Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

: Tazama dakika mbili za baada ya kupulizwa kipyenga cha mwisho kwenye mchezo wa jana wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Tabora United.

FT: Simba 2-0 Tabora United

Updates

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

“Walishambulia wakasahau kukinga”

Neno kutoka kwa makocha wa timu zote mbili baada ya mechi….Ni Masoud Djuma na Juma Mgunda.

FT: Simba 2-0 Tabora United

Updates

account_circle