Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Leo ndio ndio siku rasmi ya kusomwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo , Bajeti inayowagusa Watanzania Wengi, kwa sababu ndio uti wa mgongo wa Mtanzania.

Usikose kusikiliza, mikakati mipya, changamoto na Mafanikio

Leo ndio ndio siku rasmi ya kusomwa Bajeti ya @WizaraKilimo , Bajeti inayowagusa Watanzania Wengi, kwa sababu ndio uti wa mgongo wa Mtanzania.

Usikose kusikiliza, mikakati mipya, changamoto na Mafanikio #BajetiKilimo
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2024 yanaendelea Jijini katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Mei 2, 2024. Ni siku ya pili ya maadhimisho hayo ambapo Kauli Mbiu ni Uandishi wa Habari na Changamoto za Mabadiliko ya…

#WPFD2024: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2024 yanaendelea Jijini #Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Mei 2, 2024. Ni siku ya pili ya maadhimisho hayo ambapo Kauli Mbiu ni Uandishi wa Habari na Changamoto za Mabadiliko ya…
account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Leo ndio ndio siku rasmi ya kusomwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo , Bajeti inayowagusa Watanzania Wengi, kwa sababu ndio uti wa mgongo wa Mtanzania.

Usikose kusikiliza, mikakati mipya, changamoto na Mafanikio

Leo ndio ndio siku rasmi ya kusomwa Bajeti ya @WizaraKilimo , Bajeti inayowagusa Watanzania Wengi, kwa sababu ndio uti wa mgongo wa Mtanzania.

Usikose kusikiliza, mikakati mipya, changamoto na Mafanikio #BajetiKilimo
account_circle
𝓩𝓮𝓮𝓵𝓲𝔃𝔃𝔂(@erzxzh) 's Twitter Profile Photo

Tips for those yang ada masalah celahan gelap, siku & lutut gelap. Pakai 3 product ni je . Buat 2-3 kali seminggu & tengok result dia ✨

Tips for those yang ada masalah celahan gelap, siku & lutut gelap. Pakai 3 product ni je . Buat 2-3 kali seminggu & tengok result dia ✨
account_circle
Dr. Dorothy Gwajima(@Dr_DGwajima) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Siku ya Familia Duniani 15 Mei, 2024.

Fahamu 👇
1. Ipi ni historia ya siku ya familia duniani?
2. Familia ni akina nani?
3. Tunaadhimisha vipi siku hii mwaka huu?

KUMBUKA: Familia yako ni Baraka yako, ipende, iheshimu, ijali na itakie Heri daima 💕

Nakutakia wewe na…

Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Masaibu ya madaktari:

Madaktari wapewa barua za makatakaa

Wametakiwa kujieleza kwanini hawako kazini

Mgomo wa madaktari umeingia siku ya 50

Rashid Abdalla

account_circle
جمعة يحيى محمد(@OfficialJouma) 's Twitter Profile Photo

إذا خانتك صحتك لن تخونك أبداً زوجة صالحة. فأحسنوا الاختيار لأجل ذلك اليوم.

Pindi afya yako itapokusaliti, mke mwema kamwe hawezi kukusaliti. Basi fanyeni chaguo bora kwa ajili ya siku kama hii.