Uhamiaji Tanzania(@UhamiajiTz) 's Twitter Profileg
Uhamiaji Tanzania

@UhamiajiTz

Tanzania Immigration Services Department Official Twitter Account

ID:986586155457089536

linkhttps://www.immigration.go.tz calendar_today18-04-2018 12:44:04

2,4K Tweets

56,5K Followers

88 Following

Uhamiaji Tanzania(@UhamiajiTz) 's Twitter Profile Photo

Mbashara!
Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inayowasilishwa Bungeni leo tarehe 15 Mei, 2024 na Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni.

/25

youtube.com/live/NcGs9mmOPโ€ฆ

account_circle
Uhamiaji Tanzania(@UhamiajiTz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kufuatilia Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itakayowasilishwa Kesho Bungeni Jijini Dodoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ#KESHO #Usikose kufuatilia Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itakayowasilishwa Kesho Bungeni Jijini Dodoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
account_circle
Uhamiaji Tanzania(@UhamiajiTz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji (CGI) Dkt. Anna Makakala leo tarehe 13 Mei 2024 amehudhuria Hafla ya Uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pamoja na kukabidhi Mitambo ya Kuzima Moto na Uokoaji, hafla hiyo ilifanyika Kikombo Dodoma

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ#UhamiajiUpDates Kamishna Jenerali wa Uhamiaji (CGI) Dkt. Anna Makakala leo tarehe 13 Mei 2024 amehudhuria Hafla ya Uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pamoja na kukabidhi Mitambo ya Kuzima Moto na Uokoaji, hafla hiyo ilifanyika Kikombo Dodoma
account_circle
Uhamiaji Tanzania(@UhamiajiTz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Arusha ikiongozwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhamiaji SACI Joseph Kasike leo tarehe 06 Mei, 2024 imetoa elimu kwa umma kupitia redio ya Taifa TBC Fm kuhusu Kampeni ya Mjue Jirani yako na masuala mbalimbali ya Ki-uhamiaji.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ#UhamiajiUpDates Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Arusha ikiongozwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhamiaji SACI Joseph Kasike leo tarehe 06 Mei, 2024 imetoa elimu kwa umma kupitia redio ya Taifa TBC Fm kuhusu Kampeni ya Mjue Jirani yako na masuala mbalimbali ya Ki-uhamiaji.
account_circle