Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Asante kwa kila mmoja alichukua muda wake, kufuatilia maudhui tumekua tunarusha hapa kupitia hashtags za , na .
Imekua ni Wiki yenye mengi na kujifunza haswa.
Tuendelee kusukuma gurudumu la Maendeleo pamoja 🀝

Asante kwa kila mmoja alichukua muda wake, kufuatilia maudhui tumekua tunarusha hapa kupitia hashtags za #WikiYaAzaki2023, #CSOWeek2023 na #TechXSociety.
Imekua ni Wiki yenye mengi na kujifunza haswa.
Tuendelee kusukuma gurudumu la Maendeleo pamoja 🀝
account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Mjadala huu utakupa hali ilivyo juu ya NGO kwenye β€œCompliance” za Kiserikali na Teknolojia kutoka TAMISEMI, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, FCS (ikizungumzia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali) & Jitihada za Sekta Binafsi ikiwasilishwa na Tech & Media Convergency (TMC)

Mjadala huu utakupa hali ilivyo juu ya NGO kwenye β€œCompliance” za Kiserikali na Teknolojia kutoka TAMISEMI, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, FCS (ikizungumzia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali) & Jitihada za Sekta Binafsi ikiwasilishwa na Tech & Media Convergency (TMC)
#WikiYaAzaki2023
account_circle
UNATanzania(@UNATanzania) 's Twitter Profile Photo

Siku ya 3 kwenye tumeungana na Twaweza - ni sisi pamoja na EqualityForGrowth kutembelea soko la Kilombero kujifunza mazingira yao ya kazi na changamoto ambazo wafanyabiashara, hususani wanawake wanakumbana nazo wanapokuwa sokoni.

account_circle
Okoa New Generation(@okoa_new) 's Twitter Profile Photo

Nimeona wanawake wenye ujasiri na wanaofanya kazi kwa bidii. Wanawake mna sauti na msiogope kuzisemea changamoto mlizo nazo. Tumieni uelewa wenu kupaza sauti' - Aikande Clement Kwayu, akizungumza na wanawake wa soko la Kilombero, Arusha.


Nimeona wanawake wenye ujasiri na wanaofanya kazi kwa bidii. Wanawake mna sauti na msiogope kuzisemea changamoto mlizo nazo. Tumieni uelewa wenu kupaza sauti' - @aikande, akizungumza na wanawake wa soko la Kilombero, Arusha.

#WikiYaAzaki2023 
#JamiiPamoja
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Zimebaki siku 3 tu kuelekea ambayo imeandaliwa na kamati ya asasi zaidi ya 30 zinazofanya kazi nchini Tanzania katika maeneo mbalimbali katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Zimebaki siku 3 tu kuelekea #WikiYaAzaki2023 ambayo imeandaliwa na kamati ya asasi zaidi ya 30 zinazofanya kazi nchini Tanzania katika maeneo mbalimbali katika kuwaletea wananchi maendeleo.
account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Mtandao unaweza ukaundwa kwa shugulu Fulani fupi na ukafutwa baada ya shuguli hiyo mfn Uchaguzi, Elimu na mengine sasa kwa nini Msajili wa Asasi zisizo za kiraia awatake wanaoanzisha hii mitandao wajisajili wakati ni shuguli ya muda mfupi ~ Deusi Kibamba

Mtandao unaweza ukaundwa kwa shugulu Fulani fupi na ukafutwa baada ya shuguli hiyo mfn Uchaguzi, Elimu na mengine sasa kwa nini Msajili wa Asasi zisizo za kiraia awatake wanaoanzisha hii mitandao wajisajili wakati ni shuguli ya muda mfupi ~ Deusi Kibamba 
#WikiYaAzaki2023
account_circle
Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profile Photo

Mtandao unaweza ukaundwa kwa shugulu Fulani fupi na ukafutwa baada ya shuguli hiyo mfn Uchaguzi, Elimu na mengine sasa kwa nini Msajili wa Asasi zisizo za kiraia awatake wanaoanzisha hii mitandao wajisajili wakati ni shuguli ya muda mfupi ~ Kibamba

Mtandao unaweza ukaundwa kwa shugulu Fulani fupi na ukafutwa baada ya shuguli hiyo mfn Uchaguzi, Elimu na mengine sasa kwa nini Msajili wa Asasi zisizo za kiraia awatake wanaoanzisha hii mitandao wajisajili wakati ni shuguli ya muda mfupi ~ Kibamba #CSOWeek2023 
#WikiYaAzaki2023
account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

Asanteni sana wadau wa asasi za kiraia kwa kunialika na kuongea kuhusu changamoto za CSOs katika wakati wa sasa. Nimegusia:
1. Utegemezi wa wafadhili
2. Mahusiano na Serikali
3. Athari za ICT kwa CSOs
4. CSOs kuwa watatuzi badala ya wanaharakati


Asanteni sana wadau wa asasi za kiraia kwa kunialika na kuongea kuhusu changamoto za CSOs katika wakati wa sasa. Nimegusia:
1. Utegemezi wa wafadhili
2. Mahusiano na Serikali
3. Athari za ICT kwa CSOs
4. CSOs kuwa watatuzi badala ya wanaharakati

#WikiYaAzaki2023
#CSOWeek2023
account_circle
KIPEPE πŸ’Š(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Washiriki wa wametembelea makao makuu ya Jumuia ya Afrika Mashariki, kujifunza juu ya jumuiya hii, kujua changamoto na mafanikio ambayo wameyapata kama taifa na mkoa kwa pamoja

Washiriki wa #WikiYaAzaki2023 wametembelea makao makuu ya Jumuia ya Afrika Mashariki, kujifunza juu ya jumuiya hii,  kujua changamoto na mafanikio ambayo wameyapata kama taifa na mkoa kwa pamoja 
#CSOWeek2023
#TechXSociety
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

β–ͺ️Tafakari yetu siku ya leo tunapohitimisha
β–ͺ️ Imepita miaka 10 sasa tangu tuwasilishe ujumbe huu, je hali iko vipi sasa katika shule za umma, ukizingatia mabadiliko ya kiteknolojia katika ulimwengu huu wa kidijitali?

account_circle
Cappuccino✨(@_GiftApril_) 's Twitter Profile Photo

State of CSOs in Tanzania report , focuses on insights on internal & external operating conditions of CSOs, and relies on primary & secondary data.

State of CSOs in Tanzania report , focuses on insights on internal & external operating conditions of CSOs, and relies on primary & secondary data.

#CSOWeek2023 #WikiYaAzaki2023 #TechXSociety
account_circle
Harakati za Jiji(@Harakatizajiji) 's Twitter Profile Photo

itafanyika Oktoba 23-27 Oktoba 2023 Jijini Arusha. Mwaka huu tunatarajia zaidi ya washiriki 500 kutoka kwa wadau wakuu wa maendeleo katika sekta ya Asasi za kiraia/AZAKI, sekta binafsi, serikali na wananchi. ~|Francis Kiwanga

#WikiYaAzaki2023 itafanyika Oktoba 23-27 Oktoba 2023 Jijini Arusha. Mwaka huu tunatarajia zaidi ya washiriki 500 kutoka kwa wadau wakuu wa maendeleo katika sekta ya Asasi za kiraia/AZAKI, sekta binafsi, serikali na wananchi. ~|@KiwangaFrancis 

#TechXSociety
account_circle
Restless Development Tanzania(@sautiyavijanatz) 's Twitter Profile Photo

OUR CSO WEEK IS AROUND THE CORNER

Theme: Tech x Society: Then, Now and Beyond
Date: 23rd - 27 October, 2023
Place: Arusha, Tanzania.

Early Bird Registration is Available at : csoweek.or.tz

Join online conversation through

account_circle
TAYOBECO Tanzania(@tayobeco) 's Twitter Profile Photo

Day 3. Leo staff wa TAYOBECO na washiriki wengine wa tumetembelea makao makuu ya Jumuia ya Afrika Mashariki. Lengo ni kujifunza juu ya jumuiya hii, kujua changamoto na mafanikio ambayo wameyapata kama taifa na kanda kwa pamoja

Day 3. Leo staff wa  TAYOBECO na washiriki wengine wa #WikiYaAzaki2023 tumetembelea makao makuu ya Jumuia ya Afrika Mashariki. Lengo ni kujifunza juu ya jumuiya hii,  kujua changamoto na mafanikio ambayo wameyapata kama taifa na kanda kwa pamoja 
#CSOWeek2023
#KijanaMkakati
account_circle
KONCEPT TV(@koncept_tv) 's Twitter Profile Photo

Asasi za kiraia zazindua ambapo wataenda kujitathimini walipotoka, walipo hivi sasa na tunapoelekea kiteknologia. inatarajiwa kuwa na washiriki zaidi ya 1000 kutoka Taasisi zaidi ya 500 kutoka sekta mbalimbali.

Asasi za kiraia zazindua #WikiYaAzaki2023 ambapo wataenda kujitathimini walipotoka, walipo hivi sasa na tunapoelekea kiteknologia. inatarajiwa kuwa na washiriki zaidi ya 1000 kutoka Taasisi zaidi ya 500 kutoka sekta mbalimbali.
 #KonceptTvUpdates
account_circle