Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndio gharama za NATO kutaka kujisambaza kuelekea MOSCOW.Bila Maidan revolution ya mchongo wa Ukraine wasinge kufa namna hii.Wadhamini wa Maidan revolution wanajiskiaje huko walipo wakiona walichosababishia raia wa Ukraine.

account_circle
Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ulinzi wa Urusi amesema NATO wanawanajeshi zaidi ya 30,000,Vifaru 300 na magari ya jeshi 800 karibu na mpaka wa Urusi.Urusi inawafatilia kwa umakini mkubwa sana.Tujadili kidogo unadhani NATO inauwezo waivamia na kuiteka Urusi?Kwanini?

#Behindthescene 
#BilaGanzi
account_circle