Odo(@NajjatOmar) 's Twitter Profileg
Odo

@NajjatOmar

@TheChanzo Journalist || Script Writer || Voice Over || Awards Winning Journalist.

ID:1275156403

linkhttps://thechanzo.com/2021/09/28/zanzibars-painful-covid-19-stories/ calendar_today17-03-2013 14:44:59

165,4K Tweets

44,2K Followers

1,9K Following

Odo(@NajjatOmar) 's Twitter Profile Photo

Kusifiwa si kupendwa πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ mwenyewe ndevu zimenishinda 🀣🀣

account_circle
Tanzania Muslima πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@TanzaniaMuslima) 's Twitter Profile Photo

Raha ya kwanza duniani utakapoamka na kusali Swalah ya Al-Fajr, anayepata hii Swalah basi Mwenyezi Mungu amesema siku yake nzima inakuwa imebarikiwa. Reminders

Raha ya kwanza duniani utakapoamka na kusali Swalah ya Al-Fajr, anayepata hii Swalah basi Mwenyezi Mungu amesema siku yake nzima inakuwa imebarikiwa. #TeamFajr #Fajr #FajrReminders #Islam #Muslim #Alhamdulillah
account_circle
Odo(@NajjatOmar) 's Twitter Profile Photo

Utafiti wa HakiElimu ambao ulionesha hali ya kurudi shuleni kwa mabinti waliopata ujauzito kwa kila hatua.Utafiti umeonesha changangomoto na mafanikio katika mpango huo,ni dhahiri kupata ujauzito sio mwisho wa msichana kutokuendelea na masomo.

Utafiti wa @HakiElimu ambao ulionesha hali ya kurudi shuleni kwa mabinti waliopata ujauzito kwa kila hatua.Utafiti umeonesha changangomoto na mafanikio katika mpango huo,ni dhahiri kupata ujauzito sio mwisho wa msichana kutokuendelea na masomo. #UstawiWaWatoto
account_circle
Tanzania Media Women(@TAMWA_) 's Twitter Profile Photo

β€œVyombo vya Habari vitoe maudhui ya kutosha kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, ili jamii itambue na ijikinge na mabadiliko hayo” Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Dk Rose Reuben

β€œVyombo vya Habari vitoe maudhui ya kutosha kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, ili jamii itambue na ijikinge na mabadiliko hayo” Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Dk Rose Reuben #WPFD2024 #ZuiaUkatili #WomenInMediaTz
account_circle
Odo(@NajjatOmar) 's Twitter Profile Photo

Na unaweka jina lake kwenye karatasi kisha usiku una asali na khanga yenye mji mweupe tunasema basi πŸ«£πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Odo(@NajjatOmar) 's Twitter Profile Photo

Sitaki kuamini kama Kaka vipimo vinaonesha Kaka avae miwani jamani πŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ή weweee

account_circle
Swahili Central(@swahili_central) 's Twitter Profile Photo

Kaa mkao wa kula, ni ijumaa hii saa moja kamili usiku. Tukiwa katika wiki ya maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari, tumekuandalia mjadala huu kabambe na tutakuwa pamoja na wahariri Salome Kitomari na khalifa said #PALESTINE πŸ‡΅πŸ‡Έ ☭🌹

Cc Odo

Kaa mkao wa kula, ni ijumaa hii saa moja kamili usiku. Tukiwa katika wiki ya maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari, tumekuandalia mjadala huu kabambe na tutakuwa pamoja na wahariri @skitomari na @ThatBoyKhalifax Cc @NajjatOmar #SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali
account_circle
Odo(@NajjatOmar) 's Twitter Profile Photo

Nitakuwa mwenyeji wenu kwenye kikoao hiki ambacho kusema ukweli nitawahoji wahariri wangu mtihani huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

account_circle