Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

After 2years of collaboration between USAID Afya Yangu Southern and m2m, the programs had tremendous success. With the RISE II close out, USAID Afya Yangu Southern has absorbed the 34 mentor mothers to work in the project.
This was a big highlight of the day.

After 2years of collaboration between USAID Afya Yangu Southern and m2m, the programs had tremendous success. With the RISE II close out, USAID Afya Yangu Southern has absorbed the 34 mentor mothers to work in the project.
This was a big highlight of the day. #m2mtz
account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

1: My advocacy for played a role in m2mโ€™s 1st attendance to the conference
2 and 3: I visited m2mโ€™s booth at for two days and listened to the abstract presented by their Tz Country Lead
4: I attended m2mโ€™s RISE II Close out event
To many more ๐Ÿ™๐Ÿพ

1: My advocacy for #THS2021 played a role in m2mโ€™s 1st attendance to the conference
2 and 3: I visited m2mโ€™s booth at #THS2023 for two days and listened to the abstract presented by their Tz Country Lead
4: I attended m2mโ€™s RISE II Close out event
To many more ๐Ÿ™๐Ÿพ #m2mtz
account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuhitimisha, kazi iliyofanywa na m2m katika mradi wa RISE II imeakisiwa katika tafiti iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa mothers2mothers Tanzania, Respeace Mgawe katika mkutano wa

Tafiti hii ililenga kuonyesha umuhimu kwa kutumia kina mama kinara katika (1/?)

Kwa kuhitimisha, kazi iliyofanywa na m2m katika mradi wa RISE II imeakisiwa katika tafiti iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa mothers2mothers Tanzania, Respeace Mgawe katika mkutano wa #THS2023

Tafiti hii ililenga kuonyesha umuhimu kwa kutumia kina mama kinara katika (1/?) #m2mtz
account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

(kabla ya utekelezaji wa mfumo wa m2m wa kutumia kina mama kinara) hadi September 2022.

Data hizi zilihusisha vituo 20 vinavyotoa huduma za afua za UKIMWI kwa mama na mtoto: kati yake vituo 10 vilitumia mfumo wa m2m wa mama vinara na vituo 10 havikutumia mfumo huo.

(kabla ya utekelezaji wa mfumo wa m2m wa kutumia kina mama kinara) hadi September 2022.

Data hizi zilihusisha vituo 20 vinavyotoa huduma za afua za UKIMWI kwa mama na mtoto: kati yake vituo 10 vilitumia mfumo wa m2m wa mama vinara na vituo 10 havikutumia mfumo huo. #m2mtz
account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

kupunguza ukatizwaji wa matibabu ya kina mama wanaoishi na maambukizi ya VVU na watoto wao kupitia mradi wa RISE II uliohitimishwa tarehe 26 Oktoba 2023.

Tafiti hii ilifanyikwa kulinganisha na kuchakata data kutoka mifumo ya afya ya Tanzania kutoka Oktoba 2019

kupunguza ukatizwaji wa matibabu ya kina mama wanaoishi na maambukizi ya VVU na watoto wao kupitia mradi wa RISE II uliohitimishwa tarehe 26 Oktoba 2023.

Tafiti hii ilifanyikwa kulinganisha na kuchakata data kutoka mifumo ya afya ya Tanzania kutoka Oktoba 2019 #m2mtz
account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

kuwa juu ukilinganisha na vituo vilivyofuata mfumo wa m2m wa kutumia kina mama kinara.

Matokeo haya yanaonyesha kuwa kuna umuhimu wa kuwatumia kina mama vinara kama watoa huduma za afya ngazi za jamii katika kupunguza ukatishwaji wa matibabu ya VVU kwa kina mama waishio

kuwa juu ukilinganisha na vituo vilivyofuata mfumo wa m2m wa kutumia kina mama kinara.

Matokeo haya yanaonyesha kuwa kuna umuhimu wa kuwatumia kina mama vinara kama watoa huduma za afya ngazi za jamii katika kupunguza ukatishwaji wa matibabu ya VVU kwa kina mama waishio #m2mtz
account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

Lengo ikiwa ni kuonyesha tofauti ya performance kabla na baada ya kutumia njia ya kina mama kinara.

Matokeo ya tafiti hii yalionyesha kupungua kwa wanufaika waliokuwa wanakatiza matibabu katika miezi 12 na miezi 24 ya ufuatiliaji katika vituo vilivyotumia mfumo wa m2m

Lengo ikiwa ni kuonyesha tofauti ya performance kabla na baada ya kutumia njia ya kina mama kinara.

Matokeo ya tafiti hii yalionyesha kupungua kwa wanufaika waliokuwa wanakatiza matibabu katika miezi 12 na miezi 24 ya ufuatiliaji katika vituo vilivyotumia mfumo wa m2m #m2mtz
account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

mfumo wa m2m wa kina mama kinara, ukatishaji wa matibabu kwa kundi lililofuagiliwa kwa miezi 12 uliongezeka kutoka 13% mwaka 2020 na 2021 hadi 15% mwaka 2022; wakati kwa kundi lililofuatiliwa kwa miezi 24 ilipungua kutoka 23% mwaka 2020 hadi 19% mwaka 2022 LAKINI ilibaki

account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

Katika vituo hivyo 10 vilivyosapotiwa na m2m, ukatishaji matibabu ulipungua kutoka 12% mwaka 2020 hadi kufikia 4% mwaka 2022 kwa waliofuatiliwa kwa miezi 12; na kutoka 15% mwaka 2020 hadi 8% mwaka 2022 kwa waliofuatiliwa kwa miezi 24.

Katika vituo 10 vingine visivyotumia

account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

na maambukizi ya VVU na watoto wao. Hii ni muhimu sana katika kukata mnyororo wa maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto hivyo kufikia lengo la kutokomeza janga la UKIMWI ifikapo mwaka 2030.

Kwa hayo nahitimisha na niwashukuru sana mothers2mothers kwa kunipa nafasi hii.

account_circle