Thomas J. Kibwana
@thomasjkibwana
Political junkie| History buff| International Relations| Geopolitics| Digital world
ID:603526550
https://linktr.ee/thomasjoelkibwana 09-06-2012 11:41:33
33,5K Tweets
6,2K Followers
2,1K Following
ijumaa ya aprili 26, The Chanzo x Salim Ahmed Salim Digital Archive wataendesha mjadala hapa X kuhusu miaka 60 ya muungano, tukijaribu kuzungumzia pia kavazi hilo. tukiwa tunaelekea huko, nimefanya 'review' ndogo kuhusu kavazi hilo na nakukaribisha kuisoma hapa: thechanzo.com/2024/04/24/tunβ¦
Thomas J. Kibwana celestine DAUDA GERALD KADUGA Tunahitaji kuwa enlighten. Europe ilipiga hatua ilipojitambua kwa kuelimika katika uvumbuzi wa kisayansi na maendeleo yao ya kitamaduni wakaondokana na imani hasi.
Thomas J. Kibwana Kaka nimebahatika kuiona post husika, hata wenzake wanamshauri afate na kuheshimu sheria na angelifahamu kabla ya kuja kwetu
Thomas J. Kibwana mtumishi wa watu Leo watu wanaongelea drone, tuna sheria ya inayowapatia Idara ya Habari (MAELEZO) na BASATA kutoa kibali cha kuingiza kamera kwa wazalishaji wa maudhui iwapo wataingia nchini na Kamera. Na hili liko nchi nyingi. TUNAJIDHARAU. TUNAJISHUSHA HADHI.
Thomas J. Kibwana mtumishi wa watu Ukweli ni kuwa huwezi kuingia US, UK na nchi nyingi za umangani na drone isiyosajiliwa. Tuna tetea ujinga..!
Thomas J. Kibwana Hapo ni rahisi tubl, wafanye kama Moshi walivyofanya katika usafi, weka adhabu ya utupaji taka ovyo/uharibifu na matangazo yawekwe kuwe na walinzi wasioonekana.. mtu akitupa taka hovyo na kuharibu fine, na Ile Kila anayekamata ana commission yake toka kwenye fine...!
This Friday, SASDA/The Chanzo will host a space to commemorate the 60th anniversary of the Union between Tanganyika and Zanzibar.
With speakers like Togolani Mavura, Aidan Eyakuze, fatma karume aka Shangazi, and Thomas J. Kibwana. Come reflect and join us for insightful discussions from 4 to 5pm.