Eric Chingalo(@ericchingalo) 's Twitter Profile Photo

Am so excited to participate in the marathon tomorrow with the HISP TANZANIA team. There has been lots of preparation towards this. See you on Sunday πŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸ’¨

Am so excited to participate in the #Run4AutismTanzania2024 marathon tomorrow with the @hisptanzania team. There has been lots of preparation towards this. See you on Sunday πŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸ’¨
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

'Tumepata certificate'

Baadhi ya wakimbiaji kwenye mbio za 2024 wakiwa na vyeti vyao baada kumaliza kukimbia mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay.

'Tumepata certificate'

Baadhi ya wakimbiaji kwenye mbio za #run4autismtanzania2024 wakiwa na vyeti vyao baada kumaliza kukimbia mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay.

#run4autismtanzania
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Mbio za usonji za Run 4 Autism Tanzania hazibagui: Jamaa ametupia shuka lake la Kimasai akikata upepo πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ

Mbio za usonji za Run 4 Autism Tanzania hazibagui: Jamaa ametupia shuka lake la Kimasai akikata upepo πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ

#run4autismtanzania2024
account_circle
Lukiza Autism Foundation(@LukizaAutismFdn) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mbio za 2024 akiongoza mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay.

Cc: @hildankabe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mbio za #run4autismtanzania2024 akiongoza mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay.

Cc: @hildankabe

#run4autismtanzania
account_circle
Tukiio(@tukiioTZ) 's Twitter Profile Photo

2024
Mbio zilianzia asubuhi kabisa Jana kwenye viwanja vya The Green Ground Oysterbay Jijini Dares Salaam. Hivi ndivyo ilivyokuwa!!!!!

account_circle