Chukua hatua ya kwanza kuelekea mafanikio! Fuatilia Mentorship Café inayoendelea hivi sasa tarehe iliyoandaliwa na taasisi ya LP Digital. Ni fursa muhimu ya kukuza ujuzi wako na kufikia malengo yako.
#Techwomentz #SkillingTanzania #Mitandaonasisi
🌿 Calling all women entrepreneurs!
Join the Women Entrepreneurship Programme to empower your green business ideas and lead the way in sustainable development.
🔗Apply now at TEFConnect.com
📅Deadline : May 15 2024
#TechWomenTz #TechOpportunities
Kupitia kikao cha Mentorship Cafe, tunapata fursa ya kujifunza na kushirikiana na wale waliofanikiwa kabla yetu.
Asanteni sana LP Digital kwa kutuleta pamoja vijana na mentors kwa lengo la kujenga ujuzi na ufahamu zaidi.
#SkillingTanzania #MitandaoNaSisi
#TechWomenTZ
Is your organization dedicated to digital innovation for civic engagement and community-driven development?
Apply for the AU Civic Tech Fund's second edition and become a grantee!
📅Deadline: May 12, 2024.
🔗: t.ly/veSUO
#TechWomenTz #TechOpportunities
Katika maadhimisho ya
#SikuYaMtotoWaKikeKatikaTEHAMA , Mwalimu Zephania Reuben (Zephania Reuben ) kutoka log.ai aliongoza mafunzo
ya Al kwa mabinti zaidi ya 20, walioonesha nia na uelewa mkubwa.
Mwalimu Zephania Reuben anahimiza jamii ya wataalamu na wafadhili kuwekeza katika wasichana.
Don’t miss the Mentorship Cafe today follow the #MentorshipCafe to get all the updates
The event is designed to foster growth and learning.
#techwomentz #SkillingTanzania #mitandaonasisi
Shoutout to the mentor behind the magic! On #GirlsInICTDay , this amazing Femina Hip Club mentor accompanied high school girls to LP Digital and log.ai 's AI training, providing support every step of the way.
#TechWomenTz #GirlsInICTDay #MitandaoNaSisi #AI #DigitalLiteracy
Hii Mentors Mentee Date ya The LaunchPad ni hatua nzuri maana hapa kama mentee unapata nafasi ya kujuana na mentor wako . #SkillingTanzania #MitandaoNaSisi #TechWomenTz
Tuko kwenye ulimwengu ambao tunatakiwa kujifunza toka kwa waliotangulia na leo The LaunchPad wanafanikisha hili kwa kukutanisha vijana na Mentors pale Grano cafe mlimani . Nawatakia mafanikio vijana wote #SkillingTanzania #MitandaoNaSisi #TechWomenTz
Mark your calendars! 🗓️
Don’t miss the Mentorship Café on Wednesday, May 1st, 2024.
This event is designed to foster growth and learning.
#techwomentz #SkillingTanzania #mitandaonasisi
Kwa mara nyingine taasisi ya LP Digital imefanikiwa kuwa na Mentorship Cafe program inayosaidia kukuza ujuzi wako kupitia Mentor and Mentee session inayowajumuisha wabobezi na wataalamu katika nyaja mbalimbali.
#Techwomentz #SkillingTanzania #Mitandaonasisi
Happy Workers' Day!
Today we celebrate the tireless efforts and achievements of workers worldwide. Your dedication makes a difference!
#MitandaoNaSisi #TechWomenTZ #tanzaniansheroes #hakizakidijitali #WorkersDay #LaborDay
Leo The LaunchPad wamekutanisha mentors na mentees kwenye #MentorshipCafe kwa ajili ya kutambuana na kubadilishana uzoefu . Hii ni katika kuhakikisha mentees wanapata ujuzi zaidi utakaowasaidia kwenye yale wanafanya #SkillingTanzania #MitandaoNaSisi #TechWomenTz
Mark your calendars! 🗓️
Don’t miss the Mentorship Café on Wednesday, May 1st, 2024. Hosted by LP Digital , this event is designed to foster growth and learning.
#techwomentz #SkillingTanzania #mitandaonasisi
LP Digital & Women and Technology Tanzania Equips girls with tech skills & Encourages girls to enter tech which helps challenge and change societal stereotypes about gender roles, particularly in STEM fields where women are underrepresented.
#GirlsInICT #TechWomenTZ #DigitalTanzania
Looking forward to gaining valuable insights from Lilian Mpondachuma at the #MentorshipCafe . Let's empower teams and make a positive impact together!
#TechWomenTZ