Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profile Photo

Ni jambo la ajabu na aibu kwa serikali ya awamu hii kuwakamata watu kwa sababu wanatetea maslahi ya wananchi. Kama kuna vijana wanauawa na Polisi na hizi taarifa sio za kweli toeni vithibitisho na sio kukamata raia. Tunakosa uhuru kwenye Nchi yetu wenyewe.

#FreeBoni 
#FreeMalisa
account_circle
Laizer Laizer(@LaizerLaizer10) 's Twitter Profile Photo

Police should not be intimidation instead they should be good when it comes to something which involves violence against people. Boniface Jacob and MalisaGJ have all rights to stand firm and defend whoever rights have been violated.

Police should not be intimidation instead they should be good when it comes to something which involves violence against people. @ExMayorUbungo and @MalisaGJ_ have all rights to stand firm and defend whoever rights have been violated.
#freemalisa
#freeBiniface
account_circle
Harry.(@HarryGodfirst) 's Twitter Profile Photo

Polisi hii tabia ya kukamata watu kwa tuhuma fulani halafu wanawachukua nyumbani kwenda kupekua maana yake wanajaribu kwenda kutafuta USHAHIDI wa kosa lingine, huko ndio unakuta POLISI wanakuwekea BANGI au Madawa ya Kulevya.

Police Force TZ ni WAJINGA sana.

#FreeMalisa 
#FreeBoni

Polisi hii tabia ya kukamata watu kwa tuhuma fulani halafu wanawachukua nyumbani kwenda kupekua maana yake wanajaribu kwenda kutafuta USHAHIDI wa kosa lingine, huko ndio unakuta POLISI wanakuwekea BANGI au Madawa ya Kulevya. 

@tanpol  ni WAJINGA sana.
account_circle
Ndahani N. Mwenda(@ndahani_mwenda) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuendelea kuwashikilia MalisaGJ na Boniface Jacob ni dhahiri Jeshi la Polisi bado linajiendesha Kikoloni mno!

Badala wahangaike kuchunguza chanzo cha kifo cha Robert Mushi, wao wanashughulika na watoa taarifa!

Kwa kuendelea kuwashikilia @MalisaGJ_ na @ExMayorUbungo ni dhahiri Jeshi la Polisi bado linajiendesha Kikoloni mno!

Badala wahangaike kuchunguza chanzo cha kifo cha Robert Mushi, wao wanashughulika na watoa taarifa!

#FreeMalisa #FreeJacob #AskMwenda
account_circle
Abdul Nondo 🇹🇿(@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi Kigoma,Wilaya Buhigwe mwezi huu 4 walimuwa kijana aitwaye Bisula Ndongo ,mkazi wa Kijiji cha Kajana Wilaya ya Buhigwe kwa kisingizio kwamba ni Kamchape .Na maiti ya Kijana huyo ikapelekwa Kasulu.Polisi wanatisha familia ya Bisula ili wakae kimya.#FreeMalisa#Boni