EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wa Klabu ya Yanga mkoani Kigoma wamegoma kuondoka Hotelini walipofikia wachezaji wa Klabu hiyo mpaka wamuone kiungo wao Pacome Zouzoua.

account_circle
yangasc.news(@yangasc_news) 's Twitter Profile Photo

Kigoma is yellow and green ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ

Kigoma is yellow and green ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ
account_circle
MASHUJAA FC(@MASHUJAA_FC) 's Twitter Profile Photo

Kocha Abdallah Barres akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga Sc โšฝ๐Ÿฆ

Kocha Abdallah Barres akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga Sc โšฝ๐Ÿฆ
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

โ€œTunatoa heshima kwa kila timu tunayocheza nayo ugenini lakini tunajua kila timu inayocheza na Yanga inakuwa na morali kubwa kwa kuwa wanacheza na Yanga lakini sisi tumekabakiza michezo 6 na kwa kila mchezo tunataka kupata alama 3 kwa kila mchezoโ€-Kocha mkuu wa Yanga SC, Miguelโ€ฆ

โ€œTunatoa  heshima kwa kila timu tunayocheza nayo ugenini lakini tunajua kila timu inayocheza na Yanga inakuwa na morali kubwa kwa kuwa wanacheza na Yanga  lakini sisi tumekabakiza michezo 6 na kwa kila mchezo tunataka kupata alama 3 kwa kila mchezoโ€-Kocha mkuu wa Yanga SC, Miguelโ€ฆ
account_circle
MASHUJAA FC(@MASHUJAA_FC) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ KANASA ๐Ÿฆ๐Ÿ’ช

Mashujaa fc ๐Ÿ†š Yanga Sc
๐Ÿ†
๐Ÿ•’ Saa 10 Jioni
๐Ÿ—“๏ธ 05.05.2024
๐ŸŸ๏ธ Lake Tanganyika

Usi-left group, Shujaa hasaliti chama

Nb: PICHA HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MCHEZO WA TAREHE 05.05.2024

๐Ÿšจ KANASA ๐Ÿฆ๐Ÿ’ช

#NextMatch
Mashujaa fc ๐Ÿ†š Yanga Sc
๐Ÿ† #NBCPremierLeague
๐Ÿ•’ Saa 10 Jioni
๐Ÿ—“๏ธ 05.05.2024
๐ŸŸ๏ธ Lake Tanganyika

Usi-left group, Shujaa hasaliti chama

Nb: PICHA HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MCHEZO WA TAREHE 05.05.2024
account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

Ni aidha IHEFU, YANGA SC, AZAM FC au COASTAL UNION ndiye atakaye kua bingwa wa CRDB FA CUP 23/24.

Ihefu FC vs Yanga SC itachezwa Sheikh Amri Abeid, Arusha, Mei 19.

Coastal Union vs Azam FC itachezwa CCM Kirumba, Mwanza, Mei 18.

Je, Nani kuwa Bingwa msimu huu?

#CrownSports
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Mchambuzi Paschal Sande akizungumzia Presha ya Mchezo wa Nusu Fainali Kombe la CRDB Federation Cup kati ya Ihefu VS Yanga SC uwanja Sheikh Amri Abeid Arusha.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Shabiki wa Yanga SC akielezea mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la CRDB Federation Cup 2024 dhidi ya Ihefu utakaopigwa dimba la Sheikh Amri Abeid Arusha.

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

FT: Yanga SC 3-0 Tabora UTD (Aziz Ki 35โ€™ Musonda 66โ€™ Guede 83โ€™)

Yanaga wanafuzu nusu fainali ya FA CUP kwa kuitoa Tabora UTD

FT: Yanga SC 3-0 Tabora UTD (Aziz Ki 35โ€™ Musonda 66โ€™ Guede 83โ€™) #FACUP

Yanaga wanafuzu nusu fainali ya FA CUP kwa kuitoa Tabora UTD
account_circle
Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Eng. Hersi Said - Kiongozi Yanga Sc
Murtaza Mangungu - Kiongozi Simba Sc
Yusuf Bakhresa - Kiongozi Azam Fc

Ni nani utendaji wake unakukosha unatamani angekuwa kiongozi kwenye timu yako pendwa, tuambie kupitia comment yako hapo chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ

โœ๐Ÿฝ ๐ฟ๐“Š๐“๐“Š

Eng. Hersi Said - Kiongozi Yanga Sc
Murtaza Mangungu - Kiongozi Simba Sc
Yusuf Bakhresa  - Kiongozi Azam Fc 

Ni nani utendaji wake unakukosha unatamani angekuwa kiongozi kwenye timu yako pendwa, tuambie kupitia comment yako hapo chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ

โœ๐Ÿฝ @bintiiringo

#WasafiSports
account_circle
Gery(@Gery_Gerrald) 's Twitter Profile Photo

Yanga Sc, imewatengenezea wachezaji wake soksi maalumu (customised) kutokana na Nchi wanazotokea.

Ubunifu.

Yanga Sc, imewatengenezea wachezaji wake soksi maalumu (customised) kutokana na Nchi wanazotokea. 

Ubunifu.
account_circle
Felix Jasson(@Iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Ukiacha vita ya alama 3๏ธโƒฃ hii leo pale Azam Complex kati ya Yanga Sc dhidi ya Coastal Union, kuna vita nyingine ya Clean Sheets.

Vinara wa Clean Sheets katika Ligi Kuu ya NBC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ hadi sasa

โžก๏ธ Djigui Diarra โž– 1๏ธโƒฃ0๏ธโƒฃ
โžก๏ธ Ley Matampi โž– 1๏ธโƒฃ0๏ธโƒฃ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

#NBCPL ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

โ€œKwa niaba ya Wachezaji wenzangu tumejiandaa vizuri na tuko tayari kuhakikisha kesho tunapambana na kuondoka na alama 3โ€ kiungo wa Yanga Sc, Salum Abubakar โ€˜Sureboyโ€™ akizungumzia mchezo wa kesho dhidi ya Mashujaa Fc katika dimba la Lake Tanganyika.

#KitengeSports
account_circle