winharder_(@winharder_) 's Twitter Profileg
winharder_

@winharder_

Entrepreneur/ Teacher/ SocialMediaInfluencer/ Safe Online Space Diplomat / #SOSDiplomats #UstawiSalamaMtandaoni #RoadSafetyAmbassador/ #YangaSc

ID:911201550965645313

linkhttp://linkedin.com/in/winharder- calendar_today22-09-2017 12:12:33

155,6K Tweets

15,7K Followers

7,4K Following

The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Jumamosi hii ya April 20, 2024, kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 8 mchana The Chanzo imeandaa tukio la wa Kidigitali katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa. Kutakuwa na mijadala na wasilisho la ubunifu.

Jisajili hapa kushiriki: forms.gle/rYCkGKUZ4HJoRFโ€ฆ

Jumamosi hii ya April 20, 2024, kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 8 mchana The Chanzo imeandaa tukio la #UhuruNaUbunifu wa Kidigitali katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa. Kutakuwa na mijadala na wasilisho la ubunifu. Jisajili hapa kushiriki: forms.gle/rYCkGKUZ4HJoRFโ€ฆ
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha 2024 unakua ni mwaka wa kutimiza ndoto zako.

Soft Finance inakusaidia kutimiza ndoto zako kwa kukupa mkopo wa Kuanzisha biashara,Ujenzi,Ununuzi wa kiwanja,Ununuzi wa chombo cha usafiri, n.k.

wanafanikisha malengo

Hakikisha 2024 unakua ni mwaka wa kutimiza ndoto zako. @softfinancetz inakusaidia kutimiza ndoto zako kwa kukupa mkopo wa Kuanzisha biashara,Ujenzi,Ununuzi wa kiwanja,Ununuzi wa chombo cha usafiri, n.k. #SoftFinance wanafanikisha malengo #MpangoPesa
account_circle
Binti Salha Foundation(@BintiSalhaFound) 's Twitter Profile Photo

Siku ya jana tarehe 18/4/2024 @bintisalha_foundation tulifanya zoezi la ugawaji wa startup kits kwa wasichana walio katika mradi wa UWEZO WAKE tayari kwa kuanza na kuendeleza biashara.
Pongezi kwa mabinti hawa kwa kuweza kufikia hatua hii itakayowainua kiuchumi๐Ÿ‘
Women First International Fund

Siku ya jana tarehe 18/4/2024 @bintisalha_foundation tulifanya zoezi la ugawaji wa startup kits kwa wasichana walio katika mradi wa UWEZO WAKE tayari kwa kuanza na kuendeleza biashara. Pongezi kwa mabinti hawa kwa kuweza kufikia hatua hii itakayowainua kiuchumi๐Ÿ‘ @WomenFirstFund
account_circle
Sylah arts(@Pichanzurii) 's Twitter Profile Photo

Karibu nikutengenezee kwa ajili ya zawadi na ukumbusho๐ŸŒธ

A4 size
Tsh 7,000

Chagua picha nitumie whatsapp au Dm nikutengenezee size yako pendwa .

๐Ÿ“Sinza kumekucha
โ˜Ž๏ธ 0786445451

Tunatuma mikoa yote

Karibu nikutengenezee #pichambao kwa ajili ya zawadi na ukumbusho๐ŸŒธ A4 size Tsh 7,000 Chagua picha nitumie whatsapp au Dm nikutengenezee size yako pendwa . ๐Ÿ“Sinza kumekucha โ˜Ž๏ธ 0786445451 Tunatuma mikoa yote
account_circle
Imani Luvanga(@Imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Wakati tupo shule.. walioweza kufaulu ni wale ambao waliweza kujibu mitihani kwa haraka.

Ila huku mtaani.. maisha hayahitaji haraka kwa maana ni marathon yaani mbio ndefu.

Inahitaji pumzi na uvumilivu ili uweze kutoboa.

Wakati tupo shule.. walioweza kufaulu ni wale ambao waliweza kujibu mitihani kwa haraka. Ila huku mtaani.. maisha hayahitaji haraka kwa maana ni marathon yaani mbio ndefu. Inahitaji pumzi na uvumilivu ili uweze kutoboa.
account_circle
m.s.a.k.i โ€ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Za asubuhi, naomba retweet yako ๐Ÿ™

suit_mseleleko tumekuja na mzigo mpya wa suti, kwa shilingi 180,000 unapata Three pieces suit (koti, kizibao na suruali)

Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba)

๐Ÿ“ž 0762617089

Delivery โœ…

Za asubuhi, naomba retweet yako ๐Ÿ™ @suitmseleleko tumekuja na mzigo mpya wa suti, kwa shilingi 180,000 unapata Three pieces suit (koti, kizibao na suruali) Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba) ๐Ÿ“ž 0762617089 Delivery โœ…
account_circle
Broke James(@broke_jk) 's Twitter Profile Photo

Jumpsuit amazing kabisa kutoka Water Professionals ๐Ÿค

Price: 65,000/=
๐Ÿ“Mbezi B, Africana
๐Ÿ“ž0682448630

Kindly, Repost ๐Ÿ™

Jumpsuit amazing kabisa kutoka @watersportwears ๐Ÿค Price: 65,000/= ๐Ÿ“Mbezi B, Africana ๐Ÿ“ž0682448630 Kindly, Repost ๐Ÿ™
account_circle
๐Œ๐€๐‘๐‹๐„๐˜(@funjojr) 's Twitter Profile Photo

Huuziwi mbuzi kwenye gunia ukinunua kiwanja chako cha lapexproperties

Utapelekwa na wataalamu ukione kwanza, kisha utafanya maamuzi.

Hatimiliki ya kiwanja chako ni kipaumbele chao.

account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO: โ€œMaisha ni mapambano, hakuna jambo rahisi duniani, hata lile unaloliona rahisi lina ugumu wake.โ€ - Zamaradi Mketema

NUKUU YA LEO: โ€œMaisha ni mapambano, hakuna jambo rahisi duniani, hata lile unaloliona rahisi lina ugumu wake.โ€ - Zamaradi Mketema
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Uzuri wa lapexproperties
Ina Nia Ya Kuhakikisha Wanawake Nao Wanapata Viwanja Halali Visivyo na Matatizo na Kutoa Hofu ya Kutapeliwa

Mwanamke Mwenzangu usikae Mbali kwenye Mradi mpya...๐Ÿ’ฅ

account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Ma swahiba wangu wajasiriamali kuna hii Malkia Account kutoka CRDB Bank PLC Haina makato ya uendeshaji.

Chuma Toka Elizabeth Michael

Zile amana zako utakazojiwekea unaweza kopa Hadi 90% haya kina Da Vee ๐Ÿ‘ธ Lolo โ˜˜ Mpishi ๐ŸคŽโœจ changamkeni hii account

account_circle