Willy Sekwa Duke(@ChibuDuke) 's Twitter Profile Photo

🎙️FULL TIME: MUUNGANO CUP🇹🇿

KVZ 0-2 SIMBA SC
25’—⚽️ Freddy Michael
90’—⚽️ Israel Mwenda
.
✅ SIMBA SC wamefuzu Fainali ya Kombe la na wanamsubiri Mshindi kati ya Azam FC dhidi ya KMKM SC.

🎙️FULL TIME: MUUNGANO CUP🇹🇿

 KVZ 0-2 SIMBA SC
25’—⚽️ Freddy Michael
90’—⚽️ Israel Mwenda
.
✅ SIMBA SC wamefuzu Fainali ya Kombe la #MuunganoCup na wanamsubiri Mshindi kati ya Azam FC dhidi ya KMKM SC.
account_circle
Baraka Adson Mpenja 🇹🇿(@Baraka__Mpenja) 's Twitter Profile Photo

Michuano ya Kombe la Muungano inafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kupigwa.

Ni Mzizima Derby, Simba SC dhidi ya AzamFC.

Mchezo huu utaruka mbashara kupitia kuanzia saa 2:15 usiku

Je, ni Mnyama ama Matajiri wa Chamazi nani kubeba kombe hili?.

Michuano ya Kombe la Muungano inafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kupigwa.

Ni Mzizima Derby, Simba SC dhidi ya  AzamFC.

Mchezo huu utaruka mbashara kupitia #AzamSports1HD kuanzia saa 2:15 usiku

Je, ni Mnyama ama Matajiri wa Chamazi nani kubeba kombe hili?.

#MuunganoCup
account_circle
Baraka Adson Mpenja 🇹🇿(@Baraka__Mpenja) 's Twitter Profile Photo

MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano, Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM.

Michezo hii kuruka mbashara kupitia

Je, ni timu gani kutinga fainali?.

MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano, Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM.

Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD 

Je, ni timu gani kutinga fainali?.

#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM
account_circle
Jumaah Salumu(@JumaahSalumu) 's Twitter Profile Photo

Micky Jnr OFFICIAL

The referees who will play the Union Cup championship starting today in Zanzibar.....three are from and four are from

Today is Simba vs KVZ at 20:15 pm.

League Cup

@MickyJnr__ OFFICIAL

The referees who will play the Union Cup championship starting today in Zanzibar.....three are from #NBCPremierLeague and four are from #PBZPremierLeague

 Today is Simba vs KVZ at 20:15 pm.

 #TanzaniaUnionSuperLeague #Muungano League #MuunganoCup #KombeLaMuungano
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Cup Simba SC wameibuka na Ubingwa wa Kombe la Muungano baada kuifunga Azam 1 - 0 Uwanja wa Amaan huko Visiwani Zanzibar.

Goli pekee la Simba limefungwa na kiungo wao Babacar Sarr DK77’

#MuunganoCup Simba SC wameibuka na Ubingwa wa Kombe la Muungano baada kuifunga Azam 1 - 0 Uwanja wa Amaan huko Visiwani Zanzibar.

Goli pekee la Simba limefungwa na kiungo wao Babacar Sarr DK77’

#Muungano #SimbaSC #Azam #Tanzania #Zanzibar
account_circle
Enold Elisha Kassedy(@EnoldKassedy) 's Twitter Profile Photo

Walau jana tumepata cha pili.

Tujifunze kusherekea ushindi na mafanikio kidogo tunayoyapata katika maisha haijalishi tuliyakosa na kuyapoteza.

Simba

Walau jana tumepata cha pili.
#muunganocup 

Tujifunze kusherekea ushindi na mafanikio kidogo tunayoyapata katika maisha haijalishi tuliyakosa na kuyapoteza.

Simba #NguvuMoja
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Dakika 90 zimemalizika uwanja wa New Amaan Complex na Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya KVZ .

FULLTIME | KVZ 0-2 SIMBA SC
⚽️Freddy Michael
⚽️ Israel Mwenda

Rasmi sasa Simba wamefuzu Fainali ya Kombe la na wanamsubiri Mshindi kati ya Azam FC dhidi ya…

Dakika 90 zimemalizika uwanja wa New Amaan Complex na Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya KVZ .

FULLTIME | KVZ 0-2 SIMBA SC
⚽️Freddy Michael
⚽️ Israel Mwenda

Rasmi sasa Simba wamefuzu Fainali ya Kombe la #MuunganoCup na wanamsubiri Mshindi kati ya Azam FC dhidi ya…
account_circle