Black_Tourist👬(@Babawawili_2) 's Twitter Profile Photo

Wadau wa Asasi za Kiraia wakiwa katika hafla baada ya kuhitimisha ,hafla hiyo itaambatana na utoaji wa Tuzo kwa Azaki na Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai ndiye mgeni rasmi

Wadau wa Asasi za Kiraia wakiwa katika hafla baada ya kuhitimisha #WikiYaAzaki,hafla hiyo itaambatana na utoaji wa Tuzo kwa Azaki na Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai ndiye mgeni rasmi
account_circle
Tanzaniarelief(@tanzaniarelief2) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tanzania Relief Initiatives Ndug, Laurean Rugambwa Bwanakunu Laurean Rugambwa BWANAKUNU
akishiriki katika Kongamano la katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano Jijini Arusha.

Kongamano hili limefunguliwa siku ya leo tarehe 24 na

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tanzania Relief Initiatives Ndug, Laurean Rugambwa Bwanakunu @LaureanRugambw1
akishiriki katika Kongamano la #WikiYaAzaki katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano #AICC Jijini Arusha.

Kongamano hili limefunguliwa siku ya leo tarehe 24 na
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kuangazia kuwa Asasi za Kiraia zinaweza kuwa lango la Utakatishaji fedha, Sheria mpya ya Usajili na Uendeshaji shughuli za Azaki imeweka kipengele cha ukaguzi maalumu

Baada ya kuangazia kuwa Asasi za Kiraia zinaweza kuwa lango la Utakatishaji fedha, Sheria mpya ya Usajili na Uendeshaji shughuli za Azaki imeweka kipengele cha ukaguzi maalumu #DemokrasiaYetu
#WikiYaAzaki
account_circle
Femina Hip(@FeminaHip) 's Twitter Profile Photo

Balozi Wa Canada nchini Tanzania akikabidhi tuzo ya umahiri kwenye kutumia mbinu za uvumbuzi na ugunduzi kuleta mabadiliko kwa Amabilis Batamula kutoka Femina Hip katika hafla ya kuhitimisha 2019. 

Balozi Wa Canada nchini Tanzania akikabidhi tuzo ya umahiri kwenye kutumia mbinu za uvumbuzi na ugunduzi kuleta mabadiliko kwa Amabilis Batamula kutoka Femina Hip katika hafla ya kuhitimisha #WikiYaAzaki 2019. #CSOWeek2019
account_circle
MIRIAM💜(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Karibu ufahamu juu mchango wa asasi za kiraia katika kuwaletea wananchi jisajili sasa makundi mengi yake jisajili nafasi zimebaki chache csoweek.info

|

Karibu ufahamu juu mchango wa asasi za kiraia katika kuwaletea wananchi jisajili sasa makundi mengi yake jisajili nafasi zimebaki chache csoweek.info

#WatuNaMaendeleo | #WikiYaAzaki
account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Malengo ya kwa miaka mitano ijayo ni kuwa na jukwaa moja la Afrika Mashariki kujadili masuala mbalimbali yahusuyo Azaki,Wananchi na Maendeleo, kwa mwaka huu 2023 itakua Arusha usikose kushiriki.

account_circle
Femina Hip(@FeminaHip) 's Twitter Profile Photo

Joyce Tesha Wa Ubalozi wa Sweden akikabidhi cheti cha umahiri kwenye kushirikiana na serikali kuleta mabadiliko kwa Amabilis Batamula kutoka Femina Hip kama mshindi wa pili  katika hafla ya kuhitimisha 2019. 

Joyce Tesha Wa Ubalozi wa Sweden akikabidhi cheti cha umahiri kwenye kushirikiana na serikali kuleta mabadiliko kwa Amabilis Batamula kutoka Femina Hip kama mshindi wa pili  katika hafla ya kuhitimisha #WikiYaAzaki 2019. #CSOWeek2019
account_circle
Femina Hip(@FeminaHip) 's Twitter Profile Photo

Aidan Eyakuze kutoka Twaweza akikabidhi tuzo ya Umahiri kwenye ushiriki wa kijamii kwa Amabilis Batamula kutoka Femina Hip katika hafla ya kuhitimisha 2019. 

Aidan Eyakuze kutoka Twaweza akikabidhi tuzo ya Umahiri kwenye ushiriki wa kijamii kwa Amabilis Batamula kutoka Femina Hip katika hafla ya kuhitimisha #WikiYaAzaki 2019.  #UbiaKwaMaendeleo  #CSOWeek2019
account_circle
Happie💕(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

Malengo ya kwa miaka mitano ijayo ni kuwa na jukwaa moja la Afrika Mashariki kujadili masuala mbalimbali yahusuyo Azaki,Wananchi na Maendeleo, kwa mwaka huu 2023 itakua Arusha usikose kushiriki.

account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

itaanza rasmi tarehe 23-28 Oktoba jijini Dodoma.
Karibu ushiriki na kujifunza mengi
Cha kufanya ni kupita hapa ujiunge csoweek.info

#WikiYaAzaki itaanza rasmi tarehe  23-28 Oktoba jijini Dodoma.
Karibu ushiriki na kujifunza mengi 
Cha kufanya ni kupita hapa ujiunge csoweek.info
account_circle