Shabiby_line(@shabiby_line) 's Twitter Profileg
Shabiby_line

@shabiby_line

official twitter account of shabiby bus company in Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ,instagram @shabiby_line

ID:788819461050605568

linkhttp://www.shabiby.co.tz calendar_today19-10-2016 19:09:50

714 Tweets

4,7K Followers

48 Following

Tanzania Road Roamers(@tanroas) 's Twitter Profile Photo



โœ๏ธ Kwa mamlaka niliyonayo ninaitangaza Rasmi kampuni ya kuwa ni Taasisi kamili baada ya kupitia na kujiridhisha kuwa imekidhi vigezo vyote ambavyo ni...

1. Kuwa na Mabasi zaidi ya 20+.
2. Kuwa na mabasi VIP + VVIP.
3. Kuwa na Mabasi yenye Vyoo.
4. Kuwa na

#Taasisi โœ๏ธ Kwa mamlaka niliyonayo ninaitangaza Rasmi kampuni ya #ShabibyLine kuwa ni Taasisi kamili baada ya kupitia na kujiridhisha kuwa imekidhi vigezo vyote ambavyo ni... 1. Kuwa na Mabasi zaidi ya 20+. 2. Kuwa na mabasi VIP + VVIP. 3. Kuwa na Mabasi yenye Vyoo. 4. Kuwa na
account_circle
Shabiby_line(@shabiby_line) 's Twitter Profile Photo

Familia yetu inaendelea kuongezeka hususani katika mtandao wa kijamii wa instagram,Tunakushukuru wewe unaefuatilia kurasa yetu na kuifanya kurasa ya mabasi yenye wafuatiliaji wengi zaidi nchini Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ,Asante sana.
Tafadhali usiache kushare,kucoment,Like na follow

Familia yetu inaendelea kuongezeka hususani katika mtandao wa kijamii wa instagram,Tunakushukuru wewe unaefuatilia kurasa yetu na kuifanya kurasa ya mabasi yenye wafuatiliaji wengi zaidi nchini Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ,Asante sana. Tafadhali usiache kushare,kucoment,Like na follow
account_circle
Shabiby_line(@shabiby_line) 's Twitter Profile Photo

Safiri na mabasi yetu ya daraja la juu VIP2 kwa Tsh 35,000/= Tu kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma na kutoka Dodoma kwenda Dar es salaam kila siku saa tatu na nusu asubuhi (9:30am)

Kata tiketi ya safari yako kupitia Shabiby.co.tz

account_circle
Shabiby_line(@shabiby_line) 's Twitter Profile Photo

JE,WAJUA?๐Ÿšจ

Sasa unaweza kukata tiketi ya safari yako pasipo kuhusisha matumizi ya data au tovuti bali kupitia SMS tu,tuma neno โ€œshabibyโ€ au โ€œtiketiโ€ kwenda namba 0766 626 666.

LIVE ROYAL ๐ŸŒ TRAVEL ROYAL

JE,WAJUA?๐Ÿšจ Sasa unaweza kukata tiketi ya safari yako pasipo kuhusisha matumizi ya data au tovuti bali kupitia SMS tu,tuma neno โ€œshabibyโ€ au โ€œtiketiโ€ kwenda namba 0766 626 666. LIVE ROYAL ๐ŸŒ TRAVEL ROYAL #ShabibyDigital #LiveRoyalTravelRoyal
account_circle
Shabiby_line(@shabiby_line) 's Twitter Profile Photo

Ifanye safari yako kuwa ya kihistoria kutoka Dom kwenda Dar na shabiby bus kila siku kuanzia saa kumi na moja alfajiri (5:00am),Tuna madereva waliobobea na wenye umakini wa hali ya juu katika kuhakikisha unafika salama.

Ifanye safari yako kuwa ya kihistoria kutoka Dom kwenda Dar na shabiby bus kila siku kuanzia saa kumi na moja alfajiri (5:00am),Tuna madereva waliobobea na wenye umakini wa hali ya juu katika kuhakikisha unafika salama. #ShabibyDigital #LiveRoyalTravelRoyal
account_circle
mopao(@el_Mopao96) 's Twitter Profile Photo

ambu john Mabasi Terminal mbna Shabiby_line nakata tiket niko nyumban sipigi simu na nikifika sika ya safar nakuta sit yang ipo pale pale halaf jamaa hawakagui ticket mpka unafika dodoma bila kusumbuliwa

account_circle
MILLES,๐Ÿงญ(@Anuari_Khalifa_) 's Twitter Profile Photo

Wanangu wa MBEYA stay Attention kaa kijanja zaidi Shabiby_line sasa yupo kiuganjani mwako ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿงฏ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ

Wanangu wa MBEYA stay Attention kaa kijanja zaidi @shabiby_line sasa yupo kiuganjani mwako ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿงฏ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ
account_circle
Uncle Fafi(@Tanganyikan) 's Twitter Profile Photo

Wamezuia mabasi kupakia au kushusha Shekilango, hadi Shabiby sasa hivi wanaishia Mbezi. Hatujawahi kuamini kwenye kurahisisha maisha aise

account_circle