Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profileg
Ananilea Nkya (PhD)

@AnanileaN

Human Rights Activist & Trainer on Media and National Development Issues|Tanzania's Woman of Courage Award Recipient 2010|TAMWA Executive Director 2001-2012

ID:1236994171979825153

calendar_today09-03-2020 12:36:58

1,7K Tweets

53,9K Followers

386 Following

Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

Kiko kikundi kidogo cha watawala katika Jamhuri yetu, wanaodai kwamba Watanzania wanaotaka Katiba Mpya ni wachache kwa hiyo hakuna sababu ya nchi kuwa na Katiba Mpya kwa sasa hadi elimu itolewe kwa miaka mitatu. Hawa hawaitakìi nchi mema. Sikiliza👇

account_circle
Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

CCM ivue kiatu cha zamani (Katiba ya sasa) na ivae kiatu kipya (Katiba Mpya) wasisubiri hadi Tanzania ifike pabaya pale Kenya ilipofika mwaka 2007 vifo vya Wakenye wengi kutokana na vurugu za uchaguzi @Maura

x.com/i/spaces/1RDGl…

account_circle
Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

Miaka hii miwili ijayo ni miaka ya uchaguzi tutashuhudia baadhi ya WANASIASA wahongaji na wahongwaji wakitenda mambo yao ya hovyo yenye lengo la kuikosesha nchi viongoz bora ambao ndio rasilimali namba moja ya kuchochea maendeleo. Msikilize Nyerere 👇 akionya

account_circle
Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

HOJA ya leo ni kuwa Marehemu Mchungaji Mtikila 👇 alisema wasomi wa sasa wanahitaji kuelimishwa kama vile wajinga walivyokuwa wanaelimishwa zamani.
👉🏾 Je ni jambo gani moja unadhani wasomi wanafanya linaloonyesha wanakuwa kama vile ni watumwa wa wanasiasa?

HOJA ya leo ni kuwa Marehemu Mchungaji Mtikila 👇 alisema wasomi wa sasa wanahitaji kuelimishwa kama vile wajinga walivyokuwa wanaelimishwa zamani. 👉🏾 Je ni jambo gani moja unadhani wasomi wanafanya linaloonyesha wanakuwa kama vile ni watumwa wa wanasiasa?
account_circle
Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

UCHAGUZI
Mwaka huu 2024 ni uchaguzi wa viongozi wa vitongoji, vijiji(vijijini) na mitaa( mijini). Mwaka kesho 2025 ni Uchaguzi wa Rais,Wabunge na Madiwani. Je demokrasia italindwa au itavurugwa kwenye chaguzi hizi? Sikiliza hoja hii na je wewe unasemaje?👇

account_circle
Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

Zama za Mwendazake demokrasia ilikanyagwa TZ wanachama kadhaa maarufu CHADEMA wakihama chama chao kwenda kuunga mkono njama za mwendazake za kuuwa upinzani. Mchungaji Msigwa nae alitegwa lakini aliwathibitishia Watanzania yeye si mchumia tumbo. Msikilize👇

account_circle
Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

UONGOZI BOBA NI HUU
Kama kila mwenye wadhifa wa uongozi Serikalini, Mashirika/Taasisi za Umma, Vyama vya Siasa vinavyopokea ruzuku ya kodi ya wananchi, NGOs zinazopata fedha za wafadhili n.k watafanyia kazi ujumbe huu👇 nchi yetu ITAINUKA Samia Suluhu

account_circle
Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

Hiyo video iliyoambatanishwa na ujumbe huu 'Huko Nairobi, Mzungu akicharazwa viboko baada ya kumuita pump attendant Nyani' nimeipata kwenye mtandao mmoja.
Swali:
👉🏾Je ingekuwa ni wewe ungechukua hatua gani tofauti na hii waliyochukuwa hawa watu?

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo tunajadili: Je genge la watekaji liko CCM? Nani analiendesha?
Tumeona utekaji na utesaji unashika kasi huku kauli za viongozi wa UVCCM na CCM kuonyesha uhusika au kuonya kutenda uhalifu huu. Jeshi la polisi liko kimya! Nani yuko nyuma ya hii?
Saa 2 uck leo

Leo #MariaSpaces tunajadili: Je genge la watekaji liko CCM? Nani analiendesha? Tumeona utekaji na utesaji unashika kasi huku kauli za viongozi wa UVCCM na CCM kuonyesha uhusika au kuonya kutenda uhalifu huu. Jeshi la polisi liko kimya! Nani yuko nyuma ya hii? Saa 2 uck leo
account_circle
Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

Ili kujenga taifa lako ni lazima ujenge taifa la watu wanaofikiri , watu wanaodadisi. Lakini taifa haliwezi kupata watu hao bila Tume Huru ya Uchaguzi ambapo viongozi watapatikana kwa ushindani @Goblesslema
x.com/i/spaces/1eaKb…

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo tunajadili:
Uchafuzi au Uchaguzi 2025? tumeshindwa kudai?
Mabadiliko ya sheria za uchaguzi inatupa ishara uchaguzi utakuwaje? Je tuendelee hivyohivyo bila ? Tunashindwa kuidai au tumeamua kushindwa?
Leo saa 2 usiku USIKOSE!

Leo #MariaSpaces tunajadili: Uchafuzi au Uchaguzi 2025? #KatibaMpya tumeshindwa kudai? Mabadiliko ya sheria za uchaguzi inatupa ishara uchaguzi utakuwaje? Je tuendelee hivyohivyo bila #KatibaMpya ? Tunashindwa kuidai au tumeamua kushindwa? Leo saa 2 usiku USIKOSE!
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Ndg RC Makonda,nimesikia ukisema kuwa mtaongeza ulinzi kwa watalii kwa kuweka Polisi wapanda baiskeli ktk Jiji la Arusha.Umeshawaza kuwa ktk Mataifa ambayo umepigwa marufuku kukanyaga kama USA na kwa Washirika zake kwa pamoja wanachangia zaidi ya takribani 70% ya watalii Nchini…

Ndg RC Makonda,nimesikia ukisema kuwa mtaongeza ulinzi kwa watalii kwa kuweka Polisi wapanda baiskeli ktk Jiji la Arusha.Umeshawaza kuwa ktk Mataifa ambayo umepigwa marufuku kukanyaga kama USA na kwa Washirika zake kwa pamoja wanachangia zaidi ya takribani 70% ya watalii Nchini…
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday mpambanaji Freddie 🎉🎉🎊🎈
Mungu akulinde na waovu na wenye husda na akujalie maisha marefu yenye mafanikio na baraka tele!
Keep shining and never let the Darkness in others dim your Light!
✊🏽

Happy birthday mpambanaji @frediejustine 🎉🎉🎊🎈 Mungu akulinde na waovu na wenye husda na akujalie maisha marefu yenye mafanikio na baraka tele! Keep shining and never let the Darkness in others dim your Light! ✊🏽
account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

: MAJI YA BWAWA LA MWALIMU NYERERE YALIFUNGULIWA BILA KUTOA TAARIFA KWA WANANCHI - ZITTO
'Shirika la TANESCO lilijua kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linajaa na lazima maji yafunguliwe. Maji yalifunguliwa bila kutoa tahadhari kwa wananchi wa ‘downstream’. Serikali…

#TANZANIA: MAJI YA BWAWA LA MWALIMU NYERERE YALIFUNGULIWA BILA KUTOA TAARIFA KWA WANANCHI - ZITTO 'Shirika la @tanescoyetutz lilijua kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linajaa na lazima maji yafunguliwe. Maji yalifunguliwa bila kutoa tahadhari kwa wananchi wa ‘downstream’. Serikali…
account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?

Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai wa kisiasa wa CCM tu?
account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

: Dkt. Ananilea Nkya (PhD) afunguka mzito wimbi la vijana waliomaliza Vyuo Vikuu kujazana mitaani bila ajira, mbaya zaidi hadi waliopata mafunzo ya Jeshi nao wako mtaani, adai Serikali inatengeneza bomu la Nyuklia baadae litalipuka hasa ukiangalia kuna wimbi kubwa sana la ufisadi…

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo tunajadili: na uwajibikaji -
Utekaji, Maafa Rufiji, Ngorongoro
Hata CCM wanajua kiu yetu kuhusu ya wananchi itakayoleta uwajibikaji! Je itatusaidiaje kuzuia na kuadhibu wahusika wa maafa Rufiji, utekaji na uporaji ardhi?
Leo saa 2 uck

Leo #MariaSpaces tunajadili: #KatibaMpya na uwajibikaji - Utekaji, Maafa Rufiji, Ngorongoro Hata CCM wanajua kiu yetu kuhusu #KatibaMpya ya wananchi itakayoleta uwajibikaji! Je itatusaidiaje kuzuia na kuadhibu wahusika wa maafa Rufiji, utekaji na uporaji ardhi? Leo saa 2 uck
account_circle
Ananilea Nkya (PhD)(@AnanileaN) 's Twitter Profile Photo

Katiba Mpya itaimarisha uadilifu, viongozi wanaochaguliwa na wananchi katika ngazi zote kuanzia Rais hadi mwenyekiti wa Kitongoji watalipwa mshahara. Hivi sasa ni Madiwani, Wenyeviti wa Serikali za Vijiji/Mitaa na vitongoji hawalipwi mshahara. Msikilize👇

account_circle