MIRIAM💜(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Sifa Za Chifu Tereza Mwami Ntare

Alikuwa Jasiri
Alikuwa na Fukuto
Alikuwa Mchapakazi
Alikuwa Mwenye Maadili Mema ya Kitanzania
Yote kwa Yote Alikuwa Mwanamke Mrembo sana na Mwenye Heshima

#MwamiTerezaNtare 
#HerStoryCoalition
account_circle
MIRIAM💜(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Baadhi Ya Picha Za Matukio katika kuadhimisha na Kusherekea Mafanikio ya Mwami Tereza Ntare II Chifu wa kwanza Mwanamke akitokea Kigoma

“Sisi kama vijana viongozi na wanawake kitu ambacho tunatakiwa kuondoka nacho leo ni kukumbuka unatokea wapi, umepita wapi hakikisha uongozi wako unaleta matokeo chanya katika Jamii” Ishengoma Irene

“Sisi kama vijana viongozi na wanawake kitu ambacho tunatakiwa kuondoka nacho leo ni  kukumbuka unatokea wapi, umepita wapi hakikisha  uongozi wako unaleta matokeo chanya katika Jamii” @IshengomaIrene 

#MwamiTerezaNtare 
#HerStoryCoalition
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Leo tupo hapa Makumbushon ya Taifa kusherehekea mafanikio ya Mwami TEREZA NTARE II wa Kigoma..
Chifu wa kwanza

Mwanamke huyu Kiongozi Shujaa.

Cc @WomeFund_TZ Msichana Initiative Soma

Leo tupo hapa Makumbushon ya Taifa kusherehekea mafanikio ya Mwami TEREZA NTARE II wa Kigoma..
Chifu wa kwanza

Mwanamke huyu Kiongozi Shujaa.

#MwamiTerezaNtare
#HerStoryCoalition Cc @WomeFund_TZ  @MsichanaUwezo @SomaMkahawani
account_circle
Women Fund Tanzania Trust(@WomenFund_TZ) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia ijumaa njema.. tuendelee kukumbuka na kusisitiza jamii yetu kuziandika, kuzitangaza na kuzihifadhi hadithi za mafanikio ya wanawake(HerStories) katika nyanja mbalimbali ili vizazi vya sasa na vijavyo viweze kujifunza kupitia hizo hadithi.

Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh Dr Damas Ndumbaro akiwasili ukumbini kwa ajili ya kusherehekea mafanikio ya Kiongozi Shujaa Mwami Tereza Ntare