Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

Tanzania imekua nchi ya mfano katika utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es salaam, Kenya inatarajiwa kua nchi ya pili katika ukanda wa Afrika Mashariki kupata mradi huo.

Tanzania imekua nchi ya mfano katika utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es salaam, Kenya inatarajiwa kua nchi ya pili katika ukanda wa Afrika Mashariki kupata mradi huo. #dfmupdates #technology #advancement #innovation #economy #HealthyLiving #Kenya #Tanzania
account_circle
Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya imejitenga na kampeni ya kuwakamata na kushtaki mashoga inayoongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania inadai kampeni hiyo ni mawazo binafsi ya Makonda na si msimamo rasmi wa serikali.

Serikali ya #Tanzania imejitenga na kampeni ya kuwakamata na kushtaki mashoga inayoongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania inadai kampeni hiyo ni mawazo binafsi ya Makonda na si msimamo rasmi wa serikali.#dfmupdates
account_circle
Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

Mahakama Iringa imemuachia aliyekua Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi Abdul Nondo baada ya upande wa jamhuri kushindwa kuwasilisha maelezo juu ya mashtaka. Nondo alikua anakabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo kuwa alitekwa na watu wasiojulikana.

Mahakama Iringa imemuachia aliyekua Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi Abdul Nondo baada ya upande wa jamhuri kushindwa kuwasilisha maelezo juu ya mashtaka. Nondo alikua anakabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo kuwa alitekwa na watu wasiojulikana. #dfmupdates #Tanzania
account_circle
Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

Umoja wa Ulaya unasema umemuita mjumbe wake nchini Tanzania kwa mashauriano pamoja na kutathmini upya uhusiano wake na nchi hiyo kutokana na kuongezeka kwa ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania.

Umoja wa Ulaya unasema umemuita mjumbe wake nchini Tanzania kwa mashauriano pamoja na kutathmini upya uhusiano wake na nchi hiyo kutokana na kuongezeka kwa ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania. #dfmupdates #economy #politics #HumanRights #Equality #EuropeanUnion #Tanzania
account_circle
Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii; kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao na kujilinda na dunia pasipo mawaa.

Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii; kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao na kujilinda na dunia pasipo mawaa. #dfmupdates #love #life #empathy #equality #HumanRights #JesusChrist #God
account_circle
Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

Serikali yatangaza baraka kwa wakulima wa korosho mkoani Mtwara. Ni baada ya zao hilo kupata bei mpya kutoka shilingi 2717 kwa kilo hadi shilingi 3016 kwa kilo.

Serikali yatangaza baraka kwa wakulima wa korosho mkoani Mtwara. Ni baada ya zao hilo kupata bei mpya kutoka shilingi 2717 kwa kilo hadi shilingi 3016 kwa kilo. #dfmupdates #agriculture #farming #crop #economy #politics #Tanzania
account_circle
Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

NMB yaipa kichapo CRDB kwenye michuano ya mabenki, mpira wa kikapu. Katika shindano lililofanyika mwishoni mwa wiki jana, NMB iliibuka kwa ushindi wa pointi 52 dhidi ya CRDB, pointi 42.

NMB yaipa kichapo CRDB kwenye michuano ya mabenki, mpira wa kikapu. Katika shindano lililofanyika mwishoni mwa wiki jana, NMB iliibuka kwa ushindi wa pointi 52 dhidi ya CRDB, pointi 42. #dfmupdates #sports #bank #money #cash #Tanzania
account_circle
Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Taifa la usimamaizi wa Mzingira (NEMC) limekifungia Kiwanda cha usindikaji nyama ya punda cha Huwachen Company Limited kilichopo Dodoma kwa kutochukua hatua za utunzaji wa mazingira.

Baraza la Taifa la usimamaizi wa Mzingira (NEMC) limekifungia Kiwanda cha usindikaji nyama ya punda cha Huwachen Company Limited kilichopo Dodoma kwa kutochukua hatua za utunzaji wa mazingira. #dfmupdates #environment #life #Health #Tanzania
account_circle
Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hassan Rouhani amesema kuwa, licha ya kuwepo vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran, lakini nchi nyingi duniani za Asia na Ulaya zina hamu ya kuendeleza ushirikiano wao na Iran.

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hassan Rouhani amesema kuwa, licha ya kuwepo vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran, lakini nchi nyingi duniani za Asia na Ulaya zina hamu ya kuendeleza ushirikiano wao na Iran. #dfmupdates #WorldPeace #Equality #HumanRights #Tanzania
account_circle
Dfmtz(@Dfm_Tz) 's Twitter Profile Photo

Kuuingia ufalme wa Mungu hakuanzi wakati ukifa bali pale tu unapomwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako. Hakuna mwenye mamlaka na kesho, muda ni fumbo. Chukua hatua sasa.

Kuuingia ufalme wa Mungu hakuanzi wakati ukifa bali pale tu unapomwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako. Hakuna mwenye mamlaka na kesho, muda ni fumbo. Chukua hatua sasa. #dfmupdates #worship #faith #love #life #believer #JesusChrist #God #Tanzania
account_circle
Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

dfm_tz (get_repost)
・・・
mashauri_paul Mwalimu na mkufunzi anasikiliza dfm radio, wewe je? Jiunge nasi kupitia dfm.co.tz … instagram.com/p/BnjTwl_ng19/…

account_circle
Annastazia Rugaba-Marondo(@annarugaba) 's Twitter Profile Photo

dfm_tz (get_repost)
・・・
Usikose kujiunga na mashauri_paul katika kipindi cha D-Youth kwenye online radio yako namba moja dfm.co.tz. … instagram.com/p/BnjUEk1n226/…

account_circle