Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profileg
Annastazia Rugaba-Marondo

@annarugaba

A wife, a mother, a mentor and a communication specialist...

ID:44646077

linkhttp://www.dfm.co.tz/ calendar_today04-06-2009 15:53:53

595 Tweets

1,2K Followers

409 Following

Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

I pray that one day, the authorities will hear and understand this cry on non communicable diseases (My two cents on Mwananchi newspaper 03rd May 2024)

I pray that one day, the authorities will hear and understand this cry on non communicable diseases (My two cents on Mwananchi newspaper 03rd May 2024)
account_circle
Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

Namtunuku recognition hii pia mama yangu mzazi mpambanaji Dorothy Kajuga Rugaba ambaye amekuwa kioo cha mawaridi wajane shupavu.

Ni matumaini yangu itaibua untold stories nyingi zaidi za mawaridi wa kitanzania siku za usoni

Once again, asanteni sana. I am humbled

Namtunuku recognition hii pia mama yangu mzazi mpambanaji Dorothy Kajuga Rugaba ambaye amekuwa kioo cha mawaridi wajane shupavu. Ni matumaini yangu #waridiwabbc itaibua untold stories nyingi zaidi za mawaridi wa kitanzania siku za usoni Once again, asanteni sana. I am humbled
account_circle
Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

Asante sana BBC News Swahili kwa 'unexpected recognition' sikuitarajia! Naomba kuitunuku kwa mawaridi wote Tanzania wanaopambana usiku na mchana, mvua na jua, kutimiza ndoto zao na za vizazi vyao

Asante sana @bbcswahili kwa 'unexpected recognition' sikuitarajia! Naomba kuitunuku kwa mawaridi wote Tanzania wanaopambana usiku na mchana, mvua na jua, kutimiza ndoto zao na za vizazi vyao
account_circle
Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

Thanks Media Council of Tanzania, Legal and Human Rights Centre and ITV for having me. It was a great moment for me to make a critical analysis of Journalists voices towards the World Press Freedom Day 2024 commemorations

Thanks Media Council of Tanzania, Legal and Human Rights Centre and ITV for having me. It was a great moment for me to make a critical analysis of Journalists voices towards the World Press Freedom Day 2024 commemorations
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Akifungua Msimu mpya wa Shindano, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Misimu iliyopita ya Shindano la 'Stories of Change' (SoC), takribani machapisho 6,000 yaliwasilishwa ndani ya JamiiForums.com kutoka kwa Wananchi

Ameeleza kuwa Miongoni mwa Maudhui…

Akifungua Msimu mpya wa Shindano, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Misimu iliyopita ya Shindano la 'Stories of Change' (SoC), takribani machapisho 6,000 yaliwasilishwa ndani ya JamiiForums.com kutoka kwa Wananchi Ameeleza kuwa Miongoni mwa Maudhui…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Msimu wa 4 wa 'Stories of Change' mbali na , JamiiForums itashirikiana na Wadau wengine kutoka Serikalini, Asasi za Kiraia, Mashirika yasiyo ya Kiserikali na Kampuni Binafsi katika nyanja za , , Vijana, Wanawake, Makundi Maalumu, Teknolojia, Afya n.k.

Wadau…

Msimu wa 4 wa 'Stories of Change' mbali na #Twaweza, JamiiForums itashirikiana na Wadau wengine kutoka Serikalini, Asasi za Kiraia, Mashirika yasiyo ya Kiserikali na Kampuni Binafsi katika nyanja za #Habari, #Elimu, Vijana, Wanawake, Makundi Maalumu, Teknolojia, Afya n.k. Wadau…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Miongoni mwa Vigezo na Masharti vya Msimu wa 4 wa 'Stories of Change' ni andiko libebe maono ya kibunifu kuhusu 'Tanzania Tuitakayo' yanayoweza kutekelezeka kuanzia sasa hadi Miaka 25 ijayo.

Pia, liwe na Maneno kuanzia 700 na yasiyozidi 1,000 kwa lugha ya Kiswahili au…

Miongoni mwa Vigezo na Masharti vya Msimu wa 4 wa 'Stories of Change' ni andiko libebe maono ya kibunifu kuhusu 'Tanzania Tuitakayo' yanayoweza kutekelezeka kuanzia sasa hadi Miaka 25 ijayo. Pia, liwe na Maneno kuanzia 700 na yasiyozidi 1,000 kwa lugha ya Kiswahili au…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Msimu wa 4 wa Shindano la 'Stories of Change' JamiiForums itashirikiana na Mshirika wake wa muda mrefu, pamoja na Wadau wengine kutoka Serikalini, Asasi za Kiraia na Mashirika yasiyo ya Kiserikali

Pia, itashirikiana na Kampuni binafsi katika nyanja za Habari, Elimu,…

Msimu wa 4 wa Shindano la 'Stories of Change' JamiiForums itashirikiana na Mshirika wake wa muda mrefu, #Twaweza pamoja na Wadau wengine kutoka Serikalini, Asasi za Kiraia na Mashirika yasiyo ya Kiserikali Pia, itashirikiana na Kampuni binafsi katika nyanja za Habari, Elimu,…
account_circle
Twaweza - ni sisi(@Twaweza_NiSisi) 's Twitter Profile Photo

Shindano la awamu ya nne mwaka 2024, litaanza tarehe 1 Mei 2024, kwa lengo la kuhamasisha wananchi kutambua maeneo ya kuboresha nchini na, zaidi ya yote, kupendekeza maono ya kibunifu ambayo yanaweza kutekelezwa kuanzia miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo.

Shindano la awamu ya nne mwaka 2024, litaanza tarehe 1 Mei 2024, kwa lengo la kuhamasisha wananchi kutambua maeneo ya kuboresha nchini na, zaidi ya yote, kupendekeza maono ya kibunifu ambayo yanaweza kutekelezwa kuanzia miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo. #TanzaniaTuitakayo
account_circle
Twaweza - ni sisi(@Twaweza_NiSisi) 's Twitter Profile Photo

Ungana na Jamii Forums na Twaweza - ni sisi katika Uzinduzi wa Shindano la 'Stories of Change' yenye kauli mbiu ya !

Uzinduzi utanyika leo Aprili 19, 2024 kuanzia Saa 8 Mchana jijini Dar es Salaam.

Ungana na @JamiiForums na @Twaweza_NiSisi katika Uzinduzi wa Shindano la 'Stories of Change' yenye kauli mbiu ya #TanzaniaTuitakayo! Uzinduzi utanyika leo Aprili 19, 2024 kuanzia Saa 8 Mchana jijini Dar es Salaam.
account_circle
Twaweza - ni sisi(@Twaweza_NiSisi) 's Twitter Profile Photo

'Tayari kuna watu wengi katika mitandao ya kijamii. Na ndio maana kuna umuhimu wa kuendelea kuwekeza katika majukwaa haya ili wananchi waweze kutoa maoni kwa uhuru na kwa urahisi. - Annastazia Rugaba-Marondo, Mkurugenzi Utetezi, Twaweza wakati wa uzinduzi wa shindano la 'Stories of Change'…

'Tayari kuna watu wengi katika mitandao ya kijamii. Na ndio maana kuna umuhimu wa kuendelea kuwekeza katika majukwaa haya ili wananchi waweze kutoa maoni kwa uhuru na kwa urahisi. - @annarugaba, Mkurugenzi Utetezi, Twaweza wakati wa uzinduzi wa shindano la 'Stories of Change'…
account_circle
Twaweza Uganda(@twaweza_uganda) 's Twitter Profile Photo

Join Hempel Foundation at the Marmalade Festival, a dynamic side event of Skoll World Forum on April 11 in Oxford! Explore impactful strategies for tackling the and transforming education systems at scale.

Hosted by Rosa Robinson, Hempel Foundation's Senior…

Join Hempel Foundation at the Marmalade Festival, a dynamic side event of @SkollWorldForum on April 11 in Oxford! Explore impactful strategies for tackling the #GlobalLearningCrisis and transforming education systems at scale. Hosted by Rosa Robinson, Hempel Foundation's Senior…
account_circle
Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

It was a fulfilling experience to sit with highly respected gurus in the field of media, communications, and public relations, in addressing the Government Communication officers.

It was a fulfilling experience to sit with highly respected gurus in the field of media, communications, and public relations, in addressing the Government Communication officers.
account_circle
Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

It was a 'Manel' (all-male panel) in pic.1. Eventually, it turned out to become a 'Panel' in pic.2

Single-handedly moved it from manel to panel!

Hongera TAGCO, and thanks for having me as a resource person for 'Crisis Communication Management.

It was a 'Manel' (all-male panel) in pic.1. Eventually, it turned out to become a 'Panel' in pic.2 Single-handedly moved it from manel to panel! Hongera TAGCO, and thanks for having me as a resource person for 'Crisis Communication Management.
account_circle
Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

DIRA 2050, Inakuhusu. Toa maoni yako. Unataka Tanzania ya namna gani?

...Privileged to be part of the TDV 2050 Communications strategy team.

Looking forward to a Development vision that is inclusive of all voices from Citizens and Netizens

DIRA 2050, Inakuhusu. Toa maoni yako. Unataka Tanzania ya namna gani? ...Privileged to be part of the TDV 2050 Communications strategy team. Looking forward to a Development vision that is inclusive of all voices from Citizens and Netizens
account_circle