LHRC
@humanrightstz
#Tanzania's leading Human Rights #Advocacy organization Providing #LegalAid to the marginalized and conduct strategic litigation.
ID:195676860
https://humanrights.or.tz/en 27-09-2010 09:22:54
15,8K Tweets
107,8K Followers
505 Following
Ukatili wa kisaikolojia kwa watoto umeshamiri, mfn kina baba kutelekeza watoto #RipotiYaHaki2023
LAUNCH OF THE TANZANIA HUMAN RIGHTS REPORT 2023.
-Press Release-
#THRR2023
#RipotiYaHaki2023
#humanrightsreport2023
Legal and Human Rights Centre (LHRC) launched its Tanzania Human Rights Report 2023, today Wednesday, 24th April 2024, for more about the report click the link below. ⤵️⤵️
t.ly/MQpuy
#THRR2023
#RipotiYaHaki2023
#humanrightsreport2023
Karibu asilimia 16 ya wanawake wa kizanzibari ambao wamekuwa kwenye mahusiano au wameolewa wamefanyiwa ukatili kwa mujibu wa #RipotiYaHaki2023
Kuondoa katazo la mikutano ya kisiasa lilikuwa ni jambo jema saana kwa sababu lilikuwa linakiuka haki ya kujumuika. #RipotiYaHaki2023 #THRR2023 LHRC The Chanzo
Legal and Human Rights Centre (LHRC) launched its Tanzania Human Rights Report 2023, today Wednesday, 24th April 2024, for more about the report click the link below. ⤵️⤵️
t.ly/MQpuy
#THRR2023
#RipotiYaHaki2023
#humanrightsreport2023
Kuelekea Uzinduzi wa #RipotiYaHaki2023 tujikumbushe trend ya Mauaji na vitendo vya Ukatili yanayotokana na Imani ya Kishirikina kwa watu wenye Ualbino.
#THRR2023
#humanrightsreport2023
Jiunge nasi tarehe 24/4/2024 kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa saba mchana kwa uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2023. Jiandikishe kupitia Zoom kupitia link hii:
t.ly/APcEJ
#THRR2023 #RipotiYaHaki2023
#HumanRightsReport2023
Kwa mujibu wa #RipotiYaHaki2022 hawa ndio wahanga wakubwa wa ukiukwaji wa haki za Binadamu huku watoto wakiongoza wakifuatiwa na wanawake
Get ready kwa #RipotiYaHaki2023 inazinduliwa Kesho April 24 chini ya LHRC ,inakuja na lipi? Jisajili hapa t.ly/APcEJ