u cannot tell me he didnt fall inlove with her
#behindthescene #kimyoojung #songkang #mydemon #kdrama
Iran imeitaarifu Iraq,Qatal,Saudi Arabia na UAE,endapo vita vitaanza na Israel US ikiingilia, Kambi zote za US zilizopo kwenye nchi zao zitakuwa target ya makombora ya Iran.
#Behindthescene
#BilaGanzi
Kwa mara ya kwanza Kombora limetumika Ukraine na ni hatari zaidi ya Hypersonic missile.
#Behindthescene
#BilaGanzi
Jamaa kama wana haha kila kukicha,Tusikilize lipi sasa,Urusi inadhoofika au inaimarika?
#Behindthescene
Russian Force ndani ya Niger. Baada ya wanajeshi wa US na France kutimuliwa Kiongozi wa Niger ameingia kandarasi na vikosi vya Urusi.
#Behindthescene
Taifa teule wakizichapa wenyew kwa wenyewe.Kwenye maandamano ya kumtoa madarakani first born wao Netanyahu🤣🤣🤣.
#Behindthescene
Makamanda wa US wameshaanza kufika Israel ilikupanga chakufanya endapo Taifa teule litashambuliwa na Iran.
#Behindthescene
Drone ndani ya Kiev baadae utaambiwa zote zimetunguliwa hakuna kitu,mficha maradhi kifo humuumbua.Zelensky laza mshale chini Putin atakutoa damu za pua.
#Behindthescene
Mpaka sasa hali inavyoendelea Iran kuishambulia Israel ni swala la muda tu lakini ni lazima.Nilitaka kushangaa mashariki ya kati pakae miaka kumi bila kivumbi.
#Behindthescene
#BilaGanzi
Hii ndo adhabu ya mtu aliyebaka mtoto mdogo nchini Yemen.Kwa mtazamo wako vip imekaa poa au?
#Behindthescene
#BilaGanzi
Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un anasema hiki nikipindi cha kujiandaa na kuwa tayari kwa vita kuliko kipindi chochote. Vip Kim yupo sahihi au anaitisha dunia tu?
#Behindthescene
Russia did not strike Ukraine energy sector during winter for the humanitalian reason-Vladimir Putin
#Behindthescene
#BilaGanzi
Chanzo kikubwa cha Umeme cha mji Kiev kimeteketea kabisa baada ya kushambuliwa kwa makombora na Urusi.Wacha mvua iendelee kunyesha.
#Behindthescene
Iran na Israel mambo yamekaa kama pana weza kuwaka muda wowote vile.Kwa hali ilivyo kosa dogo sana linaweza sababisha Vita vikaanza
#BilaGanzi
#Behindthescene
Nchi za kiarabu zimemtaarifu US hazipo tayari kuruhusu mashambulizi ya Iran yatakayo fanywa na US kutokea kwenye ardhi au anga la nchi zao.Mmmmh huuu sio mtego kweli?
#Behindthescene
#BilaGanzi
Uturuki imesema itaiwekea vikwazo Israel mpaka pale itakapo sitisha mapigano huko GAZA,Israel wamejibu na wao watamwambia US na Nchi za Ulaya waiwekee vikwazo Uturuki vitakavyo leta athari kubwa kwenye uchumi wake.Kwanini watamwambia US na Ulaya?
#Behindthescene
#BilaGanzi
Haiwezi kuwa kweli,Ukraine si wana Patriot air defence na kila kombora la Urusi wanalitungua hili gazeti ni la mchongo.
#Behindthescene