Joe Machozi(@Joe_Machozi) 's Twitter Profile Photo

Tunaokaa mabondeni hii tahadhari tuitumie vyema kwa kutoka maeneo hayo mapema ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza baada ya Mvua hizi ikiwemo vifo na kupoteza mali.

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

TMA : TAHADHARI YA MVUA KUBWA KWA SIKU TANO KWA MIKOA 12 NCHINI

> Baadhi ya maeneo ya Lindi, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Pwani, Dar es Salaam, Tanga, Morogoro na visiwani yanatarajiwa kupata mvua hizo

Soma - jamii.app/MvuaKubwa

#JFLeo
account_circle
Yekonia Luka Mlowe(@cryptoyeko_Afya) 's Twitter Profile Photo

As is burden and kills majority of people. It can be treated at an early stage but cannot be in a lete stages. Now with our slogan of ( ). oncointelligence devoted to work in awareness first for early detect.

account_circle
Taasisi ya Mifupa-MOI(@TaasisiyaMifupa) 's Twitter Profile Photo

Mifupa hupoteza ubora wake kadri umri unavyozidi kwenda, unaweza kuifanya mifupa yako iendelee kuwa imara kwa kula vyakula vyenye madini ya Calcium kwa wingi. Pia Mazoezi husaidia kuimarisha mifupa Dr. Norman Jonas #ElimikaWikiendi Jamii Health

Mifupa hupoteza ubora wake kadri umri unavyozidi kwenda, unaweza kuifanya mifupa yako iendelee kuwa imara kwa kula vyakula vyenye madini ya Calcium kwa wingi. Pia Mazoezi husaidia kuimarisha mifupa #elimikaleo @NormanJonasMD @ElimikaWikiendi @JamiiHealth
account_circle
Dr. Budodi 🩺🩸🇹🇿(@Dr_Budodi) 's Twitter Profile Photo

✍️ Magonjwa ya zinaa yanaweza kuwa na dalili au sio kuwa na dalili kabisa, kwa hiyo ni muhimu kupima hata kama unaona kuwa una afya nzuri.

✍️ Magonjwa ya zinaa yanaweza kuwa na dalili au sio kuwa na dalili kabisa, kwa hiyo ni muhimu kupima hata kama unaona kuwa una afya nzuri.

#dalili #MCT  #kinganiborakulikotiba
account_circle
CME Active Trader(@CMEActiveTrader) 's Twitter Profile Photo

How are traders viewing the gold market? We look at the days in 2023 where gold volatility has spiked the most, according to the CME Group CVOL index. spr.ly/6015PBDc1

account_circle