Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema jambo la kijinga na lazima tulipinge.”
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Mtumiaji wa usafiri wa ardhini, Glory Olomi amesema ongezeko la nauli liendane na huduma nzuri na usafi wa nyombo hivo ili kupunguza kero.
instagram.com/p/C0PX_ucLNQV/…
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Nchi 10 zilizoongoza kupeleka idadi kubwa ya wajumbe katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28). Mkutano huo ulianza Novemba 30, 2023 na unatarajia kutamatika Desemba 12 mwaka huu.
#mwananchidata
#tunaliwezeshataifa
Nchi 10 zilizoongoza kupeleka idadi kubwa ya wajumbe katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28). Mkutano huo ulianza Novemba 30, 2023 na unatarajia kutamatika Desemba 12 mwaka huu.
#mwananchidata
#tunaliwezeshataifa
#MamaYukoKazini
Jiunge nasi Jumatano hii Aprili 17, 2024 katika Mwananchi Space.
Mada: Mabadiliko ya jina la Tume ya uchaguzi ni chachu ya kufanyika kwa chaguzi huru?
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Rais Samia Suluhu Suluhu Hassan leo Jumapili Agosti 27, 2023 akifunga mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Shule ya Uongozi Kibaha, ameitisha maswali kutoka kwa viongozi hao waliofundishwa kwa muda wa siku sita.
#tunaliwezeshataifa
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema amewasili Tanzania leo Jumatano Machi 1, 2023 akitokea nchini Canada alikokimbilia baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Jiunge nasi katika Mwananchi Space Jumatano hii Aprili 24, 2024.
Mada: Ipi suluhu ya kudumu ya changamoto ya huduma ya vivuko Kigamboni-Magogoni?
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Ramani na takwimu zikionyesha mikoa inayoongoza kilimo cha bangi nchini.
Kuna mikoa inalima kwa ajili ya kuuza nje ya Nchi 🤔
#mwananchidata
#tunaliwezeshataifa
Rais Samia Suluhu akimkabidhi Mama Janeth Magufuli tuzo ya Rais wa awamu ya tano Hayati John Magufuli kwenye hafla ya uzinduzi wa Ikulu Chamwino iliyofanyika leo Jumamosi Mei 20, 2023 jijini Dodoma.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) jana Ijumaa, Februari 10, 2023 walimchagua Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Bunge la Tanzania
#ccmdijitalibungeupdates
#tunaliwezeshataifa
Rais Samia akiwahutubia viongozi hao aliwapa nafasi ya kuuliza maswali katika mada ambazo hawakuzielewa ili azitolee ufafanuzi.
#tunaliwezeshataifa
mkazi wa Chanika Msumbiji na Abdiel Mshana(57) mkazi wa Msasani Ubalozini, wote ni wakiwa ni wafanyabiashara.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
catch Mwananchi Newspapers twitter space leo tukiongelea mfumuko wa bei, akiwepo minister of Finance and Planning Mwigulu Nchemba, PhD
Mada: Serikali imechukua hatua kukabiliana na mfumuko wa bei, nini maoni yako juu ya hatua hizi?
#mwananchiupdates
#mwananchispace
#tunaliwezeshataifa
Majaliwa ametoa agizo hilo leo Jumatatu Mei 15, 2023 wakati akizungumza na wafanyabiashara wa Kariakoo kufautia mgomo uliotokana utitiri wa kodi. #reposted Mwananchi Newspapers
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa