Moja ya njia ya kujikinga dhidi ya COVID-19 ni kuosha mikono kwa maji safi na salama pamoja na sabuni.
Tuendelee kulinda vyanzo vya maji ili tupate kujikinga na COVID19.
#UsiipuuzeCOVID19
#SikuYaMajiDuniani
#SemaNae
'KILA TONE LINA THAMANI KUBWA USILIPOTEZE' 💧💧💧
SIKU YA MAJI DUNIANI izidi kututafakarisha, kuhusiana na UTUNZAJI wa mazingira. ILi vyanzo vya maji viendelee kuwa salama.
#SikuYaMajiDuniani
#GoPlantTanzania
#MazingiraYanguTanzaniaYanguNitaipendaDaima
''Kumekuwa na kasi ndogo ya usambazaji wa maji kwa wananchi, miradi inafika kwenye maeneo sawasawa na umeme tunasema vijiji vyote vimepata umeme unaweza kusema vijiji huko vinawaka umeme, kumbe vimepitiwa tu na umeme kuna kazi ya usambazaji'' -Samia Suluhu
#SikuYaMajiDuniani
#SikuYaMajiDuniani 'Tuna imani kwa kasi hii ya utekelezaji wa miradi ya maji mwaka 2025 hatutakuwa na kazi kubwa' - Kauli ya Katibu Mkuu CCM, Daniel Chongolo wakati akitoa salamu mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Siku ya Maji Duniani
Eliza ni Msimamizi WA kituo kimoja cha Maji tulichojenga Kijiji cha BanyiBanyi, Utaratibu, baada ya makusanyo ya siku huwa anapata 10% ya mauzo ya siku nzima, si kwamba miradi hii inawaletea Tu Maji wanakijiji Bali inasaidia kuwainua kiuchumi Kwa namna nyingine #SikuYaMajiDuniani
Mamilioni ya watu duniani wanakosa huduma ya maji salama ya kunywa, usafi wa mazingira jambo linalochangia kusambaza maradhi. Mustakabali wetu unategemea ulinzi wa rasilimali hizi. Leo tunamuenzi kila mmoja anayeifanya dunia kuwa na usalama zaidi wa maji. #SikuYaMajiDuniani
Yara tunasherekea umuhimu wa maji katika maisha ya kila siku, hususani wakulima na wafugaji wanavyo yategemea maji kwenye mazao na mifugo yao.
Yara inawatakia Heri siku ya maji Duniani!
#MboleaNiYara
#YaraTanzania
#KnowledgeGrows
#MifugoBoraNaYara
#SikuyamajiDuniani
''Mamlaka za maji nendeni mkasambaze maji kwa wananchi, tumefanya kazi kubwa kusogeza maji lakini bado kupeleka maji kwa wananchi kwahiyo msipumzike, sifa zisiwalevye, malengo ya miradi ni kufikisha maji kwa watu'' - Samia Suluhu
#SikuYaMajiDuniani
Tarehe 3/10/2021 niliandika #Makala2 yangu katika #LisheColumn kwenye Gazeti Mwananchi Newspapers kuhusu Umuhimu wa Kunywa Maji na kwakuwa leo ni #SikuYaMajiDuniani ni vyema tukajikumbusha kuwa Unywaji Sahihi wa Maji Hulinda Afya ya Mwili hivyo #MajiNiUhai #MajiNiAfya
#SDG3 #SDG6
Katika Siku hii ya Maji Duniani, Yara tunaadhimisha tukitambua umuhimu wa maji na jukumu kubwa lililobebwa na maji katika maisha yetu.
#Sikuyamajiduniani #Worldwaterday #YaraTanzania
''Wizara ya Maji imeanza kuonesha mwelekeo mzuri na kazi mnazofanya zinaridhisha na ndio maana mageuzi ya Januari 2022 Wizara ya Maji sikuigusa kabisa. Kwahiyo mwanangu Aweso bado hujanizingua, lakini hiyo isikupe kichwa ukizingua tu...'' - Rais Samia Suluhu
#SikuYaMajiDuniani
Ikiwa leo ni #SikuYaMajiDuniani
Je hapo ulipo unatatizo/changamoto gani ya maji ?
Majibu yako yanasomwa kwenye Big City Breakfast Robert Mongi Evans Bukuku chris lugoe
#SikuYaMajiDuniani , Balozi Battle & Green Team US Embassy Tanzania waliungana na zaidi ya watu 800 ktk matembezi ya kujenga ufahamu lengo la pamoja - maji kwa wote. Matembezi hayo ya KM8 yalifuatiwa na mvua za kwanza za msimu Dsm, ishara kubwa ya kuweza kufanikiwa tukifanya kazi pamoja!
“Pamoja na serikali kuleta fedha nyingi Chalinze lakini matokeo yake yamekuwa yakusuasua'- Waziri wa Maji, Jumaa Aweso
#SikuYaMajiDuniani
#SikuYaMajiDuniani 2022
''Kwa miaka zaidi ya 50 eneo la Halmashauri ya Chalinze kilio cha maji kimekuwa kirefu sana. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu leo tunaposimama hapa hatuna budi kusema asante sana kwa kazi uliyotufanyia'' - Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
#SikuYaMajiDuniani
#SikuYaMajiDuniani 2022
“Miaka 6 iliyopita halmashauri yako ya Chalinze ilianzishwa na zaidi ya bilioni 685.5 zimeletwa kwa ajili ya kusimamia miradi ya maendeleo' Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
#SikuYaMajiDuniani
#SikuYaMajiDuniani 2022
Je wajua, kuna ongezeko la uhaba wa maji duniani?
Masuluhisho yanahitaji utashi wa kisiasa, kuimarisha ukusanyaji wa data na ubia wa kukuza mikakati jumuishi ya kusimamia maji.
#SikuYaMajiDuniani , pitia masuluhisho ya kudumisha kuwepo kwa maji safi: bit.ly/3TO1b82
Mabadiliko ya tabianchi yanaonekana kupitia maji. Katika maeneo mengine, kuna maji mengi kupita kiasi; kwingine, kidogo mno. Katika sehemu kavu zaidi ulimwenguni, maji ardhini huenda yakawa chanzo pekee cha maji kwa watu. #SikuYaMajiDuniani #WorldWaterDay