𝐕𝐢𝐯𝐮𝐤𝐨 𝐯𝐢𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨𝐣𝐞𝐧𝐠𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐒𝐨𝐧𝐠𝐨𝐫𝐨
Mv. Ruhuhu -90%
Mv. Kilombero- 84%
Mv. Nyerere- 79.5%
Bwiro Bukundo - 70%
Rugezi Kisorya 70%
Ijinga Kahangala - 67%
Nyakalilo Kome- 55.5%
Buyagu Mbalika - 30%
#MamaAnafanikisha
Burela and Ruhondo Twin Lakes, along with Swamp Rugezi, are indeed stunning and serene places for bird watching. The diverse bird species in this area make it an excellent spot for bird enthusiasts.
.
.
#visitrwanda #travelrwanda #adventure #tripadvisor #destinationrwanda #birds
#MiakaMiwiliYaMama Serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga vivuko vinne vya Rugezi, Ijinga -Kahangala, Bwiro-Bukondo na Nyakalilo katika mkoa wa Mwanza ili kutapunguza changamoto za usafiri kwa wananchi wanaoishi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.
#MamaYukoKazini
Vivuko hivyo vitatoa huduma kati ya Ijinga na Kahangala Wilayani Magu, Bwiro na Bukondo Wilayani Ukerewe, Kisorya na Rugezi Wilayani Ukerewe pamoja na kivuko kitakachokwenda kutoa huduma kati ya Nyakaliro na Kome Wilayani Sengerema, vyote vikiwa Mkoani Mwanza.
#MamaYukoKazini
Ujenzi wa vivuko vipya 4 unaendelea mkoani Mwanza.
Vivuko hivyo vitaenda kutoa huduma maeneo ya Bwiro Bukondo, Kisorya Rugezi, Nyakaliro Kome na Ijinga Kahangala yote ikiwa ni Kanda ya Ziwa.
#MiakaMiwiliYaMama
#mamayukokazini
#MamaAnafanikisha
#AsanteSamia
#Sisitumekubali
Serikali inaendelea na ujenzi wa vivuko:
✅Kisorya- Rugezi
✅Ijinga- Kahangala
✅Bwiro- Bukondo
✅Nyakarilo- Kome
Ujenzi huu utaondoa kero ya usafiri kwa wananchi wanaotegemea vivuko na kurahisisha shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii. #mamayukokazini #MamaAnafanikisha
RP-IPRC KITABI students having an incredible experience at #Rugezi Swamp
#educationaltours #bureradestination #adventure #hiking #exproring #HiddenGems #Greenland
Ujenzi wa vivuko vipya ukiendelea Mkoani Mwanza. Vivuko hivyo vinaenda kutoa huduma maeneo ya Ijinga - Kahangala, Kisorya - Rugezi, Nyakaliro - Kome, Buyagu - Mbalika pamoja na Bwiro - Bukondo. Kwa Wastani ujenzi wa vivuko vyote umefikia zaidi ya Asilimia 80%. #kaziinaendelea