vitendo kupata wanahabari mahiri ikiwa ni pamoja na kusimamia sera za kupambana na rushwa ya ngono 
#VunjaUkimya #ZuiaUkatili #WomenInMediaTz
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Kuna haja ya kuwapatia waandishi wanawake mafunzo ya kujiamini ili kuwaepusha na udhalilishaji wakiwa nje na ndani ya vyumba vya habari.
Tanzania Media Women

Kuna haja ya kuwapatia waandishi wanawake mafunzo ya kujiamini ili kuwaepusha na udhalilishaji wakiwa nje na ndani ya vyumba vya habari.#WomenInMediaTz 
@TAMWA_
account_circle