Monalisandala(@Monalisandala1) 's Twitter Profile Photo

Kwakua Raisi amesha saini sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi, tunaitaka Tume iliopo madarakani Ijiuzulu ili kupisha mchakato wa tume huru kupatikana.


account_circle
Norasco Lazaro Kahitila(@norasco_lazaro) 's Twitter Profile Photo

'Kwa vile sheria mpya ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeweka masharti kupatikana kwa utaratibu wa ushindani kupitia Kamati ya Usaili, Ngome ya Wazee tunatoa rai kwamba Tume ya sasa ijiuzulu kupisha kuundwa Tume Mpya.'

Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee
Yasin Gumsan

'Kwa vile sheria mpya ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeweka masharti kupatikana kwa utaratibu wa ushindani kupitia Kamati ya Usaili, @NgomeyaWazee tunatoa rai kwamba Tume ya sasa ijiuzulu kupisha kuundwa Tume Mpya.'

Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee
Yasin Gumsan

#NECijiuzulu
account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA



Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024.

Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa yaโ€ฆ

UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA 

#NECijiuzulu #INECiingie 

Kuanzia keshokutwa tarehe  12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024. 

Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa yaโ€ฆ
account_circle
Isihaka Mchinjita(@MchinjitaIR) 's Twitter Profile Photo

'Hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi utakaosimamiwa kinyume cha sheria; na sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi inataka itungwe Sheria ya Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.'

Waziri Mkuu Kivuli wa ACTWazalendo
Isihaka Mchinjita

Wasemaji wa Kisekta

account_circle
Creator CLEN(@DirectorTheking) 's Twitter Profile Photo

Leo Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndg Dorothy Semu na Balozi Theresa Zitting wamezungumza juu ya hali ya kisiasa nchini.
Katika ziara hii ya ubalozi wa FinnishEmbassyTZ,KC aliambatana na Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje,Ndg Mwanaisha Mndeme na naibu wake Ndg Dr. Nasra Nassor Omar

Leo Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndg @SemuDorothy na Balozi Theresa Zitting wamezungumza juu ya hali ya kisiasa nchini. 
Katika ziara hii ya ubalozi wa @FinnishEmbTZ,KC aliambatana na Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje,Ndg @Mwanaishamndeme na naibu wake Ndg @drnasranassor
#NECijiuzulu
account_circle
Dr Elizabeth Sanga(@DrBSanga) 's Twitter Profile Photo

'Katika Kata ya Kabwe, Mkuu wa Wilaya, Ndugu Peter Lijualikali; ametumika vibaya. Kupiga wananchi na kuingia kwenye vituo vya kupiga kura.'

Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa
Janeth Rithe

ACTWazalendo

account_circle
ACTWazalendo(@ACTwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Ni saa 3:00 Usiku. Dakika kadhaa kutoka sasa. Naibu Katibu Mwenezi wa ACTWazalendo, Ndugu shangwe Ayo atakuwa ITV katika kipindi cha Kipima Joto.

Usiwache kufuatilia.

Ni saa 3:00 Usiku. Dakika kadhaa kutoka sasa. Naibu Katibu Mwenezi wa @ACTwazalendo, Ndugu @ayo_shangwe atakuwa ITV katika kipindi cha Kipima Joto.

Usiwache kufuatilia.

#NECijiuzulu #WaRufijiWafidiwe
account_circle
Ismail Jussa(@IsmailJussa) 's Twitter Profile Photo

'Wajumbe wote wa Tume ya Uchaguzi wajiuzulu na Sheria Mpya ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa itungwe kwenye Bunge lijalo.'

Naibu Katibu Mwenezi wa ACTWazalendo
shangwe Ayo


account_circle
Selemani Misango(@SelemaniMisango) 's Twitter Profile Photo

'Jambo linalopaswa kusukumwa na kila mtu hivi sasa bila kumung'unya maneno, ni kuitaka Tume ya Sasa Ijiuzulu. Mchakato wa kupata Tume Mpya uanze.' Zitto MwamiRuyagwa Kabwe.

'Jambo linalopaswa kusukumwa na kila mtu hivi sasa bila kumung'unya maneno, ni kuitaka Tume ya Sasa Ijiuzulu. Mchakato wa kupata Tume Mpya uanze.' @zittokabwe.

#NECijiuzulu
account_circle
Salim Bimani(@salimbimani2) 's Twitter Profile Photo

Kesho Asubuhi April 09, 2024 Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo, Ndugu @shangwe__ayo atakuwa kwenye Kipindi cha Clouds 360.

Usiwache kufuatilia.


Kesho Asubuhi April 09, 2024 Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo, Ndugu @shangwe__ayo  atakuwa kwenye Kipindi cha Clouds 360.

Usiwache kufuatilia.

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#NECijiuzulu
account_circle