Mmbetta Jr(@MmbettaJ) 's Twitter Profileg
Mmbetta Jr

@MmbettaJ

Mimi ni mwanaharakati mpenda haki za watu wote ,..Sipendi kuona binadamu mwenye nguvu anamuonea binadamu mwenzie kwasababu tu ana nguvu ,Napenda Haki Sawa 🙏

ID:1445427103437053957

calendar_today05-10-2021 16:34:35

36,3K Tweets

6,2K Followers

3,0K Following

Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Sauti ya ANAYEPOTEZA WATU, tayari IMESIKIKA kutoka kwa mtu ANAYEJULIKANA. Kinachosubiriwa kwa sasa ni Sauti ya WALIOJARIBU KUMUUA TUNDU LISSU. Ni watu WATAKAOFAMIKA muda ukiwadia.

Sauti ya ANAYEPOTEZA WATU, tayari IMESIKIKA kutoka kwa mtu ANAYEJULIKANA. Kinachosubiriwa kwa sasa ni Sauti ya WALIOJARIBU KUMUUA TUNDU LISSU. Ni watu WATAKAOFAMIKA muda ukiwadia.
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Hatimaye IMEJULIKANA. Kumbe watu huwa “HAWAPOTEI” bali HUPOTEZWA. Nadhani, MMESIKIA wenyewe jana. Nitaendelea KUMUOMBA SANA MUNGU kwa ajili ya BEN SAANANE. Hakustahili “KUPOTEA”.

Hatimaye IMEJULIKANA. Kumbe watu huwa “HAWAPOTEI” bali HUPOTEZWA. Nadhani, MMESIKIA wenyewe jana. Nitaendelea KUMUOMBA SANA MUNGU kwa ajili ya BEN SAANANE. Hakustahili “KUPOTEA”.
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Inawezekana huyu hapo 👇 ndiye ALIYEWAPOTEZA akina BEN SAANANE na AZORY GWANDA. Watu ambao WANAPOTEZA watanzania wenzetu WAMEANZA KUJULIKANA kwa KAULI na MATENDO YAO. Nadhani, kesho tutamkuta POLISI.

account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Ccm mnataka kuua kila mtu alafu mtaongoza miti? Nani anawambia hawa wapumbavu kwamba Nchi hii ni ya kifalme?

Ukiingia kwenye madaraka ya Nchi, lazima watu watakusema, tena watakusema mengine vibaya!!! Kama kwenu viongozi wenu ni miungu watu wambie wapishe ofisi za umma.

Hawa ni…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Tofauti na Tanzania, ambapo mwanasheria mkuu wa serikali (attorney general) anateuliwa na Rais, nchini Colombia, Mahakama ya Juu (Supreme Court) ndiyo huchagua mwanasheria mkuu, Rais atake au asitake.

Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania anateuliwa na Rais wa Tanzania kwa…

Tofauti na Tanzania, ambapo mwanasheria mkuu wa serikali (attorney general) anateuliwa na Rais, nchini Colombia, Mahakama ya Juu (Supreme Court) ndiyo huchagua mwanasheria mkuu, Rais atake au asitake. Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania anateuliwa na Rais wa Tanzania kwa…
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kauli nzuri na bora kabisa kwa vijana wenye mawazo ya kijinga yaliyojaa chuki na mtazamo mbaya kabisa ambao unaweza kuchafua Nchi.Lakini kukemea peke yake inatosha ??

Kauli nzuri na bora kabisa kwa vijana wenye mawazo ya kijinga yaliyojaa chuki na mtazamo mbaya kabisa ambao unaweza kuchafua Nchi.Lakini kukemea peke yake inatosha ??
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Ukimsikiliza huyu mwenyekiti wa vijana CCM mkoa wa Kagera unaweza kufikiri ana nguvu za ziada, lakini ni viumbe dhaifu sana ambao wakipelekewa umeme mzito wanaita polisi kuomba msaada. Tuwaulize UVCCM, Jokate Mwegelo hii nchi ikichafuka, mtoto wako yule mdogo atakuwa salama? MNATUWEZA?

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Huyu mpumbavu mkubwa hajui kuwa Rais anatukanwa na Mawaziri ? Huyu mpumbavu kaongea kauli mbaya na hatari sana lakini Polisi watakaa kimya kwa sababu wanafikiri viongozi wa CCM wako juu ya sheria. Hii kauli ni vita.Kuna siku watakuja kujua kuwa wao ni wapumbavu sana na hawana…

account_circle
NTOBI(@Ntobi_) 's Twitter Profile Photo

Mwezi Feb, 2024 ; Bunge chini ya Dr. Tulia Ackson limeazimia kwamba Serikali ione umuhimu wa kufanya ununuzi wa Ndege nyingine (Mpya) Kwa ajili ya Viongozi.

Jana Aprili2024 , Bunge liliazimia kununuliwa Lundcruser (V8 Mpya) kwa ajili ya wakuu wa wilaya na mikoa kwa takriban Tsh…

Mwezi Feb, 2024 ; Bunge chini ya @TuliaAckson limeazimia kwamba Serikali ione umuhimu wa kufanya ununuzi wa Ndege nyingine (Mpya) Kwa ajili ya Viongozi. Jana Aprili2024 , Bunge liliazimia kununuliwa Lundcruser (V8 Mpya) kwa ajili ya wakuu wa wilaya na mikoa kwa takriban Tsh…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Nimekutana na video ya kutisha sana WhatsApp. Ajali ya basi kugongana na lori kubwa la mizigo huko Igunga, Tabora. Watu wamekufa na kujeruhiwa.

Ni umaskini wetu watanzania unatufanya tupande hayo mabasi kwa ajili ya safari ndefu lakini yapo very rough barabarani. Usalama wake ni…

account_circle
Hilda Newton(@HildaNewton21) 's Twitter Profile Photo

kumbe wao ndo huwa wanateka na kupoteza watu unajua UVCCM huwa wanajiona wao wapo juu ya sheria

Kama Jeshi la Polisi lingekuwa sio tawi la CCM huyu jamaa angekuwa keshaitwa na kuhojiwa juu ya hiki anachoongea hapa ila ndo nchi yetu inaendeshwa ‘kihuni.’

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

TAMISEMI, mnamdanganya nani sasa?

Uongo unakera sana. Lakini inakera zaidi serikali kudanganya walipa kodi. Picha ambayo OFISI YA RAIS TAMISEMI mmeweka hapa ni PRADO j120 ambayo production yake ilimalizika mwaka 2009.

Kwanini msiwaeleze ukweli watanzania kwamba mmeweka ‘order’ TOYOTA…

TAMISEMI, mnamdanganya nani sasa? Uongo unakera sana. Lakini inakera zaidi serikali kudanganya walipa kodi. Picha ambayo @ortamisemitz mmeweka hapa ni PRADO j120 ambayo production yake ilimalizika mwaka 2009. Kwanini msiwaeleze ukweli watanzania kwamba mmeweka ‘order’ TOYOTA…
account_circle
Jon Mrema(@JonMrema) 's Twitter Profile Photo

Ushahi wanaopoteza watu ni CCM Kwa kushirikiana na Police Force TZ Kwa mujibu wa hiyo video hapo ! Kijana wa Mbeya aliyekuwa amepotea kumbe huyu angeulizwa mapema angesema alipo! Huu ujasiri unatokana na Katiba mbovu iliyopo ambayo haiweki utaratibu mzuri wa kushughulikia wahalifu Hawa

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Mei 27, 2021; Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ikafanya mnada wa kuuza magari tisa (9) ambayo kwenye taarifa waliyaita ‘magari chakavu’.

Magari yaliyouzwa ni tisa yalifanyiwa tathimini thamani ya shilingi Milioni thelathini na moja laki tatu na elfu hamsini (Tsh 31,350,000).…

Mei 27, 2021; Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ikafanya mnada wa kuuza magari tisa (9) ambayo kwenye taarifa waliyaita ‘magari chakavu’. Magari yaliyouzwa ni tisa yalifanyiwa tathimini thamani ya shilingi Milioni thelathini na moja laki tatu na elfu hamsini (Tsh 31,350,000).…
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Rafiki yangu juzi kaniambia anapaswa kuwa na Laki Tatu (300,000) kila wiki kwa ajili ya kusafisha figo za mke wake ambazo zimepata shida.Halafu na imagine anasikia Serikali inanua magari ya kifahari ya TSH BILIONI 190.57 kwa ajili ya Wakuu wa Wilaya.

Thamani ya magari hayo…

Rafiki yangu juzi kaniambia anapaswa kuwa na Laki Tatu (300,000) kila wiki kwa ajili ya kusafisha figo za mke wake ambazo zimepata shida.Halafu na imagine anasikia Serikali inanua magari ya kifahari ya TSH BILIONI 190.57 kwa ajili ya Wakuu wa Wilaya. Thamani ya magari hayo…
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Kesho saa 4:00 Asubuhi nitachukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa kanda ya Victoria. Nitachukulia katika ofisi zetu za mkoa wa Kagera hapa Kashai Bukoba mjini. Nilisoma Ihungo na nimeishi Kagera miaka 2 ninahistoria pana na Kagera.

Kesho saa 4:00 Asubuhi nitachukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa kanda ya Victoria. Nitachukulia katika ofisi zetu za mkoa wa Kagera hapa Kashai Bukoba mjini. Nilisoma Ihungo na nimeishi Kagera miaka 2 ninahistoria pana na Kagera. #KaribuniSana
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hizi pesa zingetumika kununua mashine za kusafisha figo zenye wastani wa kati mashine takribani 1900 mpaka 3800.Tunateseka kwa sababu viongozi wa ccm hawana vipaumbele vinavyo zingatia ubinadamu na utu.Ujinga na roho mbaya sana hii,kuwa na viongozi wanao spend kwenye matumizi ya…

Hizi pesa zingetumika kununua mashine za kusafisha figo zenye wastani wa kati mashine takribani 1900 mpaka 3800.Tunateseka kwa sababu viongozi wa ccm hawana vipaumbele vinavyo zingatia ubinadamu na utu.Ujinga na roho mbaya sana hii,kuwa na viongozi wanao spend kwenye matumizi ya…
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Pumbaf zenu MACHAWA - mlitaka ku hack Instagram account yangu? 😃
Hebu tulieni huko!
Si mlisema hatuna impact? Sasa mnahaha nini?
Spana ziendelee 😂😂
Samia Suluhu regime now trying to hack to silence us! They are DESPERATE!

Pumbaf zenu MACHAWA - mlitaka ku hack Instagram account yangu? 😃 Hebu tulieni huko! Si mlisema hatuna impact? Sasa mnahaha nini? Spana ziendelee 😂😂 @SuluhuSamia regime #Tanzania now trying to hack to silence us! They are DESPERATE! #TutaelewanaTu
account_circle