Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profileg
Rahuuuum

@RahmaMwita

TV Journalist/ Writer/BookAddict/ Founder @OYO_Tanzania / YALI-EAC Alumni/ GlobalGoalsChampion🌍/https://t.co/MwfbyyoTeM

ID:3421680677

linkhttp://www.oyotanzania.org calendar_today14-08-2015 07:18:20

51,2K Tweets

65,5K Followers

1,9K Following

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Nimeshiriki kumbukizi ya mafanikio ya Mwami Tereza Ntare II yenye kaulimbiu ya “Wekeza katika (Ke)storia za Uongozi wa Wanawake kwa Maendeleo ya Taifa”.
Kumbukizi hiyo inafanyika katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam, Aprili 13, 2024. Mwami Tereza alikuwa kiongozi wa…

Nimeshiriki kumbukizi ya mafanikio ya Mwami Tereza Ntare II yenye kaulimbiu ya “Wekeza katika (Ke)storia za Uongozi wa Wanawake kwa Maendeleo ya Taifa”. Kumbukizi hiyo inafanyika katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam, Aprili 13, 2024. Mwami Tereza alikuwa kiongozi wa…
account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Hoja kuu ya Kiongozi wa Chama wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ni kuwa ingawa tume sasa itaitwa huru, wajumbe wake ni walewale wa zamani na hivyo wanatakiwa kuchaguliwa wengine watakaoendana na “roho” ya sheria mpya.
Kwa mujibu wa sheria mpya, wajumbe wapya wanatakiwa kuomba…

account_circle
Kassala(@Vicent_Kassala) 's Twitter Profile Photo

'Jambo linalopaswa kusukumwa na kila mtu hivi sasa bila kumung'unya maneno, ni kuitaka Tume ya Sasa Ijiuzulu. Mchakato wa kupata Tume Mpya uanze.' Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Kiongozi wa Chama Mstaafu, ACTWazalendo

'Jambo linalopaswa kusukumwa na kila mtu hivi sasa bila kumung'unya maneno, ni kuitaka Tume ya Sasa Ijiuzulu. Mchakato wa kupata Tume Mpya uanze.' @zittokabwe Kiongozi wa Chama Mstaafu, @ACTwazalendo
account_circle
ACTWazalendo(@ACTwazalendo) 's Twitter Profile Photo

'Jambo linalopaswa kusukumwa na kila mtu hivi sasa bila kumung'unya maneno, ni kuitaka Tume ya Sasa Ijiuzulu. Mchakato wa kupata Tume Mpya uanze.' Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Kiongozi wa Chama Mstaafu

'Jambo linalopaswa kusukumwa na kila mtu hivi sasa bila kumung'unya maneno, ni kuitaka Tume ya Sasa Ijiuzulu. Mchakato wa kupata Tume Mpya uanze.' @zittokabwe Kiongozi wa Chama Mstaafu
account_circle
Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profile Photo

Ngome ya Vijana ya ACT @ngome_ya_vijana_taifa tunatarajia kufanya ziara wilaya ya Rufiji tarehe 14/04/2024 kwenda kuwafariji na kiwasilisha michango yetu kwa wananchi waliokubwa na mafuriko.

Tunakusanya fedha, nguo, vyakula na mahitaji mengine muhimu kwani familia…

Ngome ya Vijana ya ACT @ngome_ya_vijana_taifa tunatarajia kufanya ziara wilaya ya Rufiji tarehe 14/04/2024 kwenda kuwafariji na kiwasilisha michango yetu kwa wananchi waliokubwa na mafuriko. Tunakusanya fedha, nguo, vyakula na mahitaji mengine muhimu kwani familia…
account_circle
ACTWazalendo(@ACTwazalendo) 's Twitter Profile Photo

'Maafa ya Rufiji yameacha maumivu makubwa. Serikali ilipe fidia Wananchi. Kitendo cha kufungua Bwawa la Nyerere bila tahadhari wala tathmini ya athari zake ni uzembe. Tunataka Waziri wa Nishati ajiuzulu.'

Waziri Mkuu Kivuli wa ACTWazalendo
Isihaka Mchinjita

'Maafa ya Rufiji yameacha maumivu makubwa. Serikali ilipe fidia Wananchi. Kitendo cha kufungua Bwawa la Nyerere bila tahadhari wala tathmini ya athari zake ni uzembe. Tunataka Waziri wa @Nishati2017 ajiuzulu.' Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo @MchinjitaIR #WaRufijiWafidiwe
account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Shirika la TANESCO lilijua kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linajaa na lazima maji yafunguliwe. Maji yalifunguliwa bila kutoa tahadhari kwa wananchi wa ‘downstream’. Serikali itueleze ilichukua gani baada ya kufahamu kuwa lazima wafungulie bwawa?

Tunajua kuwa huko upstream,…

account_circle
De' Sung(@Athman_Sungura) 's Twitter Profile Photo

Capturing moments with the ones who make every frame brighter. Family: where love knows no bounds.

📍Dar es salaam, Serena Hotel.

Capturing moments with the ones who make every frame brighter. Family: where love knows no bounds. #SwahiliBarkah 📍Dar es salaam, Serena Hotel.
account_circle