Wanafunzi wa shule ya sekondari Juhudi na Buyuni wameungana na The LaunchPad kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika ICT. Pamoja na LP Digital & Women and Technology Tanzania, tunafungua njia kwa vipaji vipya katika teknolojia. Femina Hip log.ai
#GirlsInICT #TechWomenTz
Katika darasa leo, mwalimu kutoka log.ai anawashirikisha wanafunzi mifano inayoonyesha jinsi AI inavyofanya kazi. Huu ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyobadilika na teknolojia.
LP Digital Women and Technology Tanzania Femina Hip
#GirlsInICT #TechWomenTz
Katika Darasa leo, Mwalimu kutoka log.ai anawashirikisha wanafunzi mifano inayoonyesha jinsi #AI inavyofanya kazi. Huu ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyobadilika na teknolojia.
LP Digital Women and Technology Tanzania Femina Hip
#GirlsInICT #TechWomenTz
Kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika ICT leo ni fursa ya kipekee kwa LP Digital & Women and Technology Tanzania kuleta mabadiliko katika sekta ya teknolojia. Tunajivunia kuungana na Femina Hip na log.ai katika kufungua milango kwa talanta mpya! ~Mkurugenzi wa idara ya ubunifu
Katika maadhimisho ya
#SikuYaMtotoWaKikeKatikaTEHAMA , Mwalimu Zephania Reuben (Zephania Reuben ) kutoka log.ai aliongoza mafunzo
ya Al kwa mabinti zaidi ya 20, walioonesha nia na uelewa mkubwa.
Mwalimu Zephania Reuben anahimiza jamii ya wataalamu na wafadhili kuwekeza katika wasichana.
Did you celebrate #GirlsinICTDay yesterday?
Well, We LP Digital & Women and Technology Tanzania did in partnership with FEMA Clubs and log.ai
Check out our highlight video👇🏾
💪🏾 to inspiring more girls in tech. #DigitalTanzania #DigitalInclusionTZ #TechWomenTZ #GirlsInICT
Katika darasa leo, mwalimu kutoka log.ai anawashirikisha wanafunzi mifano inayoonyesha jinsi AI inavyofanya kazi. Huu ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyobadilika na teknolojia.
LP Digital Women and Technology Tanzania Femina Hip
#GirlsInICT #TechWomenTZ
Katika darasa leo, mwalimu kutoka log.ai anawashirikisha wanafunzi mifano inayoonyesha jinsi AI inavyofanya kazi. Huu ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyobadilika na teknolojia.
LP Digital Women and Technology Tanzania Femina Hip
#GirlsInICT #TechWomenTZ
Wanafunzi wa shule ya sekondari Juhudi na Buyuni wameungana na The LaunchPad kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika ICT. Pamoja na LP Digital & Women and Technology Tanzania, tunafungua njia kwa vipaji vipya katika teknolojia. Femina Hip log.ai
#GirlsInICT #TechWomenTz
Katika darasa leo, mwalimu kutoka log.ai anawashirikisha wanafunzi mifano inayoonyesha jinsi AI inavyofanya kazi. Huu ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyobadilika na teknolojia.
LP Digital Women and Technology Tanzania Femina Hip
#GirlsInICT #TechWomenTZ
Join us in supporting Girls’ journey towards a more inclusive and dynamic digital world.
Together, we can inspire more young women to harness the power of ICT!
Cc: Femina Hip log.ai
#GirlsInICTDay #MitandaoNaSisi #TechWomenTz
Wanafunzi wa shule ya sekondari Juhudi na Buyuni wameungana na The LaunchPad kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika ICT. Pamoja na LP Digital & Women and Technology Tanzania, tunafungua njia kwa vipaji vipya katika teknolojia. Femina Hip log.ai
#GirlsInICT #TechWomenTz
#GirlsInICTDay at LP Digital in partnership with log.ai and Femina Hip
Another one for the books. #TechWomenTZ #DigitalTanzania #DigitalInclusionTZ