Swahili Central(@swahili_central) 's Twitter Profile Photo

Raia wanaposhiriki mchakato wa kutunga sera, hupata nafasi ya k utoa maoni kuhusu masuala yanayowahusu,na kusaidia kuunda sera za haki

Ushiriki huu huimarisha uhusiano kati ya serikali na wananchi na kupelekea utekelezaji wa sera zinazokubalika na wengi

#SautiZao #MitandaoNaSisi
account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Wewe kama Kijana Unatumiaje Mitandao ya kijamii kudai uwajibikaji wa Serikali?

Njoo Space tutete hapa x.com/i/spaces/1brkj…

Wewe kama Kijana Unatumiaje Mitandao ya kijamii kudai uwajibikaji wa Serikali?

Njoo Space tutete hapa x.com/i/spaces/1brkj… 

#MitandaoNaSisi #SautiZao
account_circle
Swahili Central(@swahili_central) 's Twitter Profile Photo

Maoni, mahitaji, na masuala yanayohusu makundi ya pembezoni, kama vile wanawake na vijana, yanapewa kipaumbele na kusikilizwa katika vyombo vya habari.

Maoni, mahitaji, na masuala yanayohusu makundi ya pembezoni, kama vile wanawake na vijana, yanapewa kipaumbele na kusikilizwa katika vyombo vya habari.
#SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali
account_circle
Swahili Central(@swahili_central) 's Twitter Profile Photo

Kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ni muhimu kwa lengo la kuendeleza mawasiliano kati ya viongozi na raia.

Tuhamie mtandaoni!

Mvua isiwe kikwazo cha kutoa maoni na kujenga jamii imara.

Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

Behind the scenes huwa ina mambo mengi sana 😂

Hapa host wetu wa Youtube Series aligoma kuingia kwenye maji na Wavuvi - Lake Victoria

Yaani uoga na hasira kabisa 😂

account_circle
Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Je! Watanzania wanatumia kwa usahihi mitandao ya kijamii kudai uwajibikaji wa serikali?

Usikose unakaribishwa kushiriki mjadala huu na kuuliza maswali, kutoa maoni kwa uhuru

Mjadala utakuwa Twitter Space akaunti ya Swahili Central

Link bit.ly/3rEp9qJ

Je! Watanzania wanatumia kwa usahihi mitandao ya kijamii kudai uwajibikaji wa serikali?
 
Usikose unakaribishwa kushiriki mjadala huu na kuuliza maswali, kutoa maoni kwa uhuru 

Mjadala utakuwa Twitter Space akaunti ya @swahili_central 

 Link bit.ly/3rEp9qJ

#SautiZao
account_circle
Achmed(@Kiratema_) 's Twitter Profile Photo

It's important for parents to find balance between allowing their children to explore and learn with technology while also setting limits and ensuring their safety online. Open communication and monitoring 👦🏾👦🏾📹

#InternationalYouthDay It's important for parents to find balance between allowing their children to explore and learn with technology while also setting limits and ensuring their safety online. Open communication and monitoring 👦🏾👦🏾📹
#Sautizao #hakizakidijitali #Mitandaonasisi
account_circle
Swahili Central(@swahili_central) 's Twitter Profile Photo

Je Wanahabari wanautumia uhuru wa habari kutaarifu wananchi au wanautumia uhuru huu kwa maslahi ya wachache kukimbiza ajenda za kisiasa?

Mjadala ni leo jioni kupitia link hii

x.com/i/spaces/1rmxp…

Je Wanahabari wanautumia uhuru wa habari kutaarifu wananchi au wanautumia uhuru huu kwa maslahi ya wachache kukimbiza ajenda za kisiasa? 

Mjadala ni leo jioni kupitia link hii

x.com/i/spaces/1rmxp… 

#SautiZao #MitandaoNaSisi
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Katika safari ya Swahili Central walipata mawazo mbali mbali kutoka kwa vijana na wanawake, kwamba wanaogopa kushiriki kwenye mijadala ya kiraia mtandaoni kwasababu ya unyanyasaji wa kijinsi.

Saa 12:30 jioni tutajua kwa undani zaidi, kwanini hii ni changamoto na jinsi

account_circle