SOLO THANG~#UCHU
@solothang
Rapper/Actor/Activist/Song-writer,,,Booking contacts [email protected]! I SPEAK MY MIND!!
ID:40130991
http://www.solothangmusic.com 15-05-2009 00:35:09
39,9K Tweets
151,2K Followers
10,0K Following
Our brother SOLO THANG~#UCHU alipiga story nasi kwa njia ya simu kidg last week ndani ya The Classic na akapata kuongelea Ule utata wa yeye kutekwa na Kikosi cha Mizinga ilivyokuwa,sikiliza hapo chini 👇🏾
youtu.be/WntWoSP-Uy0?si…
JABIR SALEH (Zee la kujibrand) SANUKAnaCHAPO SOLO THANG~#UCHU Nimependa nilichosikia, umetisha kubalance story💪 Inapaswa kuwa hivo, stories nyingi tunaskiaga one side tu!!
#TBT @shneida_infos anaamini Mtanzamo ya Selemani Msindi Joseph L. Haule na SOLO THANG~#UCHU ni moja ya ngoma bora za HipHop za muda wote Tanzania.
Uandishi ✅
Flows✅
Punchline✅
Ujumbe✅
Chemistry✅
Idea ya wimbo 💯
Vuta kushoto kusikia na kuona michano ya #ProfJay na #AfandeSele …
Happy Birthday Mh Rais Samia Suluhu , Mola azidi kukupa afya njema, Nguvu, Hekima, na maarifa ya Kutuongoza.🙏
#BURUDANI Kupitia Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive #NIPENI_MAUA_YANGU💐 anasema #ChidiBenz hakuwa kwenye Plan ya ngoma yake ya 'Nasikia harufu'.
Roma anasema ngoma hiyo alitaka afanye na SOLO THANG~#UCHU 'Ulamaa' G Nako na Khaligraph Jones Khaligraph Jones
Ipi ingekuwa kali…
Mkubwa,tunaomba Homa ya Dunia,Kima cha chini na Travellah ziingie Spotify na kwingineko SOLO THANG~#UCHU