Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Day 5 Mchango Update: Hadi sasa tumepokea sh. 20,029,287.00, wastani wa sh. 3,983,857.40 kwa siku. Idadi ya waliochangia ni 1,673, wastani wa sh. 11,972.08 kwa kila mchangiaji. Mvua huanza na tone moja. Kwa ukarimu wenu, matone yenu yatatengeneza mvua ya ukombozi wa nchi yetu!

account_circle
tpa_tz(@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

Ujumbe kutoka kampuni ya Global Coal and Energy Trading DWC-LLC ya Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE) wamefanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam ili kujionea namna Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inavyohudumia mizigo mchanganyiko ( General Cargo) na kichele

Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Korea Kusini imezuia video kadhaa zinazoonesha wimbo mpya wa propaganda wa Korea Kaskazini unaomsifu Rais wa nchi hiyo Kim Jong Un ambao umethibitishwa kuwa maarufu bila kutarajiwa nje ya nchi hiyo, hatua ambayo wataalam wanaiita uharibifu wa uhuru wa kidemokrasia.

Tume

account_circle
Eddo(@Eddo142) 's Twitter Profile Photo

UNAVIJUA VIWANJA VIKALI DUNIANI..!??

Duniani Kuna nchi ziko na viwanja vikali bhna πŸ™Œ

Namba tisa ( 9 ) itakushangaza πŸ™Œ

THREAD πŸ‘‡

1. Santiago Bernabeu - Real Madrid

Dr Calipso(@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Kuna muda mamlaka za uteuzi zinateua wakurugenzi wajinga na wasio na akili kabisa kichwani mkurugenzi wa Arusha ni kopo. Nawaza hivi hakuna watu smart wanaoweza kushika hizo nafasi? Mbona kuna vijana smart sana wanaweza isaidia nchi.

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Tafiti na Ripoti mbalimbali zimekuwa zikieleza, ili Nchi na Serikali ziweze kupiga hatua kubwa Kimaendeleo, zinapaswa kujenga Taasisi Imara zinazoweza kusimamia Sheria na Taratibu bila kuingiliwa na Viongozi wanaoziongoza

#JamiiForums #GoodMorning #AmkaNaJF #Governance
account_circle
LYENDA(@IamLyenda) 's Twitter Profile Photo

Wakati runinga ya Al Jazeera ikiwa imejikita kutangaza namna Israel inavyoua Wapelestina, BBC wao hiyo sio habari, wao wamejikita kutangaza uchaguzi wao unaotarajia kufanyika Julai 14 mwaka huu. Uhasama ni mkubwa sana kati ya nchi za magharibi na zile za Kiarabu

Kimuzi(@Kimuzi_) 's Twitter Profile Photo

Saizi kuna illegal Somali ameamka kwa nchi Dedan Kimathi alipigania kutema mate na kuita wakenya wengine nywele ngumu. Badala ya kujenga Mogadishu.

account_circle
Suphian Juma Nkuwi(@SuphianJuma) 's Twitter Profile Photo

WAFADHILI MNAKARIBISHWA SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA.

Wadau, ndani na nje ya nchi mnaoniuliza kufadhili kampeni hii kumuunga Rais Dkt Samia Suluhu kwenye udhibiti wa mabadiliko ya Tabia nchi;

Tuwasiliane;
Email; [email protected]
WhatsApp: +255717027973

Suphian.

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Shakila Abdalla – Seneta, Lamu: Mgawo wa rasilimali za nchi unafaa uangaliwe haswa kiwango inayobaki kwa serikali kuu isiwe inaenda kwa maeneo inayoongozwa na watawala wakuu Rashid Abdalla

account_circle
SUKUNUNU πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya jambo ambalo alichukizwa sana Baba wa TAIFA ni ukabaila na ubaguzi nchinπŸ‡ΉπŸ‡Ώ baba alikemea vikali sana ukabaila na ubaguzi ndio maana nchi nzima tunaongea kiswahil makabila zaid ya 100 hii nn watanzania hatuitaji ukabaila na ubaguzi sisi sote ni watanzania na nindugu

Macocha Tembele(@mactembele) 's Twitter Profile Photo

Pembezoni mwa Mkutano wa Maji wa Dunia 10th World Water Forum hapa Bali, tumekuwa na mkutano mzuri sana baina ya mawaziri wa nchi zetu mbili wanaosimamia sekta ya maji, Mhe. Jumaa Aweso na mwenyeji wake, Mhe. Basuki Basuki Hadimuljono Peduli ambao unaenda kuanzisha mashirikiano kwenye sekta hii nyeti

Pembezoni mwa Mkutano wa Maji wa Dunia @WWaterForum10 hapa Bali, tumekuwa na mkutano mzuri sana baina ya mawaziri wa nchi zetu mbili wanaosimamia sekta ya maji, Mhe. Jumaa Aweso na mwenyeji wake, Mhe. Basuki @SaharaMelda ambao unaenda kuanzisha mashirikiano kwenye sekta hii nyeti
account_circle
Γ‡hΓΈpΓ«r(@ChoperWang) 's Twitter Profile Photo

Kumbe Kuna Nchi Wanaume Kuvaa Sketi ni Kawaida Tu 😹😹

Huyu ni Rais wa Fiji Japo hii Nchi ndokwanza naiskia Leo

Na Hao ni askari WA Fiji

πŸ€”πŸ€”

Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Haya ni miongoni kwa matangazo mazito sana kwenye uchumi wa wafanyabiashara, hususan vijana wanaopambana kuagiza bidhaa za kuuza kutoka nje ya nchi. Rafiki yangu mmoja anasema bei za uchukuzi zimepanda kwa takriban 50%! Hii ina maana wenye mitaji midogo wanaweza kushindwa kuagiza

OFISI YA RAIS TAMISEMI(@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

Nitavunja Mabaraza ya Madiwani Yenye Mivutano inayokwamisha Maendeleo’ Mchengerwa

Ifakara

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi.

Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Pongezi za dhati kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Mmeandika historia na kuipa nchi yetu heshima kubwa sana. Nawatakia kila la kheri katika mchezo wenu wa Fainali.

Ahsanteni wana Simba kwa kunialika kushiriki nanyi katika siku yenu muhimu hii leo. Hongereni kwa siku nzuri. Pongezi kwenu kwa kuendelea kutangaza utalii wa nchi yetu kwa kufikisha kibegi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro. Michezo inatuleta pamoja, inatupa burudani, na