Tuzo Nyerere
@tuzonyerere
Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayotolewa na @wizara_elimuTz kupitia @TIE_Tanzania ili kukuza uandishi bunifu Tanzania. #TuzoNyerere
ID:1567530031076745218
07-09-2022 15:07:48
563 Tweets
340 Followers
84 Following
'Katika kazi hizi za ubunifu ndipo tunapoweza kuona jamii yetu imetoka wapi, ipo wapi na inakwenda wapi,' anasema Katibu Mtendaji Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) Bi. Consolata Mushi akizungumza katika usiku wa hafla ya Tuzo.
#TuzoNyerere
Shangwe, nderemo na vifijo ๐
Pongezi nyingi kwa washindi wa #TuzoNyerere katika nyanja ya Riwaya, Ushairi na Hadithi za Watoto.
Dirisha la kuleta miswada litakapofunguliwa tena, miswada ya tamthiliya itapokelewa pia. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.
Ulikuwa usiku wa kusherehekea fasihi ya Kiswahili. Naye Fatma Ally Makame kutoka Zanzibar alighani shairi lake kwa madaha. Msikilize kidogo ๐
#TuzoNyerere
Juzi nilipata heshima ya kualikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu.
Mgeni rasmi alikuwa ni Prof. Abdulrazak Gurnah Mshindi wa Tuzo ya Noble katika Fasihi,2021.
#TuzoNyerere
Mark J. Mwandosya Wizara ya Elimu Tanzania Tuzo Nyerere Tony It was such an honour to hand shake with you. As a Mbeyan, youโre such an inspiration to us.
The Tanzania institute of Education and Wizara ya Elimu Tanzania pulled off a very successful event to award the Mwalimu Nyerere Prize for Creative Writing Tuzo Nyerere to celebrate Mwalimu Nyerere Tony. The guest of honour was Abdulrazak Gurnah, literature Nobel Laureate 2021. Thanks
HONGERENI WASHINDI WOTE TUZO NYERERE Tuzo Nyerere 2024 Laura Pettie mjukuu babu na Dotto Rangimoto๐น๐ฟ๐จ๐ณ.
Ilikuwa siku nzuri kushiriki na kujifunza. Uandishi ni bahari. Niko na Mshindi wa 2023 Ushairi Amri Abdalah Mtale wa Ngariba katika Tuzo Nyerere 2024. Asanteni kwa mwaliko, tutarudi tena. #TuzoNyerere