Karibu tukupitishe vichwa mbalimbali vya habari vilivyojiri kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Mei 06, 2024.
#AzamTVUpdates
Jina maarufu la mshambuliaji wa zamani wa #Brazil Pele limeingizwa kwenye kamusi ya lugha ya Kireno.
Linamaanisha nini?
Nisikilize
#PeleMeansUnique
#EdsonArantesdoNascimento
#Mitandaoni #AzamNews #AzamTVUpdates Azam TV
Watu wanne wanaodaiwa kujihusisha na kutoa mikopo nje ya utaratibu, wanatarajia kufikishwa mahakamani baada yakukamatwa wakiwa na kampuni tatu feki zinazotoa ‘mikopo kausha damu’.
#AzamTVUpdates
Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi
Jeshi la Polisi mkoani Singida limesema watu wawili watapandishwa kizimbani kwa mashitaka ya kuhusika na kupotea kwa wafanyabiashara wawili mkoani humo miezi minne iliyopita.
#AzamTVUPdates
Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi
आजमगढ़ में जो भी काम हुआ है ओ केवल केवल सपा सरकार में ये बात हम नही खुद सुन लो आप Samajwadi Party
Akhilesh Yadav #azamgaforov #azamgarh #azamtvupdates
@dineshlalyadav
Serikali imeombwa kuingilia kati ili haki ipatikane kwa binti wa miaka minane anayedaiwa kubakwa na jirani yao. Hadi sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya mtuhumiwa.
#AzamTVUpdates
Wahariri |Onike Masayanyika, John Mbalamwezi
Breaking News
Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia.
#AzamTVUpdates
Imeandaliwa na John Mbalamwezi
Watu wanne akiwemo raia wa Kenya, Javani Ochengi mkazi wa Kimara Dar es Salaam wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
#AzamTVUpdates
Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameiomba serikali kufikiria uwezekano wa kuanzisha taasisi zitakazopewa majukumu ya kusaidiana na Shirika la Ugavi wa Umeme nchini TANESCO ili kulipunguzia mzigo wa kazi tatu kubwa.
Huyu hapa FESTO RICHARD SANGA Bungeni leo Mei 3,…
Mmoja wa watu walioshiriki kwenye tukio la kihistoria la kuchanganya udongo siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Hasaniel Elisaeli Mrema, amefariki dunia nyumbani kwake Old Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya kuugua kwa muda mrefu.
#AzamTVUpdates
Wahariri | Tuya Ibrahim,…
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa anafanyia kazi mpango wa bima ya afya ya NHIF ili iweze kutumika katika kuwaona madaktari bingwa na kuwezesha wananchi kupata huduma kwa gharama nafuu.
#AzamTVUpdates
Wahariri | Tuya Ibrahim, John Mbalamwezi
#MuunganoDay2024 | Rais Samia Suluhu Hassan alivyowasili Uwanja wa Uhuru kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano.
Wahariri | Onike Masayanyika na Claud J Mshana
#AzamTVUpdates #Muungano60
#Muungano Day2024 | Gwaride maalum la maadhimisho ya miaka 60 ya #Muungano lilivyounda umbo maalum lenye mchanganyiko wa herufi na tarakimu zinazosomeka #Miaka60YaMuunganoOyee
Wahariri | Onike Masayanyika na Claud J Mshana
#AzamTVUpdates #Muungano 60
Idadi ya vifo vilivyotokana na mvua kubwa za El Nino zilizoambatana na upepo mkali, mafuriko na maporomoko ya udongo maeneo mbalimbali hapa nchini vimeongezeka na kufikia 161 kutoka vifo 155.
#AzamTVUPdates
Wahariri | John Mbalamwezi
Serikali imelipa fedha tasilimu shilingi trillioni 10.1 kati ya trilioni 23.3 kwa mkandarasi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), huku shirika la reli (TRC) likisema safari za treni hiyo kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma zitaanza mwezi Julai.
#AzamTVUpdates
Habari | George Mbara…
Wanafunzi watatu wa Sekondari ya Mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga wamefariki dunia kwa kukosa hewa safi walipokuwa wakitoa mahindi kwenye ghala la chakula la shule hiyo.
#AzamTVupdates
Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi